Dunia inazunguka Dunia kwa speed ya 67,000mph ambayo ni sawa na 107,000km/hr. Dunia inajizungusha kwenye mhimili wake kwa 1,000mph ambapo ni sawa na 1,600km/hr. Spidi ya ndege (commercial) ikiwa angani speed yake ni 900-950km/hr.
Ndege ikisha takeoff inakuwa iko angani na muda huu Dunia inakuwa inazunguka kwa speed kali sana. Kwa hiyo speed ambayo dunia inazunguka dunia unaona ndege inamatch hapo? Ndege zingekuwa zinapotelea angani sababu speed ya dunia kwenye kuzunguka jua ni kubwa sana.
Dunia ingekuwa ni ball ndege zingekuwa zina curve ili kwenda na usawa wa Dunia. Tuko kwenye enclosed system hakuna anayeweza kiutoka nje ya Dunia wala kuingia.
View attachment 2855396