Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Universe inaundwa na galaxies ambayo galaxies inaundwa na nyota, sayari na sayari zenyewe si hizo walizotufunza mashuleni, pili hakuna kitu kinachoitwa mfumo wa jua(solar system) bali kuna mfumo wa dunia unaoongozwa na jua na mwezi.

Nb. Jua sio nyota, jua haliko umbali wanaotuaminishw kuwa lipo kilometa nyingi kutoka dunian, bali jua ni dogo kiumbo kuliko dunia

Pili dunia haizunguki bali jua na mwezi ndio huizunguka dunia na kusababisha usiku na mchana na mabadiriko ya majira.

Tatu, hakuna kitu kinachoitwa gravitational force wala Space, huko wanakorusha satellite zao ni anga la hapa hapa dunian hakuna pimbi aliyewai na atakaewai kutoka nje ya anga la dunia, satellite zote zipo hapa hapa ndani ya anga la dunia.

Nne, dunia si duara ndiomaana mpaka leo hakuna aliyewai kuonesha picha halisi ya dunia ikionesha huo mduara bali wanatumia picha feki kutoka kwa NASA zilizotengenezwa ktk Computer na kuonesha umbo la uongo, ramani za uongo.

Dunia ni tambarare iyo ktk umbo la chapati, yaani mzunguko wenye tambarare, proof hii utaipata kwa kufuatilia kutoka ktk picha za angani kwenye ndege na sio hizo wanazoita satellite, pili kutoka ktk vilele vya milima mirefu,

Ushahidi wa dunia tambarare unaupata kwa njia nyingi sana
1)njia ya radio waves, kupima vizingiti vya kuzuia mawimbi ya radio kutoka kituo A kwenda kituo B ktk uso wa bahari , ambako kituo A kinawekwa Radio transmitter za kusafirisha mawimbi mpaka kituo B ambacho kinawekwa Radio waves receiver ambacho kituo hiki B kinakuwa umbali mrefu kutoka A, na umbali wa A - B unapitiliza ile distance ambayo ktk picha na ramani fake za dunia huonesha ule mduara(CURVE)
unachotakiwa kujua ktk umbo la duara mawimbi ya radio kutoka kituo A mpka kituo B hayawez kupokelewa sababu za kizuizi cha muinuko wa ardhi inayounda mduara, lkn kwakua A- B kiuhalisia inapopimwa ili kuprove kama kuna mduara majibu yake mawimbi ya radio yanapokelewa kituo B, kuprove kuwa hakuna kizuizi chochote
Nb.upimaji huu ufanyika ktk uso wa bahari ambako hakuna milima ya kusumbua transferring ya mawimbi.

2)ushahidi wa matumizi ya RADAR, hiki kifaa matumizi yake ni kudetect flying objects ambapo function ya kifaa hiki kamwe haiwez kufanya kaz ktk umbo la mduara(wanasayansi wanajua) hii ni shahidi nyingine ya umbo halisi la duara.

3)ushahidi wa safari za ndege, unaposafiri ktk ndege kama dunia ingekuwa duara basi ndege ingelazimika kuongeza Flying height kwenda juu ili kuukwepa mduara wa dunia badala yake ndege inapopaa kutoka sehem fulan, height from the ground to the air inaposafiri inakuwa constant mpaka mahala inapofika kwanini? Kwanini isiongeze height kwenda juu ili kuikwepa ile CURVE wanayoisema wanaoamin dunia duara?

4)picha kutoka ktk ndege+balloon ni ushahidi mwingine wa dunia si mduara bali flat.

5)ushahidi wa picha za Telescope zinazopigwa kutoka kituo A mpaka kituo B ambako kama dunia ingekuwa mduara basi picha za kituo B zisingeokana lkn kupitia umbo tambarare kuna muonekano dhahiri.

6. Huu ni ushahidi kwa wale wanaoamini ktk dini, ukifuatilia ktk stories za Yoshua alisimamisha Jua ili siku zigande kusiwepo na usiku bali mchana tu ili wapate kupambana na maadui zao, jiulize kwanini huyo jamaa hakuisimamisha dunia isilizunguke jua badala yake akalisimamisha jua ili lisimame lisisababishe mabadiriko ya usiku na mchana?[emoji23].

Shahidi ni nyingii ila kwa uchache tu elimu ya umbo feki la dunia imeanzishwa juzi tu na wahuni waliotaka tuwaamini wao, ambao ndio hao hao waliofake ramani ya dunia inayoonesha Uongo wa mpangilio wa mabala na nchi, kiramani ambacho kinaionesha Asia ni kubwa kuliko Africa, wakat huo kwa vipimo Africa ni kubwa kuliko mabala yote hapa dunian, je kwanini walifake hii kitu? Majibu utayapata walifake ili kututawala kifikra tujione tunaishi sehemu ndogo na wao kwao kukubwa ili kututisha tu na tujione wanyonge kirasilimali.

Niishie hapa, Tizama video hiyo utaelewaView attachment 2722041
Where did you get this crap? Source and citation please.
 
Where did you get this crap? Source and citation please.
Nadhani atakua kayapata kwa njia ile ile ya kujifunza umbo la dunia... Inadhani ni kwanini umbo la dunia limefundishwa mashuleni... tusingejua shape yake kipi tungeshindwa kukifanya?
 
Nilikuuliza awali kama unatambua uwepo wa setelite katika maeneo mbalimbali ya anga la dunia.
Mkuu kuhusi satelite wewe ndio umeleta hii hoja nadhani bora nikujibu kwamba sielewi chochote kuhusu satelite.

Ninachofahamu kwamba hatutegemei kitu kinachoutwa satelite ili kujadili hoja za dunia tambarare ama mpira,hivyo sidhani kama hoja ya satelite ina nafasi katika kujadili nadharia hizi .

kama wewe ndio umeleta hoja ya satelite basi wewe ndio uifafanue na kuelezea ni kitu gani.
Mfano uliutoa hapo sijweza kuuelewa vizuri. Pengine ungeurudia kwa maneno mengine ili twende sawa.
NA hapo mkuu ndipo shida kubwa ilipo kwa sababu hatujaelewana,na kwa haraka sina mfano mwingine wa kuutoa ili kukuelewesha.

Tufanye hii hoja ya gravitational force tuiweke pembeni naona itatupotezea muda maana hata mimi nimeyasoma maelezo yako naona bado niko na mambo mengi ya kuhoji na kuyakanusha,lakini yatatutoa nje ya maudhui.

Hivyo turudi kwenye hojakuu ya dunia tambarare na dunia tufe.

Naomba radhi kwa kuchelewa kujibu hii comment
 
Mkuu kuhusi satelite wewe ndio umeleta hii hoja nadhani bora nikujibu kwamba sielewi chochote kuhusu satelite.

Ninachofahamu kwamba hatutegemei kitu kinachoutwa satelite ili kujadili hoja za dunia tambarare ama mpira,hivyo sidhani kama hoja ya satelite ina nafasi katika kujadili nadharia hizi .

kama wewe ndio umeleta hoja ya satelite basi wewe ndio uifafanue na kuelezea ni kitu gani.

NA hapo mkuu ndipo shida kubwa ilipo kwa sababu hatujaelewana,na kwa haraka sina mfano mwingine wa kuutoa ili kukuelewesha.

Tufanye hii hoja ya gravitational force tuiweke pembeni naona itatupotezea muda maana hata mimi nimeyasoma maelezo yako naona bado niko na mambo mengi ya kuhoji na kuyakanusha,lakini yatatutoa nje ya maudhui.

Hivyo turudi kwenye hojakuu ya dunia tambarare na dunia tufe.

Naomba radhi kwa kuchelewa kujibu hii comment
Okay.

Swala la satelite nililileta kama moja wapo ya njia ya kutambua umbo halisi la dunia na hivyo lina nafasi katika kujadili nadharia hizi.
Lakini kama huelewi chochote kuhusu satelite, basi hapo tupaache.

Uliahidi kutoa maelezo kuhusu hili swala.
Tatu, napata ugumu kidogo kuelewa nama jua linazunguka dunia tambarare na kupelekea uwepo wa kipindi kifupi cha jua katika baadhi ya maeneo.

Unless kama inafanana na kilichopostiwa #948.

Kama ni hivyo, ningeomba unasidie kujibu maswali yaliyopo post #951

Karibu.
 
Swala la satelite nililileta kama moja wapo ya njia ya kutambua umbo halisi la dunia
Mkuuwalioanzisha nadharia ya dunia tufe wakati wao hakukuwa na kitu satelite so nadhani ingelikuwa satelite nji njia ya kutambua umbo la Dunia basi hapo zamani wasingekuja na dhana ya dunia tufe.

Ndio maana nikaona inshu ya satelite tuiwache kwa sababu haiwezi kuleta uthibitisho wowote zaidi ya maelezo ambayo nayo yatahitaji uthibitisho.
Uliahidi kutoa maelezo kuhusu hili swala.
Sahihi mkuu kabla sijatoa maelezo naomba nirudie tena kusema na nina amini unakumbuka kauli yangu kwamba mimi nipo hapa sio kwa sababu naamini dunia ni tambarare bali nipo hapa kujadili nadharia na kuone je tukizitia kwenye upande wa dunia sahani tambarare zitafanya kazi ?

NItakujibu mkuu ili tuone kama ina make sense
 
Mkuuwalioanzisha nadharia ya dunia tufe wakati wao hakukuwa na kitu satelite so nadhani ingelikuwa satelite nji njia ya kutambua umbo la Dunia basi hapo zamani wasingekuja na dhana ya dunia tufe.

Ndio maana nikaona inshu ya satelite tuiwache kwa sababu haiwezi kuleta uthibitisho wowote zaidi ya maelezo ambayo nayo yatahitaji uthibitisho.

Sahihi mkuu kabla sijatoa maelezo naomba nirudie tena kusema na nina amini unakumbuka kauli yangu kwamba mimi nipo hapa sio kwa sababu naamini dunia ni tambarare bali nipo hapa kujadili nadharia na kuone je tukizitia kwenye upande wa dunia sahani tambarare zitafanya kazi ?

NItakujibu mkuu ili tuone kama ina make sense
Sawa mkuu.
Tuko pamoja.
 
Nina mwezi sasa nafuatilia hii theory ya flat earth kwa kweli inaumiza kichwa sana. kwa sasa nimeiweka kapuni. baada ya kichwa kuanza kwenda mlama.
Bora wewe mkuu,mm nimebaki na maswali badala ya majibu
 
Interesting...!! hapana asee mtu anakwambia hamna aliyefika mwezini huyo sio mwana science hata kama ni mwana science anaichanganya na imani hapo ndio hutokea confusion
Kuhusu kufika mwezini mbona wengi wamehoji kuhusu ukweli wa hilo
 
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili.

Tafakari ni mambo mangapi ambayo ulifundishwa shuleni lakini hukuwahi kuyatumia maishani mwako, na ni mambo mangapi hukuridhishwa na majibu yake ukiwa mtoto au hata ukiwa mtu mzima ni mengi , How many laws, principals, theories and formulas that you did not actually understand at all but actually agreed to them just to get along with the system or just to answer the exam. or how many things that do not make sense in real life till now.. a lot!!

Ni wazi kwamba mfumo wa sasa wa maisha kiujumla hauna tofauti kubwa sana dunia nzima. UTANDAWAZI
Kwa mfano mfumo wa mfanya kazi aliesoma wa Marekani ,Europe,Asia nk hauna tofauti sana na huku kwetu Africa na kwengineko ,,Tukiweka pembeni mambo ya mshahara na customs nyingine...

Yani namaanisha msomi mwisho wa siku lazma uspecialize kwenye kwenye kitu ambacho utakifanyia kazi maishani mwamko ,mfano utakua either ,Daktari, Mwanasheria, Wakili, Rubani, Mwandishi wa habari, Engineer, Karani nk.... Na kazi hizi ndio maisha yako. Nikimaanisha kwa asilimia kubwa sana katika kazi uliyo somea . ndipo utakapo patia mkate wako wa kila siku, ili uweze kuendesha maisha yako na watu wa karibu yako.

Na hii ndio point kubwa ya elimu,,kukufundisha kusurvive ndani ya system kiujumla.kwa mawazo yangu.
Na mara nyingi hivi vitu tunavyo visomea huchukua muda mrefu sana katika maisha yetu

na ni vigumu sana kujifunza vyote maana vinachukua muda na uwezo. Hata kama una IQ gani ..ndo system ilivyo.
Hivyo kwakua kila mtu yupo busy kufanikisha malengo yake kielimu na kimaisha ,kuna vitu vingi tunaviacha nyuma bila kuwa na ujuzi navyo kamili kwasababu havitusaidii katika kusurvive katika system.... Ila tatizo ndo lipo hapo katika vitu tunavyoona havitusaidii katika maisha.

all in all being educated with a diploma ,bachelor,or masters is not all in life.
it just means that you master being a Good worker/slave to the system.

Okay tuachane na haya mambo maana there's a lot to talk about in the subject matter

No one is smarter we are just simply sharing information and ideas ,,because we often judge according to how we where taught .

JARIBU KUA OPEN MINDED NA UTAFAKARI KWA KUTUMIA UTASHI ULIOPEWA.

Tuongelee Dunia


Nadhani kila mtu hapa alifundishwa kuhusu umbo la DUNIA
according to wikipedia (Muundo wa dunia
unafanana na tufe kubwa yenye rediasi ya 6370 km kwa wastani[1]. Tufe la dunia yetu imeundwa na mabara kwa tabaka mbalimbali. Sayansi ina njia kuzitofautisha kufuatana na tabia zao.) hivi ndivyo wote tumefundishwa swali muhimu ni kujua maana ya tufe ni nini ?

(picha na maelezo kutoka wikipedia)



Picha ya tufe
Rediasi au nusukipenyo (= r) cha tufe
Tufe ni umbo la gimba linalofanana na mpira au chungwa. Lakini wala mpira wala chungwa ni tufe kamili.

Mwaka huu 2016 tunashuhudia ssa hivi DUNIA ipo katika maendeleo na mafanikio makubwa ya technolojia na sayansi (dunia ya utandawazi)

According to NASA {nadhani wote mnatambua NASA ni nini !!!} safari ya kwanza ya mafanikio kwa binadamu kutua mwezini ilkua mwaka 1969 jully kinachonishangaza pamoja na mafanikio yote ambayo mwanadamu ameyapata mpka sasa hakuna picha halisi ya Dunia duara au tufe picha zote za dunia tufe au duara ni CGI (computer generated image) mara nyingi picha za aina hii huwa na muonekano kama picha halisi lakin sio halisi kwa sababu zinatengenezwa na photoshop au program nyingine za kutengeneza CGI nadhani watu wenye ujuzi wa media na graphics mnaelewa nnachojaribu kuelezea hapa.

Dunia duara (spherical earth) iligunduliwa na (The discovery that the Earth is round is most commonly ascribed to the ancient Greek philosopher Pythagoras, while the credit for proving it is usually given to Aristotle. It appears that most ancient Greek philosophers that followed him believed in a round Earth. Since the records from that time are not perfect, it is quite possible that someone before him was aware of the Earth's round shape.)

Kwa ufupi tunaona kwamba dunia duara ipo mda mrefu sana lakin mpaka leo hakuna picha halisi ya DUNIA yenyewe unaweza kugoogle tafta '' picture of earth from space'' AMBAYO SIO CGI


PICHA YA DUNIA KUTOKA MWEZINI ANGALIA TOFAUTI ZILIZOPO
images


images


Na pia kumbuka kwamba Dunia ina mizunguko miwili according to science na hizo spidi ni kali sana. Kwa mfano mzunguko wa usiku na mchana ni kilometer 1000 kwa lisaa hii ni spidi kubwa sana. Mara nyingi tulipokua wadogo tulkua tukiuliza inawezekanaje dunua inazunguka kwa spidi kubwa sana lakin hatuoni chochote, WAALIMU walitwambia ni GRAVITY au gravitation force ndo inavishikilia vitu vyote visidondoke kutoka duniani.... mara nyingi katika topic hii mwanafunzi anakua anajaribu kutafakari haya yote yanawezekanaje lakin jibu kamili hua halipatikani.


rounwrld.jpg

Nadhani mpaka ssa hvi utakua atleast umepata mwelekeo kidogo.. hili swala lipo deep sana na lipo connected mambo mengine mengi ulimwenguni.

Ukweli mwizito ni kwamba dunia ni tambarare na haina mzunguko wowote yani imetulia (fixed) na wanaojulikana kama (ELITES =a select part of a group that is superior to the rest in terms of ability or qualities.) hawa ni watu wanaoiongoza dunia kiutawala kiuchumi kidini na mambo mengine mengi kupitia mitandao yao ilioenea dunia nzima ..hili swala la elites pia linaweza kuzungumziwa separate kwasababu nalo lilpo deep na nivizuri kutambua njinsi media pia zinavotumiwa na viongozi katika uongozi.. kabisa kama nlivosema mwanzo mambo mengi yana husiana (everything is connected) ivi ulishawahi kujiuliza kwanini ramani ya dunia ambayo ipo kwenye bendera ya umoja wa mataifa ipo tofauti kabisa.
images

Bendera ya umoja wa mataifa

Jiulize kwanini ramani ambayo inatumiwa na umoja wa mataifa ni tofauti kabisa na ramani za kawaida? na ijulikane kwamba alama zote za bendera duniani au michoro yoyote kwene bendera inamaana flani au inaashiria kituflamni katika jamii au katika historia kiujumla.

Hii inamaanisha kwamba umoja wa mataifa wanajua kitu kuhusu dunia tambarare. Lakini kwanini wanatuficha?

un.png


Okay tuzungumie kuhusu dunia kua tambarare kwa undani kabisa na ushaidi
ngoja nielezee kwanza muundo wa dunia kutokana na reerch ya flatearth society.

Hoja ni;

Dunia ni tambarare na haizunguki yenyewe wala haizunguki jua bali jua na vitu vyote angani vinaizunguka dunia na milango yetu yote ya fahamu inatuambia hivyo maana jua tunaliona kila siku linavyotuzunguka kwasababu tunaliuona mizunguko yake na pia mwezi na nyota vyote vinatuzunguka hivi ndivyo fahamu zetu zitatuambia na ndio ukweli in short THE EARTH IS THE CENTER OF THE UNIVERSE. Na hili jambo lilikua linajulikana miaka 500 iliopita na pia DINI zote za kale na sasa walizungumzia kuhusu dunia kua katikati ya kila kitu. mfano mzuri ni katika BIBLIA katika kitabu cha mwanzo mungu alielezea vuzuri tu umbo la dunia yetu

Flat-Earth-Memes-57-6.jpg
images


Lakini chakushangaza binadamu tunakataa jinsi fahamu zetu tano zinavyotutuma achilia mbali milango yetu ya fahamu pia katika dini hili swala limezungumziwa lakini bado watu waaamini picha za NASA kwamba wameenda mwezini embu jaribu kukaanje sikumoja usiku alafu angaliua mwezi vizuri kwa macho yako na unambie kama kuna mtu kaenda kwenye mwezi
  • Dunia ni tambarare na maji yote ya bahari yameshikiliwa na kuta za barafu zilizozunguka dunia nzima
  • images
    images
    images
kama kuna mtu yoyote duniani anae weza kutuonesha na kuthibitisha kua dunia ni duara maana yake dunia sio duara na

HII infahamika toka zamani na itambulike vita kati ya dini na wanasayansi na wanafilosofia wa zamani
DINI ZA DUNIA ZILINAJUA DUNIA NI TAMBARARE

1318069305657.png



ACCORDING TO ERIC DUBAY AND OTHER FREE THINKERS


Dunia [/ B] ina eneo la takriban maili 3965. Kutumia nadharia ya Pythagorean, ambayo huhesabu kwa wastani curvature [/ B] ya inchi 7.98 kwa maili au takriban inchi 8 kwa maili.

Hii inamaana kua dunia inaanza kupinda au ku curve kwa nchi 8 kwa mile moja hii inamaanisha kwamba kwamfano kuna point mbili A na B mtu wa A hatoweza kumuona mtu wa B alie mile kumi au hata ishirini je hii ni kweli?
angalia kwa makini uelewe

bedford-experiment.jpg
bedford-rowbotham.jpg


Hii ilijulikana sio kweli kwasababu ya uwepo wa camera na vifaa vyenye nguvu kwa watu tofauti na zamani hizi zifuatazo ni picha zinazoonesha umbali mkubwa ulioweza kuonekana katika camera na vifaa vingine na zote hizi hazioneshi curveture yoyote angalia

bedford-level.jpg
flat-earth-is-flat.jpg

Nimejaribu kutoa mwanga tu kwa wataopenda kujua ukweli na kufatilia kuhusu flat earth nenda utapata kila kitu IFERS

Ukitaka kuelewa hili swala pamoja na mambo mengine usiyoyajua na agenda za dunia fatilia kuhusu
JARIBU KUFATILIA UKWELI SSA HVI KUNA MAKUNDI MENGI YA WATU WANAAMKA NA KUGUNDUA HAYA MAMBO KIMSINGI HUU NDIO UKWELI WA MSINGI WA KWANZA .. SABABU ZA HAWA ELITES NA INTERNATINALISTS KUFICHA HUU UKWELI PIA ZIPO ,,,,,,, CATCHUP TO REALITY FATILIA KUHUSU DUMBING DOWN OF THE SOCIETY NA THE USE OF MEDIA ON MASS CONTROL
HAYA YOTE NI KUTUFUNGA TUSIJUE UKWELI?/
KUMBUKA THOSE WHO CLAIM TO HAVE THE TRUTH ARE EASILY DECEIVED
  1. PIA FATILIA KUHUSU WHY NO ONE IS ALLOWED TO GO TO ANTARTICA
  2. FLATEARTH YOU TUBE INA VIDEO NYINGI KUHUSU HILI SWALA
  3. THE BEST NARRATOR IS ERIC DUBAY ACCORDING TO ME
  4. PIA FATILIA KUHUSU CHEMTRAILS AND FOOD POISONING
  5. KIKUBWA FATILIA KUHUSU UWEZO WA BINADAMU KIROHO/NAFSI PIA KUHUSU PINEAL GLAND NA THIRD EYE HII HAINA MAUSIANO NA DINI ZETU INFACT KILA MTU ANATEZI KATIKATI YA UBONGO INAITWA PINEAL HII NDIO HUMFANYA MWANADAMU KUA NA UWEZO WA KIROHO NA NAFSI ...HAYA MAMBO YAPO LAKIN HATUFUNDISHWI ..
  6. PIA FATILIA KUHUSU NEW WORLD ODER KIUNDANI
  7. PIA JARIBU KUFATILIA ANCIENT HISTORY AND KNOWLEDGE ( ANCIENT CIVILAIZATION)
  8. FATILIA ATLANTIAN CONSPIRACY

  9. NASA IS A HOAX
  10. GLOBAL WORMING AND CLIMATE CHANGE IS A HOAX
  11. PIA FATILIA GEORGIA GUIDE STONES
  12. KIUFUPI BINADAMU TUNAUWEZO MKUBWA SANA LAKINI HATUJITAMBUI
  13. MANY OF THE THINGS WE KNW ARE JUST ALLEGORIES AND PLANE FACE LIES
  14. HII HAIWEZEKANI.......

WE ALL LIVE FOR A PURPOSE AND THE EARTH IS THE CENTER OF THE UNIVERSE
BIG BANG NA EVOLUTION THEORIES NI UMBEA NA PROPAGANDA


COPY and paste from.....

THIS POST WAS PUBLISHED BY ERIC DUBAY @ATLANIAN CONSPIRACY BOOK
For daring to spread this most important and overlooked truth, I have received death threats, lost friends and family members, had my forum shut down, and been kicked off Facebook thrice and counting. As damning and easily provable as is this fact of Jewish Freemason control, there is one other incredible fact which has also been held from humanity for 500 years now. This fact is even more damning and more easily provable, and is also a direct result of the Jewish Freemason control over the minds of the masses worldwide. It is the most marginalized, ridiculed, censored and hidden fact in history. If this fact was made known to the world at large, just this one fact, has the power to completely transform the world and everyone in it for the better, holistically, in a myriad of ways. Our rulers are well aware of this, and that is exactly why this truth has been held from us so expertly for so long. It is about the truth of who we are, where we come from, the actual position and significance of humans, Earth, the Sun, Moon, and stars.

The fact is: The Earth is flat and motionless. That is all. And that is the revelation that will finally break the matrix. You have been taught from the earliest ages that you live on a spinning ball. That NASA has sent men to the Moon, that satellites are hovering in perpetual orbit overhead, that an International Space Station contains astronauts free-floating above us, that the Earth is a ball that tilts, wobbles, spins on its axis and revolves around the Sun, and that all these and you are the result of a Big Bang cosmogenic explosion 14 billion years ago which created everything out of nothing. Yet nothing could be farther from the truth.

13254105_10154190157034293_7954312585114140960_n.jpg


The truth is simple and easily proven. You can see for yourself the horizon is always flat and you can measure using sextants, theodolites, and lasers to prove the Earth and its massive oceans have absolutely no curvature whatsoever. You can feel for yourself that the Earth beneath you is motionless and you can measure as Michelson, Morley, Gale, Sagnac, Airy and other scientists have to prove that the Earth is completely motionless. That's right. It has been long proven by several scientific experiments, even in the elitist "peer-reviewed journals" you critics constantly harp on about, that the Earth is a stationary plane. The reason you haven't heard about it before is because the media is controlled by the same people who created this deception. The only time you have ever heard a "Flat Earther" mentioned in the media, it was in jest or ridicule. The only thing you have ever heard about "Flat Earth" is that its adherents are ignorant idiots. Sorry to burst your space bubble, but if you still think you're living on a spinning ball in 2016, you my friend, are the ignorant one.

13615254_10154988989848916_7297770299845639125_n.jpg


Millions of people worldwide are waking up to this incredible re-discovery and this "Flat Earth movement" has the potential to bring about positive change on a unprecedented level. Like a balloon held underwater for 500 years, the momentum of truth rising to the surface is causing and will continue to cause huge ripples in the control system. As the spinning ball-Earth is finally being exposed worldwide for the 500 year deception it was, Earth's entire population is suddenly being faced with the reality that every government, every space agency, university, secret society, religious organization, mainstream and alternative media outlet have ALL been duplicitous in propping up a monstrous manipulation to fleece and control the masses. The resulting mass mental exodus away from the control system is exactly what humanity needs. Once the flat Earth truth gets out, these lying politicians, spokesmen, reporters and teachers suddenly change from being heralded voices of authority to being ridiculed, shunned and denounced as they deserve. Once the flat Earth truth gets out, these governments, universities, media outlets and other entangled organizations which have long been hard at work weaving this multi-generational cosmological myth, suddenly and completely lose all credibility. Once the truth of our flat Earth gets out, so does the truth of these few elite families/societies who have kept this most important and fundamental reality from us for these hundreds of years! Essentially, once the flat Earth truth gets out, so does every other important truth by proxy, because this "mother-of-all-conspiracies" holds under its umbrella literally ALL of the other conspiracies, and exposes them.

As a result of deeply understanding this and wanting to bring about a better world, it has become my life mission to spread the flat Earth truth to everyone. I have written two books on the subject, "The Flat Earth Conspiracy" and "200 Proofs the Earth is Not a Spinning Ball." I have re-started the International Flat Earth Research Society and maintain a website with hundreds of articles on the subject. I have done flat Earth radio interviews, made flat Earth FAQs, flat Earth shirts, written flat Earth rap songs, audio/video books, documentaries, and created every other kind of media I can think of to try and promote this message.

Now in just a few short years, thanks to the efforts of the rapidly growing flat Earth community, this has gone from a completely unknown, undiscussed topic to one of the highest ranked google search terms on the internet with tens of millions of hits monthly. If you still haven't done your due diligence in researching to know for yourself 100% that you are living on a flat, stationary plane, please look into the links provided. And for those of you who do know, I implore you to help my mission Operation: Spread Flat Earth Truth.

Simply knowing the truth yourself will not and cannot save the world. The only way to save the world is for the whole world to know the truth. As a means to that end, the most important type of activism anyone can be doing right now is spreading these important truths on a mass scale. There are innumerable creative ways to help achieve this; the following are several effective methods myself or friends have had success with:

1. Conversation: One of the best ways to engage people with the flat reality is through conversation. Asking leading questions, dropping hints, or just telling people various proofs and evidences is a great way to wake people up. This only works, however, if you are very knowledgeable about the subject yourself and able to answer every possible question without hesitation like the liars at NASA do.

2. Viewing Parties: Another good way to engage people is by getting them to agree to sit down and watch an informative documentary on the subject such as my videos "The World's Biggest Secret," or "The Masonic Matrix Manipulators" After watching you can then do your best to field any questions people may have.

3. Book Gifting: A great indirect way of engaging people is by buying and giving them copies of "The Flat Earth Conspiracy" and "200 Proofs the Earth is Not a Spinning Ball" or other good books on the subject. If you own flat Earth books yourself, be sure to let friends and family borrow them as well.

4. School Projects: If you are currently in school or university, a great way to expose this information is by writing essays or doing projects which tackle various aspects of ball-Earth pseudo-science or expose true flat Earth findings.

5. Social Media: I have had great success using social media to spread flat Earth truth. Simply create accounts with all the big social media sites like Facebook, Google+, Twitter, LinkedIn, Instagram, Reddit, StumbleUpon etc., join relevant groups and pages, follow people interested in related subjects, and post the best flat Earth material you can find to as many places as you can, as often as you can. Don't bother arguing with the trolls and closed-minds that will inevitably hound you, but rather focus on dissemination, spreading the message far and wide. If people ask genuine questions, be sure to answer, but anyone merely looking to ridicule should be left alone to talk with themselves.

6. Use YouTube and Other Video Sharing Sites: With 13 million hits and growing, my YouTube channel has done an excellent job spreading this message. We need more people to start flat Earth YouTube and other video sharing site channels, however, either creating original content or just re-uploading other good content. I personally have given everyone permission to use any/all of my content to help spread the word. Once you upload a new video to YouTube, then go to all your social media accounts and post each new video to all the relevant pages, groups and timelines you can.

7. Translations: For multi-lingual flat Earthers, one of the best things you can do is help translate good flat Earth material into your native tongue. My book "200 Proofs Earth is Not a Spinning Ball" has now been translated into 12 different languages and counting, reaching people who would otherwise never have a chance of understanding this material, the majority of which currently exists only in English.

8. Graffiti/Artwork: Another great method of spreading the word is through artwork or graffiti. Writing important search terms or keywords and phrases on paper money is also very effective. On the borders of your dollar bills, simply write AtlanteanConspiracy.com, IFERS.123.st, the Earth is Flat!, Google Flat Earth, Google Eric Dubay, or other such messages.

9. Pamphleteering/stickers: Creating small brochures or stickers with flat Earth information on them and handing them out in public spaces is an excellent way to spread the word. Compile several photo proofs or text proofs and put them in an easily printable and readable format then hand out as many as you can.

10: Radio/TV Show Call ins: Many different TV and radio shows give their viewers/listeners the opportunity to call in and talk with the host about certain subjects. A great way to spread the word is either by calling into these shows and engaging them on the subject on the spot, or contacting their producers before-hand and seeing if you could actually be interviewed.

There are an infinite number of creative ways we can spread this most important message, but the key is numbers and consistency. We need to hit a critical-mass tipping-point of awakened individuals dedicated to helping unplug everyone else from the spinning ball-Earth matrix. If you have figured out the truth of our flat Earth and realize the amazing positive implications of this being exposed worldwide, please join me on my mission to help spread flat Earth truth to the entire flat world
empty.gif
by Cannalive on Sat Oct 29, 2016 11:25 pm

I was told about this in jest. But once I got curious, I openly learned more and became awake. If you truly want to wake up and find the edges of your cage, you eventually cannot get over the hurdle of flat earth. Even when meeting a new friend and getting high together we both subconsciously brought up flat earth during our discussion, not really taking it seriously...until I said something that blew his mind. A simple truth about time zones if the sun was so far away. That was when I realized we have so much ability to slip into someone's conscious thought by redirecting away from the subject itself head on and slip through one of the many backdoors of logical.u
Noma.[emoji28]
 
Wewe uliyefuatilia hebu nipe mwanga wa hili, jamaa amesema dunia ni tambarare na maji yamezuiliwa kwa mabonge makubwa ya barafu. Swali, mwisho wa hayo mabonge ya barafu ni wapi na baada ya hayo mabonge kuna nini!
Ushahidi wa Kibiblia about Ice walls 👇
(Methali 8:27-29 "Alipozithibitisha mbingu nalikuwako, alipopiga DUARA KATIKA USO WA BAHARI. Alipoipa bahari mpaka wake kwamba maji yake yasiasi amri yake alipoiagiza misingi ya nchi") Ukitumia ya kingereza itakua vizuri zaidi!

Ukienda Kule Antarctica huruhusiwi kuvuka behind the walls! Kuna ulinzi mkali sana tena maalum wa special forces wa NASA. Wanaruhusu researchers wao tu na labda tourist nao huwa wanapelekwa maeneo ya hapo mbele tu na wanakua wamethibitishwa sana ili kwenda. Mataifa yote yamesign makubaliano ya kutokwenda kule hata Tanzania.

Kwanini? Sababu behind Ice walls is where exact the Earths edges are and probably the firmament is settling down the ground level. Lakini pia uwezekano upo kwamba Mungu alificha firmament to the ground level kama alivoficha bustan ya Eden na vitu vingine baada ya dhambi kuingia, maana alijua haya yote tungejaribu kuanza kuidestroy kama wanavotuma rocket kupasua ile ya juu.

ICE WALLS. Ziliumbwa na MUNGU mwenyewe kwaajili ya kukeep yale maji yote ya bahari yalio kwenye Flat Earth ili yasifall kwenye edges! Hilo walipoligundua wakaficha na wakabadilisha wakaitwa Bara la Antarctica! Tukadanganywa. Angalia logo ya UN (United Nations) ina ramani ya Flat Earth, these people they know the truth lakini hawataki tujue uumbaji wa Mungu.
 
Dunia ni duara coz unaweza kutoka tz na ndege ukatua us ukatoka us ukaenda china mwishowe ukatua tena tz kwa mzunguko mmoja
Kama Dunia ni Duara kwann kutoka Australia kwenda USA pawe mbali ilhali walikuwa wageuke tu kuzunguka round waikute USA upande wa pili.?? Fuatilia ramani wanazotumia pilots ni za flat earth na sio round
 
Kama Dunia ni Duara kwann kutoka Australia kwenda USA pawe mbali ilhali walikuwa wageuke tu kuzunguka round waikute USA upande wa pili.?? Fuatilia ramani wanazotumia pilots ni za flat earth na sio round
Swali, hiyo route unayotaka wewe ina vituo vya rada za kuchekia/kutrace mwenendo wa ndege na ukizingatia unatoka nchi kavu Australia uelekeo wa mashariki mpaka utakapokutana na nchi kavu magharibi ya bara la America hapo kati kati ni uwanda wa bahari tupu.

Halafu unapaswa kujua hiyo ni biashara ndege zina vituo kama unavyoona meli zinavyozunguka mabara kupita vituo mbali mbali vya bandari.

Huwezi kutoa abiria south africa uende uelekeo wa mashariki eti ukakutane na magharibi ya america kwa route unayotaka wewe ya moja kwa moja kupitia uwanda wa bahari tupu, risk zake unazifahamu kweli.

Think beyond, kuna vitu vingi vya kufikiria zaidi kuhusu hili la KWANINI tutaandika kitabu kizima hapa nimeweka kwa uchache tu.
 
me nadhani hujafatilia na pia wewe unaakili nyingi sana unashidwa kujua kwamba sheep visibility is limited to your eyes kama meli ingekua inashuka ungekua uioni ukitumia darubini,,lakin chakushangaza ni kwamba ata meli ikipotea machoni kwako ukitumia darubini unaona vizuri dont take things so easy nyie ndo mna cram hata hamuelewi unamezeshwa tu nawewe unameza tu kama dunia inazunguka mbona ndege zinapaa straight bila kuadjust curvature ,,,uvivu wako wakutafuta maarifa na habari unakufunga ubongo wako ,,,,,,embu amka we ulivo imbishwa form two ukaamini ndo unadhani ni ukweli fatilia vitu kwa undani ,,,alaf how brave will i be kutunga haya yote,,,,,??? kutojua mambo bhna
IMG_4733.jpeg
 
Hii kitu ya dunia duara ama flat mm ishanichanganya sana kila theory ina ukweli na kila theory haina ukweli hata hivo evidence za kuwa dunia ni duara ziko nyingi na s trong zaidi kuliko dunia ni flat.
Dunia ni duara

Usiku na mchana unadhihirisha kuwa dunia ni duara kwa sababu kuna muda upande mmoja ni usiku na upande mwingine ni mchana

Kuna nchi usiku ni mrefu zaidi kuliko mchana

Kuna nchi usiku unaingia ila jua lipp la utosini

Majira ya mwaka
Kuna sehe morthern pole huwa usiku kwa miezi 3 ama 4 na mchana kwa miezi 3 ama 4

Meli baharini
Najua maji kwenye uso wake huwa flat ila haya maji ya ziwa ama bahari eti hufuata duara la dunia, meli ikiwa mbali hautaiona hadi ikukaribie sababu inakuwa imefichwa na uduara wa maji. Hii huwa siielewi ila ndio ilivyo

Ukisaffiri naa ndege
Kama mlishanotice kitu ndege ukiwa ndani ya ndege always huwa haijakaa 180 degree huwa imenyanyuka kidogo kwa mbele hii ni sababu dunia ni duara

Dunia ni flat nachukua maelezo aliyoeleza mtoa uzi
 
Kama Dunia ni Duara kwann kutoka Australia kwenda USA pawe mbali ilhali walikuwa wageuke tu kuzunguka round waikute USA upande wa pili.?? Fuatilia ramani wanazotumia pilots ni za flat earth na sio round
Route zipo aisee wewe fanya kugoogle ,

Swali la nyongeza kwako hivi japan alivokiwasha na usa vita ya pili unadhani walitumia route zipi mkuu?
 
Yani umeshindwa kutumia akili ndogo tu kung'amua ya kwamba meli inatembelea usawa wa bahari so it's easy to notice kutoweka kwake mapema tofauti na ndege inayotembea maelfu ya futi juu kutoka usawa wa bahari kwahiyo kutoweka kwa ndege it's unnoticeable, halafu umeshajibiwa hapo juu ndege haiendi 180° it's entire route.
 
IMG_4755.jpeg
IMG_4752.jpeg
Route zipo aisee wewe fanya kugoogle ,

Swali la nyongeza kwako hivi japan alivokiwasha na usa vita ya pili unadhani walitumia route zipi mkuu?
1. Hakuna hata root moja iliyofanywa North-south na siku zote ndege inakwenda katika straight line.

2. Compass haiwezi kuwork kwenye ball never

3. Angalia root hiyo kutoka SA kwenda Australia lazima upitie Dubai, kwanini wasiende straight kutoka SA to Australia???. Sasa ukija kwenye flat earth map unaona uhalisia. Mapilot wengi waliohojiwa wanakiri Dunia ni flat lakini ni siri ambayo huwa hawaruhusiwi kuitoa.
IMG_4753.jpeg


IMG_4754.jpeg
 
Yani umeshindwa kutumia akili ndogo tu kung'amua ya kwamba meli inatembelea usawa wa bahari so it's easy to notice kutoweka kwake mapema tofauti na ndege inayotembea maelfu ya futi juu kutoka usawa wa bahari kwahiyo kutoweka kwa ndege it's unnoticeable, halafu umeshajibiwa hapo juu ndege haiendi 180° it's entire route.

Dunia inazunguka Dunia kwa speed ya 67,000mph ambayo ni sawa na 107,000km/hr. Dunia inajizungusha kwenye mhimili wake kwa 1,000mph ambapo ni sawa na 1,600km/hr. Spidi ya ndege (commercial) ikiwa angani speed yake ni 900-950km/hr.

Ndege ikisha takeoff inakuwa iko angani na muda huu Dunia inakuwa inazunguka jua kwa speed kali sana. Kwa hiyo speed ambayo dunia inazunguka jua unaona ndege inamatch speed hapo? Ndege zingekuwa zinapotelea angani sababu speed ya dunia kwenye kuzunguka jua ni kubwa sana.

Dunia ingekuwa ni ball ndege zingekuwa zina curve ili kwenda na usawa wa Dunia. Tuko kwenye enclosed system hakuna anayeweza kiutoka nje ya Dunia wala kuingia.
IMG_4751.jpeg
 
Back
Top Bottom