Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
1. Walio propose theory ya gravitational force wanasema ina act towards center ya hio ball na sio downward,...lakini hiyo theory kiuhalisia hata wewe unahisi ni kweli....? Kwamba maji nayo yameshikiliwa na gravitational force kwenye round-ball like this [emoji288]? Yani unaona hii emoji [emoji3591][emoji288] ilivyo ndiyo gravitational force inavyoshikilia maji according to hiyo theory... unaamini hivyo? {Ushawahi kuchunguza ukaona inawezekana?}

2. Kwenye ship visibility,. Kiuhalisia ni kwamba ukomo wa uoni wa macho yetu ndiyo yanafanya tuone kama Meli ina disappear{wengine wanasema hapo unapoona Meli ina disappear kuna curve kabisa kuthibitisha globe., hii si kweli Kwa upande wangu}, Kwasababu uoni wetu na hata vifaa tunavyotumia vina ukomo wa kuona,.. so hatuwezi kutumia Ship visibility kuthibitisha round-ball [emoji288].

3. Kwani wewe unahisi Dunia inashikiliwa na nini mkuu?,..{ kwanza weka akilini kwamba sijasema gravitational force haipo Ila nimesema,.Hakuna uthibitisho kwamba gravitational force inaweza kuhold maji kwenye shape ya round-ball namna hii [emoji288].....

4. Kuhusu lunar & solar eclipse......ipo hivi:-
Si unajua kwamba Jua na mwezi zinazunguka kwenye orbit? Sasa Jua na mwezi zinapokua kwenye mzunguko wao ikitokea Jua&Mwezi vime intercept kwenye huo mzunguko inapelekea kivuli >Eclipse{Solar/Lunar}[emoji94].......yaani hizi bodies mbili kwenye mzunguko wao zenyewe(orbit [emoji94]) ikitokea Mwezi umeblock mwanga wa Jua ndiyo tunapata Solar eclipse....na ikitokea Jua limeblock mwanga wa mwezi ndiyo tunapata Lunar eclipse....so sidhani kama kwa maelezo hayo unaweza ukatumia eclipse(s) kuthibitisha globe Kwa kuwa Dunia yenyewe ipo fixed Bali hizo celestial bodies(Jua&mwezi) zinapofanya movements zikikutana ndiyo zinapelekea eclipse.
Jibu number 2 umesema ni mwisho wa uoni ? Yani ukomo wa macho kuona ?? Napinga kwa herufi kubwa sana.

Mimi najua na nafahamu kuwa dunia ni duara ila bado napenda tu kujifanyia research ndogo ndogo....

Kuna siku nmekaa mda mrefu sana pale coco beach...

Nkawa naitizama meli ya mizigo ikiwa inaondoka kuelekea magharibi, ni zile meli kubwa zenye minara mirefu juu,

Ile meli kadri ilivyokua inaenda mbali ilizidi kupotea kwa mtindo wa kutumbukia huku mnara ukibaki vile vile,, Hatimae mnara nao ukaanza kupotea kwa style hiyo hiyo....

Kwa akili ya kawaida tu huo sio ukomo wa macho, Maana ingekua ni ukomo wa macho basi ingepotea nzima nzima kwa pamoja kwa sababu umbali wa meli kiujumla unaenda sambamba na kila kitu chake ikiwemo ule mnara.

Jambo lingine ambalo nmewahi kufanya tafiti nmewahi kukaa kwenye kilima nkawa natazama pande zote nane za dunia,

Yani nlikua naliangalia anga kwa umakini sana kutoka nlipo mpaka mwisho wa ukomo wa macho yangu kwenye hizo pande zote nane ...Ukitizama kwa umakini zaidi unagundua kabisa dunia ni TUFE.
 
Kama hizo nyota ulikua unaziona mda fulani usiku, ungejaribu kuamka masaa 3-5 mbele uangalie kama hizo nyota utaziona tena zikiwa pale pale
Maandishi yanaishi, nilipost 2016, unenirudisha Leo 2024,miaka name!
Nashukuru siyo kwa mawazo Yako ila tahadhari ya Kila ninachokiandika,najua naweza FUTA,ila najua athari zinaweza zisifutike kwa watakaosoma

Nirudi kwa hoja Yako, nimefanya yote, ninapoenda Kilala naziona, nikibanywa haja usiku hata wa manane ni lazima nizione, na hazijawai hama kamwe
 
Kwa hiyo mlikaa wapi na Elon mpaka akakueleza hayo? Unadhani wewe peke yako ndo umekutana na hizo theory za flat earthers? Wote tumekutana nazo Ila kwa kuwa hatukukariri darasani Ila tulielewa tukagoma kudanganyika
Nimefuatilia hii thread asilimia kubwa hujibu maswali ya watu....Ila unabase kwenye kushutumu Mara. Matrix Mara NASA ni kupinga wakati NASA ni abbreviation na kirefu chake kila mtu anakijua.

Hakuna anayepinga biblia hapa Mungu mwenyewe alituachia mafumbo ili tufanye research tuongeze maarifa..angetaka kutuweka wazi angeandika bila mafumbo kuwa dunia ni flat na hakuna kiumbe kitatoka nje.

Hizo operation zote ulizoweka hapo hakuna asiyezijua na malengo yake yamewekwa bayana ila kwa kuwa umeamua kuuacha ukweli na kwenda kuutafuta uongo ili kuiridhisha nafsi yako.
Unasema curvature tunayoiona ni shape ya lens ya macho...hivi unaijua shape ya lens ya macho kazi yake? Shape ya lens haiathiri umbo la kitu nikionacho Bali huathiri uelekeo wa mwanga nilijua mweupe physics tu kumbe hata biology😀
😂😂😂😂
 
1. Sijajua we umeona shida nn hapo?
2. Kwann kibendera kionekane kama uoni wetu hafifu?
3. Sasa kama unaamini gravity ipo ina-act vipi?
4. Sasa kwenye hiyo Dunia kama sinia hiyo process inawezekana vipi? (Nadhani umeshaona jinsi flateathers walivyo illustrate hiyo flat earth)

Nakupa task, kwasabab ww unatumia normal observations
1. Angalia sunrise/set utaona Jua linaakisi kwenye mawingu Kwa chini(at the bottom of the clouds) kama hivi 👇👇
View attachment 2860476

2. Zingatia time zone katika miji tofauti

3. Lunar eclipse jinsi earth inavyo cast a round shadow on the moon👇👇
View attachment 2860494
Mkuu,..
1. Shida ni kwamba Hakuna proof kwamba maji yanaweza kustick kwenye round-ball kama hii ➡️🌍....au wewe kipi kinafanya uamini hivyo?

2. Hapo ishu ni uoni Tu,... ndiyo maana ukifika physically sehemu ambayo unahisi ndiyo kuna curve au mteremko hutoona curve au mteremko wowote zaidi ya tambarare.....
3. Mimi naona theory of gravity imetumika kujaribu kuelezea jinsi laws of nature zinavyofanya kazi....so,kwa kuwa ni theory haituzuii kuijadili ukweli wake...mfano tunapaswa Kujiuliza namna gravity inavyopelekea maji yastick kwenye round-ball.
4. Mkuu, kama umenielewa nilisema kwamba eclipse haina uhusiano wowote of whether Dunia ni flattened round-plate au ni round-ball....au ngoja nikuulize, Shape ya dunia inahusiana vipi na eclipse?
Kuhusu hiyo picha kwamba Jua linaakisi kwenye mawingu Kwa chini(at the bottom of the clouds)....., Mkuu, Jua haliwezi kuakisi mawingu Kwa chini. ipo hivi,.... Mwangaza wa jua huwa unavuka mawingu na kupenya kutokea kwa juu., ndiyo maana unaweza kuona mawingu yakionekana kuwa na rangi au kuangaza chini wakati wa jua kutokana na mwanga wa jua kupenya kwenye mawingu na sio kwamba mwanga huo unatokea kupitia chini.....
 
Jibu number 2 umesema ni mwisho wa uoni ? Yani ukomo wa macho kuona ?? Napinga kwa herufi kubwa sana.

Mimi najua na nafahamu kuwa dunia ni duara ila bado napenda tu kujifanyia research ndogo ndogo....

Kuna siku nmekaa mda mrefu sana pale coco beach...

Nkawa naitizama meli ya mizigo ikiwa inaondoka kuelekea magharibi, ni zile meli kubwa zenye minara mirefu juu,

Ile meli kadri ilivyokua inaenda mbali ilizidi kupotea kwa mtindo wa kutumbukia huku mnara ukibaki vile vile,, Hatimae mnara nao ukaanza kupotea kwa style hiyo hiyo....

Kwa akili ya kawaida tu huo sio ukomo wa macho, Maana ingekua ni ukomo wa macho basi ingepotea nzima nzima kwa pamoja kwa sababu umbali wa meli kiujumla unaenda sambamba na kila kitu chake ikiwemo ule mnara.

Jambo lingine ambalo nmewahi kufanya tafiti nmewahi kukaa kwenye kilima nkawa natazama pande zote nane za dunia,

Yani nlikua naliangalia anga kwa umakini sana kutoka nlipo mpaka mwisho wa ukomo wa macho yangu kwenye hizo pande zote nane ...Ukitizama kwa umakini zaidi unagundua kabisa dunia ni TUFE.
Je, tukifika physically hilo eneo ambalo wewe unasema uliona Meli ikitumbukia.... tutaweza kuona hivyo hivyo?

Mkuu yani umejua kwamba Dunia ni tufe Kwa kuangalia anga? Yani umeangalia anga ndiyo ukaona kwamba Dunia ni tufe la namna hii ➡️🌍?!
Basi sawa ni kipi kilichokufanya ujue Dunia ni tufe Kwa kuangalia anga,...uliona kitu gani?
 
Maandishi yanaishi, nilipost 2016, unenirudisha Leo 2024,miaka name!
Nashukuru siyo kwa mawazo Yako ila tahadhari ya Kila ninachokiandika,najua naweza FUTA,ila najua athari zinaweza zisifutike kwa watakaosoma

Nirudi kwa hoja Yako, nimefanya yote, ninapoenda Kilala naziona, nikibanywa haja usiku hata wa manane ni lazima nizione, na hazijawai hama kamwe
Ni kweli maandishi yanaishi chief.

Okay niendelee na mjadala,

Kuna zile nyota huwa tatu kwa pamoja, Huwa zinaonekana sana kuanzia mida ya saa1 jioni hadi saa4-5 usiku.

Kuna ile nyota huwa inang'aa sana kwa kumeta meta kuliko zote nayo inaonekana mida hiyo nliyotaja hapo.

Emu fanya utafiti wako tena siku ambayo anga lipo clear alafu ulete mrejesho hapa hapa.

( Kama una cm yenye camera nzuri piga picha ya saa1-5 usiku eneo hilo lenye hizo nyota, na upige eneo hilo hilo saa7-10 usiku )

Nmetaja aina hizo za nyota sababu ndio popular, Ukifanya hilo zoezi usisahau kutuletea mrejesho hapa.
 
Poa ,ngoja nifuatilie
 
Je, tukifika physically hilo eneo ambalo wewe unasema uliona Meli ikitumbukia.... tutaweza kuona hivyo hivyo?

Mkuu yani umejua kwamba Dunia ni tufe Kwa kuangalia anga? Yani umeangalia anga ndiyo ukaona kwamba Dunia ni tufe la namna hii [emoji3591][emoji288]?!
Basi sawa ni kipi kilichokufanya ujue Dunia ni tufe Kwa kuangalia anga,...uliona kitu gani?
Je, tukifika physically hilo eneo ambalo wewe unasema uliona Meli ikitumbukia.... tutaweza kuona hivyo hivyo?

Jibu ni Hapana huwezi kuona hivyo ukiwa hapo,

Kuhusu mimi kujua dunia ni tufe kwa kuangalia anga ndio nmejua kupitia hayo na mengine mengi, Na nmetoa msisitizo kuwa ni lazima uwe "makini" lakini vile vile uwe timamu kiakili na mwenye uwezo wa kudadavua jambo kupitia fikra zako.
 
Kwanini huwezi kuona huo mteremko ukiwa hapo?!

Sawa,.. umetumia mbinu gani kudadavua mpaka ukagundua Dunia ni tufe Kwa kupitia anga,.
 
Kwanini huwezi kuona huo mteremko ukiwa hapo?!

Sawa,.. umetumia mbinu gani kudadavua mpaka ukagundua Dunia ni tufe Kwa kupitia anga,.
Kuhusu mteremko ndio hiyo curvature tunazungumzia,

Hauwezi kuona curvature ya Dunia sehemu ulipo kwasababu Dunia ni kubwa..( Imagine size ya bakteria akiwa kwenye mpira ndio wewe ulivyo kwenye hili tufe Dunia )

Mbinu nliyotumia;
Nmetumia uwezo wangu mkubwa wa kufikiri mambo kwa kina,

Ambapo nlipata majibu sawa na wengine ambao nao walifikiri kama mimi na wakatunia nyenzo tofauti tofauti kupata uthibitisho.
 
Mimi Kwa maoni yangu binafsi,. kutokana na observations za kutizama Kwa macho na kushirikisha akili:-
1. Dunia sio round-ball la namna hii 🌍.... Proof{There's no way maji yatastick kwenye round ball, hata gravitational haiwezi kushikilia maji kwenye round-ball}

2. Kwa kutumia Tu usafiri wa nchi kavu na majini(Not necessarily utumie Usafiri wa anga),.. utaweza kusafiri Dunia nzima na kugundua kwamba dunia haina shape ya namna hii ➡️🌍.

3. Dunia inaweza isiwe flat mstatili Kama meza,..lakini inaweza kuwa flat kama sahani.

4. Mwanga wa Jua kwenye flat earth,.hauwezi kumulika Dunia nzima Kwa wakati mmoja Kwasababu Dunia ni kubwa kuliko Jua......hii inapelekea mwanga wa Jua kuangaza upande fulani wa Dunia kwenye muda husika.(i.e Usiku na Mchana).

5. Dunia haizunguki,.Bali celestial bodies kama mwezi na jua ndiyo zinazunguka,. Dunia ime stick kwenye position Ile Ile...

Haya ni maoni yangu kwa kutumia uoni wa macho,.. without being influenced by anyone.
dunia ni kubwa kuliko jua😂🤣😅😆😁
 
Kuhusu mteremko ndio hiyo curvature tunazungumzia,

Hauwezi kuona curvature ya Dunia sehemu ulipo kwasababu Dunia ni kubwa..( Imagine size ya bakteria akiwa kwenye mpira ndio wewe ulivyo kwenye hili tufe Dunia )

Mbinu nliyotumia;
Nmetumia uwezo wangu mkubwa wa kufikiri mambo kwa kina,

Ambapo nlipata majibu sawa na wengine ambao nao walifikiri kama mimi na wakatunia nyenzo tofauti tofauti kupata uthibitisho.
Kwahiyo hapo kwenye curvature,... ndiyo umeona Meli inatumbukia?

Curvature ingekuepo,..na kutumbukia huko unakosema wewe..,watu wangeshuhudia,...it's just an illusion from your eyes,...Meli haitumbukii mkuu.
 
dunia ni kubwa kuliko jua😂🤣😅😆😁
Jua na Mwezi, kipi kikubwa?
Dunia na Mwezi, kipi kikubwa?

Ukishajibu hayo maswali hapo juu,...Njoo uelezee jinsi Solar eclipse inavyotokea kisha utafaham kwamba probably Jua sio kubwa kama ulivyoaminishwa.

Unlearn to learn.
 
Kwahiyo hapo kwenye curvature,... ndiyo umeona Meli inatumbukia?

Curvature ingekuepo,..na kutumbukia huko unakosema wewe..,watu wangeshuhudia,...it's just an illusion from your eyes,...Meli haitumbukii mkuu.
Jaribu kuelewa nini hasa nmelenga/Kumaanisha kwa kutumia hilo neno "kutumbukia"

Umesema ni Illusion ? Nielezee Ni illusion kivipi na inakuaje hadi inatokea hivyo
 
Jaribu kuelewa nini hasa nmelenga/Kumaanisha kwa kutumia hilo neno "kutumbukia"

Umesema ni Illusion ? Nielezee Ni illusion kivipi na inakuaje hadi inatokea hivyo
Mkuu mbona nimekuelewa vizuri tu,..yaani kwamba kwenye dunia yenye umbo la tufe 🌍.... Baharini kuna specific place(point) ambapo kuna Curve ambayo ndiyo inafanya ukiwa nchi kavu uone kama meli inatumbukia:-

Ndiyo maana nimepinga hiyo argument yako Kwa kuwa inaonekana ni illusion tu ya macho,...kama ingekua ni kweli kuna hiyo curve au mteremko tungejua tu hasa kwa level ya technology ambayo Dunia imefikia Kwa sasa.

Mkuu, kumbuka macho ndiyo hufanya tuone kwamba Jua linachomoza na kuzama(Illusionary)....kumbe kiuhalisia haipo hivyo.
 
Mkuu mbona nimekuelewa vizuri tu,..yaani kwamba kwenye dunia yenye umbo la tufe [emoji288].... Baharini kuna specific place(point) ambapo kuna Curve ambayo ndiyo inafanya ukiwa nchi kavu uone kama meli inatumbukia:-

Ndiyo maana nimepinga hiyo argument yako Kwa kuwa inaonekana ni illusion tu ya macho,...kama ingekua ni kweli kuna hiyo curve au mteremko tungejua tu hasa kwa level ya technology ambayo Dunia imefikia Kwa sasa.

Mkuu, kumbuka macho ndiyo hufanya tuone kwamba Jua linachomoza na kuzama(Illusionary)....kumbe kiuhalisia haipo hivyo.
Illusion ? kwanini isipotee yote kwa pamoja nsiione kabisa ?

Kama kuona inavyotoweka taratibu ni illusion naomba unielezee vizuri inakuaje mkuu
 
Illusion ? kwanini isipotee yote kwa pamoja nsiione kabisa ?

Kama kuona inavyotoweka taratibu ni illusion naomba unielezee vizuri inakuaje mkuu
Mbona simple,... Ni illusion Kwasababu Meli haitoweki wala kupotea taratibu Bali macho yako ndiyo yamefikia ukomo wa kuona... Macho yangekua na uwezo wala usingeona Meli ikipotea,.tena ungekua na uwezo wa kuiona Meli mpaka inapofika destination yake.
 
Kwahiyo ukomo wa kuona ndio unaonyesha kitu kikiwa kama kinazama ? [emoji28]

Kwanini object husika ( Meli ) isingepotea kwa kufifia ?? Kama ambavyo tunaona ndege angani ?

Kwanza nkuulize umewahi kushuhudia kama mimi ?? Maana naona utetezi wako unakosa maana kabisa, Nataka nieleweshane hili jambo na mtu ambae alishuhudia kama ilivyo mimi,

Alafu swali lingine hivi unaelewa dhahiri maana ya neno Illusion ?
 
Illusion inatokea pale ambapo unaona kitu/situation tofauti na uhalisia wake ulivyo.

1.Ndiyo, ukomo wa kuona ndio unaosababisha meli kuonekana kama inazama baharini. Meli kiuhalisia haizami kabisa(kushuka as unavyosema ukiamini eneo hilo ndiyo kuna curve), lakini inaonekana hivyo kutokana tu na namna mwanga unavyovunjika angani.... Inashangaza kuona unacheka kuhusu hili mbona ipo scientifically proven kabisa?!

2. Mkuu ipo hivi,... Meli huonekana kama inapotea Kwa kuzama baharini kwa sababu Tu ya refraction ya mwanga. Refraction ni jambo la mwanga kubadilisha mwelekeo wake unapopita kupitia njia mbili tofauti. Katika kesi hii, mwanga unapopita kupitia hewa na maji, mwanga huinama. Hii inasababisha meli kuonekana kama inazama baharini,lakini sivyo.

Ebu jaribu kuchukua kipande cha mti kisha kiweke kwenye ndoo yenye maji,,.Je, Tukio utakaloona kwenye hiyo ndoo ni uhalisia au just illusion mwanga umeyahadaa macho yako?

3. Ndege angani hutokea kufifia kwa sababu ya umbali mrefu na hewa inayosababisha athari ya "blur." So, Meli haiwezi kupotea Kwa kufifia kama Ndege ni situations zinazotofautiana.
a. Kupotea Kwa Meli, kunahusisha vitu vinne umbali mrefu, mwanga, hewa na maji.
b. Kupotea Kwa Ndege kunahusisha vitu vitatu umbali mrefu, mwanga na hewa ambayo inapelekea athari ya Blur"......

4. Yap, nimewahi kushuhudia tukio la namna hiyo.
 
Back
Top Bottom