Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Jibu number 2 umesema ni mwisho wa uoni ? Yani ukomo wa macho kuona ?? Napinga kwa herufi kubwa sana.1. Walio propose theory ya gravitational force wanasema ina act towards center ya hio ball na sio downward,...lakini hiyo theory kiuhalisia hata wewe unahisi ni kweli....? Kwamba maji nayo yameshikiliwa na gravitational force kwenye round-ball like this [emoji288]? Yani unaona hii emoji [emoji3591][emoji288] ilivyo ndiyo gravitational force inavyoshikilia maji according to hiyo theory... unaamini hivyo? {Ushawahi kuchunguza ukaona inawezekana?}
2. Kwenye ship visibility,. Kiuhalisia ni kwamba ukomo wa uoni wa macho yetu ndiyo yanafanya tuone kama Meli ina disappear{wengine wanasema hapo unapoona Meli ina disappear kuna curve kabisa kuthibitisha globe., hii si kweli Kwa upande wangu}, Kwasababu uoni wetu na hata vifaa tunavyotumia vina ukomo wa kuona,.. so hatuwezi kutumia Ship visibility kuthibitisha round-ball [emoji288].
3. Kwani wewe unahisi Dunia inashikiliwa na nini mkuu?,..{ kwanza weka akilini kwamba sijasema gravitational force haipo Ila nimesema,.Hakuna uthibitisho kwamba gravitational force inaweza kuhold maji kwenye shape ya round-ball namna hii [emoji288].....
4. Kuhusu lunar & solar eclipse......ipo hivi:-
Si unajua kwamba Jua na mwezi zinazunguka kwenye orbit? Sasa Jua na mwezi zinapokua kwenye mzunguko wao ikitokea Jua&Mwezi vime intercept kwenye huo mzunguko inapelekea kivuli >Eclipse{Solar/Lunar}[emoji94].......yaani hizi bodies mbili kwenye mzunguko wao zenyewe(orbit [emoji94]) ikitokea Mwezi umeblock mwanga wa Jua ndiyo tunapata Solar eclipse....na ikitokea Jua limeblock mwanga wa mwezi ndiyo tunapata Lunar eclipse....so sidhani kama kwa maelezo hayo unaweza ukatumia eclipse(s) kuthibitisha globe Kwa kuwa Dunia yenyewe ipo fixed Bali hizo celestial bodies(Jua&mwezi) zinapofanya movements zikikutana ndiyo zinapelekea eclipse.
Mimi najua na nafahamu kuwa dunia ni duara ila bado napenda tu kujifanyia research ndogo ndogo....
Kuna siku nmekaa mda mrefu sana pale coco beach...
Nkawa naitizama meli ya mizigo ikiwa inaondoka kuelekea magharibi, ni zile meli kubwa zenye minara mirefu juu,
Ile meli kadri ilivyokua inaenda mbali ilizidi kupotea kwa mtindo wa kutumbukia huku mnara ukibaki vile vile,, Hatimae mnara nao ukaanza kupotea kwa style hiyo hiyo....
Kwa akili ya kawaida tu huo sio ukomo wa macho, Maana ingekua ni ukomo wa macho basi ingepotea nzima nzima kwa pamoja kwa sababu umbali wa meli kiujumla unaenda sambamba na kila kitu chake ikiwemo ule mnara.
Jambo lingine ambalo nmewahi kufanya tafiti nmewahi kukaa kwenye kilima nkawa natazama pande zote nane za dunia,
Yani nlikua naliangalia anga kwa umakini sana kutoka nlipo mpaka mwisho wa ukomo wa macho yangu kwenye hizo pande zote nane ...Ukitizama kwa umakini zaidi unagundua kabisa dunia ni TUFE.