Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Vizuri,...nitajibu Kwa kuuliza swali ili tuendelee...
Je,.una fahamu kama macho yana ukomo wa kuona kadri distance inavyoongezeka? under ceteris paribus...
Distance Kutoka katikati ya Atlantic mpaka USA na AFRICA na ile Distance kutoka hapa duniani mpka kwenye Mwezi na those stars shining wepi ni umbali mkubwa kwa uwelewa wako.

Kwanini tuone mwezi ambao upo mbali mara 1000+ ya kutoka kati ya Atlantic mpaka USA.

Pia upto wa macho ndio upondishe bahari kweli kwanini nisione tu BLUR kwamba macho yamefeli bahari ipinde chini HII INAINGIA AKILINI

Go on
 
Kuweka picha ya Dunia yenye size hiyo kisha ukaweka na ndege yenye size hiyo ni ukichaa mwengine. Ndege haikutakiwa kuonekana hata kdogo hapo. Ni sawa niseme nioneshe nyumban unapokaa Kwa kupitia kweny picha hiyo itawezekanaje!!
Ukishaelewa maana yake utaelewa kwanini haihitaji kufikiri kwamba ndege inarukaje upside down kama Dunia ni duara
Hahh,..umesahau kama kuna picha ulituma hapa kuonyesha curvature of the earth? Ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu.

Take a look at the impossi-ball[emoji1370],...Then laugh [emoji23]

View attachment 2918606
 
Kuweka picha ya Dunia yenye size hiyo kisha ukaweka na ndege yenye size hiyo ni ukichaa mwengine. Ndege haikutakiwa kuonekana hata kdogo hapo. Ni sawa niseme nioneshe nyumban unapokaa Kwa kupitia kweny picha hiyo itawezekanaje!!
Ukishaelewa maana yake utaelewa kwanini haihitaji kufikiri kwamba ndege inarukaje upside down kama Dunia ni duara
Huyo jamaa ni wale kichwa kimegoma kwenda beyond na alicholishwa mtandaoni.......
Ndo maana hawezi kujibu nadharia nyingi tu zilizothibitishwa kisayansi
Anasema Einstein aliprove wrong gravitation theory ya Newton
Kwanza hata hiyo theory ya Einstein hawezi hata kuidadavua maana navyojua Einstein hakusema hakuna gravity Ila aliitune kidogo kwa kuweka baadhi ya conditions za hiyo gravitation inavyo interact between bodies in space
 
Vizuri,...nitajibu Kwa kuuliza swali ili tuendelee...
Je,.una fahamu kama macho yana ukomo wa kuona kadri distance inavyoongezeka? under ceteris paribus...
Huo ndo uongo mwingine yaani niione ndege iliyo maelfu ya futi juu nisiweze kuiona meli iliyo km moja nikiwa baharini? 🙌 Bro toka huko uliko hata biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Distance Kutoka katikati ya Atlantic mpaka USA na AFRICA na ile Distance kutoka hapa duniani mpka kwenye Mwezi na those stars shining wepi ni umbali mkubwa kwa uwelewa wako.
Yap.,umbali kutoka Duniani mpaka mwezini &Nyota ni mbali zaidi compared na umbali between Atlantic ➡️USA➡️ Africa
Kwanini tuone mwezi ambao upo mbali mara 1000+ ya kutoka kati ya Atlantic mpaka USA.
Zipo sababu mbalimbali zinazofanya tuone objects zilizo mbali kwenye anga na tushindwe kuona objects zilizo karibu kwenye land surface,. Nitajaribu kuweka chache hapa:-

(a) Obstacles/Vizuizi.
When looking across large bodies of water like the Atlantic Ocean, The presence of obstacles like waves, ships, and land masses,..Milima,.mabonde na kadhalika can obstruct our view. These obstacles scatter and absorb light, making it difficult for us to see objects at great distances....... Kwenye anga hakuna obstacles kama hizo that's why tunaona mbali zaidi.

(b)Mwanga/Lights
,..
Objects kama Mwezi na Nyota tunaweza kuziona licha ya umbali mrefu,..kutokana na mwanga mkali ambao zina emit lakini pia kutokana na absence of obstacles kama nilivyotaja hapo juu.

Pia upto wa macho ndio upondishe bahari kweli kwanini nisione tu BLUR kwamba macho yamefeli bahari ipinde chini HII INAINGIA AKILINI

Go on
Kwenye hili la macho yako kuona bahari imepinda ukiwa kwenye distance fulani,..nitakuwekea Tu mfano mwepesi 👇🏼
Chukua fimbo kisha weka kwenye ndoo yenye maji..utaona kitu gani?

Ukishaona nenda kajifunze kitu kinaitwa "Refraction" ....then utaelewa kwanini unaona bahari ina bend wakati kiuhalisia haipo hivyo it's just refraction deceiving your eyes.

Hopefully you are satisfied...
 
hateeb10

Naomba nifahamishe hili jambo ( Sunset ) kwa nadharia yenu.
 
Huyo jamaa ni wale kichwa kimegoma kwenda beyond na alicholishwa mtandaoni.......
Ndo maana hawezi kujibu nadharia nyingi tu zilizothibitishwa kisayansi
Anasema Einstein aliprove wrong gravitation theory ya Newton
Kwanza hata hiyo theory ya Einstein hawezi hata kuidadavua maana navyojua Einstein hakusema hakuna gravity Ila aliitune kidogo kwa kuweka baadhi ya conditions za hiyo gravitation inavyo interact between bodies in space
Hata mitandao ingekua haipo,...isingezuia watu wenye akili timamu kujua kama Dunia sio tufe na kuhoji namna gravity inaweza kushikilia maji kwenye tufe linalozunguka.

Yap Einstein alisema kwamba Gravity sio force kama watu wanavyoichukulia ikiwemo wewe...na ndiyo na yeye akaleta theory za Relativity....

Jitahidi usiwe offended na hoja, relax,.. you'll learn alot 🤝🏼
 
hateeb10

Naomba nifahamishe hili jambo ( Sunset ) kwa nadharia yenu.View attachment 2919537
Sawa,...
1. Kwanza inapaswa ufahamu kwamba Jua ndiyo linafanya movement,.na Dunia ipo stationary(kama milango yako ya fahamu inavyokuambia).
2. Then, Tufahamu kwamba Dunia ni kubwa sana kiasi ambacho Jua haliwezi kuangazia Dunia nzima at once.....

3. Actually,..Jua halizami bali lina move mbali na eneo fulani la Dunia(kitu ambacho kinapelekea eneo hilo kukosa mwanga wa Jua na Ku experience Giza/usiku).....&vice versa.

Nimejaribu kuelezea Kwa ufupi,.maana nilishaelezea kuhusu hili kwenye posts zilizopita,...kama una swali juu ya maelezo haya unaweza ukauliza.
 
Bado sijapata jibu,

Swali langu limelenga hapa, Why linapotea kwa mtindo huo unaouona kwenye clip Kama Dunia ni flat ?
 
Sawa,...
1. Kwanza inapaswa ufahamu kwamba Jua ndiyo linafanya movement,.na Dunia ipo stationary(kama milango yako ya fahamu inavyokuambia).
2. Then, Tufahamu kwamba Dunia ni kubwa sana kiasi ambacho Jua haliwezi kuangazia Dunia nzima at once.....

3. Actually,..Jua halizami bali lina move mbali na eneo fulani la Dunia(kitu ambacho kinapelekea eneo hilo kukosa mwanga wa Jua na Ku experience Giza/usiku).....&vice versa.

Nimejaribu kuelezea Kwa ufupi,.maana nilishaelezea kuhusu hili kwenye posts zilizopita,...kama una swali juu ya maelezo haya unaweza ukauliza.
Umesema jua ni dogo haliwezi kuangaza mabara yote kwa wakati mmoja,

Na ukasema kwamba jua lina move ( movement ya kwenda kuangazia mwanga mabara mengine )

Nna swali lingine hapa wakati nasubiri majibu ya swali la kwanza, Jua linapokua kwenye utosi huwa lina muonekano mdogo tu yani wa kawaida,

Lakini inapofika wakati wa sunset linaonekana kubwa kuliko lilipokua usawa wa utosi.

1;Why linapotea kwa kuzama ? ( Hapa tungetegemea lipotee kama ambavyo ndege zinapotea ikiwa inaenda mbali zaidi )

2; Why jua linakua na muonekano mkubwa zaidi wakati wa sunset ?
 
1. Jua halipotei Kwa kuzama ni perspective tu ambayo probably inatokana na refraction ya mwanga unapopita kwenye maji.... angalia distance ya Jua na Dunia kisha jiulize how come useme Jua linapotea Kwa kuzama?

2. Jua linakua na muonekano mkubwa wakati wa sunset na sunrise kutokana na optical illusion inayosababishwa na effect ya refraction ya mwanga wa Jua tu kama nilivyosema hapo juu kwenye case ya kuzama Kwa Jua,...na sio kwamba ndiyo uhalisia wake upo hivyo.
 
Hayo yanaitwa majibu ya kuunga unga.
 
Hata mitandao ingekua haipo,...isingezuia watu wenye akili timamu kujua kama Dunia sio tufe na kuhoji namna gravity inaweza kushikilia maji kwenye tufe linalozunguka.

Yap Einstein alisema kwamba Gravity sio force kama watu wanavyoichukulia ikiwemo wewe...na ndiyo na yeye akaleta theory za Relativity....

Jitahidi usiwe offended na hoja, relax,.. you'll learn alot 🤝🏼
Umeshindwa kuelewa Newtonian mechanics ambayo nyepesi hata kuiprove uje uelewe general relativity ambayo ni too astronomical
Anyways hujanijibu atmospheric pressure inasababishwa na Nini?
Naongezea swali Yale maji huwa tunaona yanasafiri pale salender bridge huwa yanaenda wapi? Na ni Nini kinasababisha?
 
1. Jua halipotei Kwa kuzama ni perspective tu ambayo probably inatokana na refraction ya mwanga unapopita kwenye maji.... angalia distance ya Jua na Dunia kisha jiulize how come useme Jua linapotea Kwa kuzama?

2. Jua linakua na muonekano mkubwa wakati wa sunset na sunrise kutokana na optical illusion inayosababishwa na effect ya refraction ya mwanga wa Jua tu kama nilivyosema hapo juu kwenye case ya kuzama Kwa Jua,...na sio kwamba ndiyo uhalisia wake upo hivyo.
Kama hauna majibu ni lazima kujibu kila kitu ?

Majibu yako hayana uhalisia kabisa.

Naomba majibu ya kueleweka kama hauna majibu ni vyema uanze kuona walakini kwenye mtazamo wako wa Dunia tambarare
 
Hahh majibu ya Google kama hufahamu mara nyingi yame base kwenye dunia Tufe linalozunguka....sasa nitatumiaje Google kunipa majibu yanayoenda against it?
"Jua linakua na muonekano mkubwa wakati wa sunset na sunrise kutokana na optical illusion inayosababishwa na effect ya refraction ya mwanga wa Jua tu"

Yani hayo maelezo ni kama unazungumzia vitu viwili tofauti hapa, Kumbe ni kitu kimoja ( Jua )

Unazungumzia Jua, na unasema optical illusion inayosababishwa na effect ya refraction ya mwanga wa jua, HOW ?

nipe maelekezo ya kina hapa.

Ukimaliza kunijibu ntarudi kukuuliza kwenye maelezo uliyotolea swali la kwanza kuhusu sunset,
 
Video A

Video B

Nimejaribu kutengeneza simple animation ili niulize swali kwa flat earth society

kama dunia ipo flat
Je Kati ya video A na B, ni ipi mnakubaliana nayo?

ili tujaribu kuwasaidia.
Yani jua hua linazunguka vipi kwenye flat earth?
 
Back
Top Bottom