Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Hujanielewa, umesema density ndo inafanya kitu chenye density Kubwa kishuke chini, Sasa sabab ni nn?

Kama upo sawa, Kwa maelezo yako unamaanisha air resistance ndo inafanya vitu vifall?
Ndiyo maana nikasema kuna factors nyingi apart from "Air resistance"na nyingine nishazitaja ikiwemo hiyo ya Density,...

Density ita determine whether the object ielee kwenye air au Ishuke... depending on which object is more/less dense than the other.

Sasa nini hakieleweki hapo?..... narudia tena kusema gravity huenda ipo lakini sio sahihi kulazimisha ifit sehemu ambazo haihusiki.
 
Kwahy air Resistance always Ina act downwards?😄
Hujaelewa tuliza akili,...Air Resistance ina act in the opposite direction of object's motion.....

Kama kitu kikiwa kinatoka chini, Opposite direction yake ni ipi??!
 
Ndiyo maana nikasema kuna factors nyingi apart from "Air resistance"na nyingine nishazitaja ikiwemo hiyo ya Density,...

Density ita determine whether the object ielee kwenye air au Ishuke... depending on which object is more/less dense than the other.

Sasa nini hakieleweki hapo?..... narudia tena kusema gravity huenda ipo lakini sio sahihi kulazimisha ifit sehemu ambazo haihusiki.

Nimekuuliza simple qn, air resistance Ina act downward tu?

The so called gravity ipo as tunaona effect yake, but maelezo yake ndio theory which yamekuwa tested na kuwa accepted, na Yanaweza kuwa na limitations.
 
Hujaelewa tuliza akili,...Air Resistance ina act in the opposite direction of object's motion.....

Kama kitu kikiwa kinatoka chini, Opposite direction yake ni ipi??!
Okay nimekupata vzr,
Na object inapoanza kurudi chini mbona hiyo air resistance hai affect in opposite direction tena? Sijui unanielewa?
 
Nimekuuliza simple qn, air resistance Ina act downward tu?

The so called gravity ipo as tunaona effect yake, but maelezo yake ndio theory which yamekuwa tested na kuwa accepted, na Yanaweza kuwa na limitations.
Nishakujibu tayari kuhusu Air resistance,... tulia uipitie

Hapo uliposema "YANAWEZA KUWA NA LIMITATIONS"

Ndiyo umeongea point 💯,..na umeanza kuelewa sasa....
 
Ndio hivyo Kwa sababu naelewa nachoongea, science is reality, hakuna chenga chenga Wala nini.

Kuhusu air resistance hujajibu kikamilifu
Air resistance is the force exerted by air on an object moving through it. It opposes the motion of the object and increases with the object's speed and the surface area exposed to the air.

Umeeleza vyema kuwa object inarudi chini Kwa sabab ya air resistance in oppose motion yake,

Sasa Kwa maana hiyo pia hata object ikianza kurudi chini itakuwa opposed na air resistance Sasa kwann Bado iendelee kurudi chini wakat inakuwa opposed na air restince kama mwanzo?
 
Nishakujibu tayari kuhusu Air resistance,... tulia uipitie

Hapo uliposema "YANAWEZA KUWA NA LIMITATIONS"

Ndiyo umeongea point 💯,..na umeanza kuelewa sasa....
Na usije kudhani limitations maana yake ni wrongful.
 
Okay nimekupata vzr,
Na object inapoanza kurudi chini mbona hiyo air resistance hai affect in opposite direction tena? Sijui unanielewa?
Air resistance ndiyo inayo act in opposite direction of the object's motion,...so object itakua pushed to the opposite direction mpaka pale ambapo itakutana na any other force.
Kwa mfano ikikutana na Earth'surface n.k
 
Sawa tuko pamoja, ila swali langu ni kuwa pale object inapoanza kurudi chini si inakuwa opposed na air resistance tena, Sasa kwann isirudi tena juu?
 
Hairudi tena juu Kwa kuwa hakuna any other force ambayo ina push hiyo object kwenda juu.....so Air resistance ita act against kitu gani hapo?

Unapaswa uelewe kwamba Air resistance ina act against the force ambayo imetumika kuifanya hiyo object iende juu.

Nadhani imeeleweka sasa.
 
Ndo maana nikakuuliza kwahy air resistance Ina act downward peke ake?

Maana najua air resistance Ina oppose motion ya kitu, regardless ya direction yake. So this implies that hata object ikianza kushuka chini still air resistance itakuwepo au nadanganya?
 
Air resistance hai act downward peke yake......

Bali ina oppose motion ya kitu.....,mfano mzuri angalia kukiwa na upepo mkali utaona Air resistance ina uwezo wa kukupush hata wewe kwenda kwenye opposite side ya motion yako.

So, swali lako nadhani linashindwa kuwa na mantiki kwasababu....Tayari ushajua kwamba kitu kinaanza kushuka chini kwa kuwa pushed back na Air resistance,...yaani Air resistance ndiyo ina act instantly kurudisha object to the opposite side of its motion....sasa unataka air resistance ifanye resistance against itself,.Kwa kurudisha kitu tena juu?

Au Mimi ndiyo sijakuelewa vizuri?
 
Umenielewa vzr ila unashindwa kuclear tu,

Kitu kipo in air it means kimekuwa surrounded by air so in any direction kinakayoenda kitakuwa opposed na air,

Sasa Kwa maelezo yako unaona yanamake sense kweli, kama object inashuka chini huwez kusema ni Kwa sabab ya air resistance Kwa sabab air resistance Ina act in opposite direction na motion ya objects au nimekosea?

Sasa wewe unasema air resistance ina oppose motion ya kitu in opposite direction alafu unasema kitu kinarudi chini Kwa sabab ya air restance, kwahy air resistance Ina act in the same direction na hiyo object?

Kwahy mpka hapo utaona kuwa hiyo sio air resistance tena maana hai resist motion ya icho kitu.
 
Acha ubishi mbona simple kabisa.....

Ukirusha mpira juu,... Opposite direction ni ipi?

ukishajua opposite direction,...kwa nilivyokuelezea kuhusu Air resistance,...unategemea mpira uende juu, chini,kushoto ama kulia?
 
Yes,
opposite direction ni chini na kama unakumbuka nilipokuuliza nini kinafanya force ipungue na mpka kuisha, ulisema ni air resistance Kwa sababu Ina act opposite na direction ya motion ya objects ikiwa Inaenda juu au sivyo?

Sasa baada ya force kuisha hakuna tena motion inayoendelea kwenda juu, kwahy hakuna resistance yoyote itakayotokea au nakosea?
 
Acha ubishi mbona simple kabisa.....

Ukirusha mpira juu,... Opposite direction ni ipi?

ukishajua opposite direction,...kwa nilivyokuelezea kuhusu Air resistance,...unategemea mpira uende juu, chini,kushoto ama kulia?
We ndo huelewi, nikuulize tu wakati mpira unarudi chini je direction ya air resistance itakuwa wapi?
 
Acha ubishi mbona simple kabisa.....

Ukirusha mpira juu,... Opposite direction ni ipi?

ukishajua opposite direction,...kwa nilivyokuelezea kuhusu Air resistance,...unategemea mpira uende juu, chini,kushoto ama kulia?

Au nikuulize swali la kijinga,

Air resistance Ina affect object ikiwa kwenye motion pekee au hata ikiwa at rest?
 
Back
Top Bottom