Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Ngoja nikuulize swali dogo la kutumia akili,......

👉🏼 With reference to Jua,....Je Dunia ina move kutoka wapi kwenda wapi?

East to West?
West to East?

Chosen Rich
 
Sasa si atleast kuhusu Jua kufanya movement hata wewe unaweza Ku observe na macho yako?

Amka asubuhi saa 12 chukua kiti kaa,..kisha angalia kadri saa zinavyoenda Jua linasogea kuelekea Magharibi.

Kitu ambacho tokea uzaliwe hujawahi kuona Kwa Dunia ambayo unaambiwa inazunguka.

Yaani hujawahi kuona hata Kwa device yoyote jinsi Dunia inavyohama kutoka point moja kwenda point nyingine...... think critically.
Kama unaweza ku observe Kwa macho basi naomba record video inayoonyesha Jua Lina move. Simple tu.

Alafu kukaa na kuona Jua halipo kwenye point lililokuwepo haimaanishi Jua ndo limemove je kama ni Dunia ndo imemove?
 
Kauli hiyo hapo juu,.. inaonyesha wazi kwamba huna uhakika kama Dunia ina move ama la.

Hivyo basi turuhusu kutilia mashaka maelezo yako yote yaliyopita kwamba Dunia inazunguka.....unaturuhusu?

HUNA UHAKIKA NA UNACHOKISEMA MTAALAMU..unadhania Tu!
 
Ngoja nikuulize swali dogo la kutumia akili,......

[emoji1371] With reference to Jua,....Je Dunia ina move kutoka wapi kwenda wapi?

East to West?
West to East?

Chosen Rich
Dunia inarotate from Weast to East ndugu,

That's why unaona na Jua likionekana ku-rise East na ku-set Weast ( Sunrise and Sunset )

Na ndio maana natolea mfano wewe ukiwa kwenye gari kwa akili yako unavyojidhihirisha hapa,
Unaweza kuwa na mtazamo kuwa miti au objects zingine nje ya gari ndio zinafanya movement kwasababu kwa macho yako inaonekana hivyo.
 
Kauli hiyo hapo juu,.. inaonyesha wazi kwamba huna uhakika kama Dunia ina move ama la.

Hivyo basi turuhusu kutilia mashaka maelezo yako yote yaliyopita kwamba Dunia inazunguka.....unaturuhusu?

HUNA UHAKIKA NA UNACHOKISEMA MTAALAMU..unadhania Tu!
Akili kisoda, nimesema hivo kulingana naww kama hujui
 
Kauli hiyo hapo juu,.. inaonyesha wazi kwamba huna uhakika kama Dunia ina move ama la.

Hivyo basi turuhusu kutilia mashaka maelezo yako yote yaliyopita kwamba Dunia inazunguka.....unaturuhusu?

HUNA UHAKIKA NA UNACHOKISEMA MTAALAMU..unadhania Tu!
Alafu nimekwambia leta video
 
Dunia inarotate from Weast to East ndugu,

That's why unaona na Jua likionekana ku-rise East na ku-set Weast ( Sunrise and Sunset )

Na ndio maana natolea mfano wewe ukiwa kwenye gari kwa akili yako unavyojidhihirisha hapa,
Unaweza kuwa na mtazamo kuwa miti au objects zingine nje ya gari ndio zinafanya movement kwasababu kwa macho yako inaonekana hivyo.
Una uhakika Dunia inazunguka from West to East...?
 
Logically ni kwamba,... kuhusu umbo la Dunia na whether inazunguka au haizunguki.

Kitu cha Kwanza unachopaswa kutumia ni milango yako ya fahamu (Primary Data of research)

Kitu cha pili ni reference kutoka Kwa wengine sasa ikiwemo NASA and the likes.,(Secondary data of research)

---------------------------------
Sasa tatizo linakuja kwamba unapuuzq primary data of research,...kisha unaenda kwenye Secondary data, (jambo ambalo ni kosa kubwa), then unajiuliza wanadanganya Kwa faida gani.......

Kujua wanadanganya kwasababu gani sio ishu hapa,...ishu ni kwamba, Do your primary data of research correspond with the results of secondary data of research?

Je, kwenye primary data, Dunia ni Tufe?
Je, kwenye primary data, Dunia inazunguka?

Ukijiuliza kwanini unadanganywa,....tayari unakua upo distracted na hoja ya msingi,.. hutakiwi Tu kufuata jambo kisa hujui waliokuambia jambo hilo watapata faida gani ikiwa wanadanganya.
Mkuu mimi nataka kujua kwanza motive behind huu UONGO

Kama hujui ni uungwa tu ukasema HUJUI
 
Mkuu mimi nataka kujua kwanza motive behind huu UONGO

Kama hujui ni uungwa tu ukasema HUJUI
Ndiyo sijui lengo Lao hasa ni nini.....

Maana huwezi Tu kuwaambia watu Dunia inazunguka kisha hakuna namna watu hao wanaweza kuhisi,kuona wala kusikia na hujawapa uthibitisho wowote kwa vipimo au hata video tu,.... Inashangaza!
 
Uthibitisho umepewa mara kadhaa unakataa

Nomba wewe uthibitisho Jua likizunguka Dunia.
Ushawahi kuleta uthibitisho? Sio kweli bhana tunaomba uthibitisho.

Leo ndiyo deadline,....lete uthibitisho wa Dunia Kuzunguka la sivyo itakua uzushi.

Jua kila mtu Duniani including NASA wanajua kama Lina move kasoro wewe Tu
 
Ndiyo sijui lengo Lao hasa ni nini.....

Maana huwezi Tu kuwaambia watu Dunia inazunguka kisha hakuna namna watu hao wanaweza kuhisi,kuona wala kusikia na hujawapa uthibitisho wowote kwa vipimo au hata video tu,.... Inashangaza!
Tatizo lako uelewa wako upo chini kaka,

Unasema hatuwezi kuhisi speed, Speed ipo constant unawezaje kuihisi ? Na size ya hili gimba ni huge,

Ni sawa ukiwa angani kwenye ndege inakua kwenye speed kubwa sana lakini huwezi kuhisi hata kidogo speed yake kwakua ipo constant,

Antony alitoa majibu mazuri sana akimjibu mwenzako yule, Angalia usome.
 
Ushawahi kuleta uthibitisho? Sio kweli bhana tunaomba uthibitisho.

Leo ndiyo deadline,....lete uthibitisho wa Dunia Kuzunguka la sivyo itakua uzushi.

Jua kila mtu Duniani including NASA wanajua kama Lina move kasoro wewe Tu
Mbona unaanza kuleta comedy hapa,

Leta uthibitisho Jua ikizunguka Dunia
 
Tatizo lako uelewa wako upo chini kaka,

Unasema hatuwezi kuhisi speed, Speed ipo constant unawezaje kuihisi ? Na size ya hili gimba ni huge,

Ni sawa ukiwa angani kwenye ndege inakua kwenye speed kubwa sana lakini huwezi kuhisi hata kidogo speed yake kwakua ipo constant,

Antony alitoa majibu mazuri sana akimjibu mwenzako yule, Angalia usome.
Unaona unaleta hadithi sasa,....Kwa kuwa uelewa wako upo Juu lete uthibitisho,... tatizo nini?

Mbona request ndogo Sana hiyo?

Kama huna uthibitisho umeamua kuamini Tu,...sema kaka
 
Mbona unaanza kuleta comedy hapa,

Leta uthibitisho Jua ikizunguka Dunia
Okay ngoja nikuulize swali,...Jua lipo stationary au Lina move?

Na kama Lina move NI from:-
East to west?
West to East?

Ukijibu hapo nitamaliza mjadala.
 
Watu hawataki kuelewa na Wana chagua evidence japo wao hawaleti evidence , nmeachana na huu mjadala kwasababu wengi wanabisha Kwa fact ambazo zimeandikwa wanashindwa ku reason
 
Back
Top Bottom