The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Basi elezea hii video, maana naona kitu kinazunguka tuSwali unalouliza ni pana mno, na kuelewa lazima JUA ujue linakaa vipView attachment 2964336
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi elezea hii video, maana naona kitu kinazunguka tuSwali unalouliza ni pana mno, na kuelewa lazima JUA ujue linakaa vipView attachment 2964336
Yes,... hivyo ndiyo ulihitimisha kwenye discussions zilizopita baada ya mwanzo kudhania kwamba Jua lipo stationary ulifanya review ukaona kwamba Jua halipo stationary Lina move (Lina orbit).Narudia Kwa mara ya mwisho unatakiwa ujue maana ya neno WITH RESPECT TO,
Jua Lina orbit around the center of the milky way Galaxy along with rest of the solar systems.
but it appears stationary from our perspective on Earth. Elewa neno respect....
Movement nayoongelea ni hii unayofai inasababisha sunrise na sunset au usiku na mchana.Yes,... hivyo ndiyo ulihitimisha kwenye discussions zilizopita baada ya mwanzo kudhania kwamba Jua lipo stationary ulifanya review ukaona kwamba Jua halipo stationary Lina move (Lina orbit).
Sasa sitegemei tena uombe ushahidi juu ya hilo,...kwa kuwa hata wewe unafahamu kwamba Jua lina move,...labda kama utataka kutuletea na video hapa,...kama ulivyotaka nikuletee.
Hio ndio formation ya day and night pamoja na season kwenye flat earth , ni namna ambavyo jua linazungukaBasi elezea hii video, maana naona kitu kinazunguka tu
We hapo maelezo yako yametosha??Hio ndio formation ya day and night pamoja na season kwenye flat earth , ni namna ambavyo jua linazunguka
Swali kwako : naomba maelezo juu ya solar eclipse
Umesema jua lina appear stationaryMovement nayoongelea ni hii unayofai inasababisha sunrise na sunset au usiku na mchana.
Nilichoongelea hapo nahisi unajitoa akili kama hujanielewa sayari zote zilizopo kwenye mfumo wa Jua with respect to Jua, Jua lipo stationary cause zote zinamove along with the sun.
A solar eclipse occurs when the moon passes between the sun and Earth, blocking all or part of the sun's light. This alignment happens only during a new moon when the three celestial bodies are in perfect alignment.Hio ndio formation ya day and night pamoja na season kwenye flat earth , ni namna ambavyo jua linazunguka
Swali kwako : naomba maelezo juu ya solar eclipse
Ndio ivo ni kama upo kwenye gari then Kuna mtu pembeni yako je utamuona huyo mtu anamove with respect na ww ulipo?Umesema jua lina appear stationary
Ina maana sio stationary ila with respect to earth ndio linakua stationary ,sio?
Safi sana , umesema new moon ambayo haiko visible duniani but Ina block light duniani? Hio kwako imekaajeA solar eclipse occurs when the moon passes between the sun and Earth, blocking all or part of the sun's light. This alignment happens only during a new moon when the three celestial bodies are in perfect alignment.
Unaonekana hujui maana ya new moon?Safi sana , umesema new moon ambayo haiko visible duniani but Ina block light duniani? Hio kwako imekaaje
Kwahy new moon haimaanishi eti ni moon nyingne BIG NO,Safi sana , umesema new moon ambayo haiko visible duniani but Ina block light duniani? Hio kwako imekaaje
Nmekuelewa new moon ni mwez mchanga ,mwez ukianza kua unaonekana....... Swali ni kua hio new moon duniani hua tunaona kipande kidogo tu Cha mwez ila kwenye eclipse jua linakua blocked na mwez uliokamilikaKwahy new moon haimaanishi eti ni moon nyingne BIG NO,
Na kutoka Kwa hii video tuambie ni Kwa vipi sunrise na sunset zinatokea?Swali unalouliza ni pana mno, na kuelewa lazima JUA ujue linakaa vipView attachment 2964336
Nakujibu , Dunia imezungukwa na firmament na jua lipo na orbit yake ... Kwahio linapokua linazunguka kwenye hio orbit yake ndio variation zinakuepo Kwa sababu mwanga wa jua haufiki katika Dunia nzima ni upande Kwa upandeNa kutoka Kwa hii video tuambie ni Kwa vipi sunrise na sunset zinatokea?
Kuna vitu Ving tu tumedanganywa ila kuhusu Nia ya kwanini wametudanganya hapo pia tunatofautianaKuna uwezekano swali langu limejibiwa sehemu lakini ningependa kujua motive ya wazungu kutudanganya kuwa dunia ni duara hasa faida wanazozipata kuwaaminisha watu kuwa dunia ni duara angalia ni tambarare.
Natanguliza shukrani kwa atakayeshare majibu
New moon huoni kipande chochote kama umesoma maelezo yangu vzr.Nmekuelewa new moon ni mwez mchanga ,mwez ukianza kua unaonekana....... Swali ni kua hio new moon duniani hua tunaona kipande kidogo tu Cha mwez ila kwenye eclipse jua linakua blocked na mwez uliokamilika
Hujajibu swali, hapo umeelezea usiku na mchana Bali haujaeleza ni kivipi sunset na sunrise zinavyotokea.Nakujibu , Dunia imezungukwa na firmament na jua lipo na orbit yake ... Kwahio linapokua linazunguka kwenye hio orbit yake ndio variation zinakuepo Kwa sababu mwanga wa jua haufiki katika Dunia nzima ni upande Kwa upande
Vizuri sana , Jana ulitaja component za mwezi ... Kuna component ipi katika zile inasifa ya ku reflect?New moon huoni kipande chochote kama umesoma maelezo yangu vzr.
Na pia unaonekana Bado hujui lunar phases ni nn, na zinavyotokea. Mwezi ni ule ule umbo lake ni like like, tunachoona ni reflection ya mwanga wa Jua kwenye mwezi, so it can be only a part of it or the whole face (full moon)
Lunar phases are the different appearances of the Moon as seen from Earth throughout its orbit around our planet. These phases include the new moon, waxing crescent, first quarter, waxing gibbous, full moon, waning gibbous, third quarter, and waning crescent. They result from the changing angles between the sun, Earth, and moon, which affect how much of the moon's surface is illuminated and visible from Earth.
View attachment 2964370
Kwahy kujibu swali lako; Jua linakuwa blocked sio na kipande Cha mwezi Bali na mwezi wote cause mwezi haubadiliki umbo lake ila reflection ya mwanga wa Jua ndo unafanya tunaona una mambo tofauti. Nawasilisha.[emoji854]
Na Kwa video yako na maelezo yako kama Jua linazunguka kwenye hiyo orbit embu imagine nchi zilizopo at the centre of the earth zinaona vipi Jua (orientation yake) cause all place Jua huwa linakuwa overhead Wala sio pembeni pembeni tena Kwa ku circle kama unavyoonesha hapo.Nakujibu , Dunia imezungukwa na firmament na jua lipo na orbit yake ... Kwahio linapokua linazunguka kwenye hio orbit yake ndio variation zinakuepo Kwa sababu mwanga wa jua haufiki katika Dunia nzima ni upande Kwa upande