hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Nimejikoroga.?Hahaha ona unavyojikoroga sasa, Ushaingia kwenye mfumo wewe.
Vizuri kama unadhania hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejikoroga.?Hahaha ona unavyojikoroga sasa, Ushaingia kwenye mfumo wewe.
Duh! Unajidharirisha kaka.Hujawahi kuleta uthibitisho,.....
Huenda,...hujui maana ya uthibitisho na hilo ni tatizo lingine.
Umesema camera ndio inamove,Nimejikoroga.?
Vizuri kama unadhania hivyo.
Hayo ni mawazo yako,.....so ukiamua unaweza kufikiria hivyo sidhani kama kuna tatizo lolote juu ya hilo kaka.Duh! Unajidharirisha kaka.
Kwahy naww ukajibu kitu ambacho hujakiona? Kwahy nikibadirisha swali nikasema nn linamove kati ya majengo au tofali, utajibu vipi?Haya maneno hapa chini aliandika Nani,.. tafadhali anthony_art ?!
👇🏼
Mfano angalia hii video alafu nambie je hayo majengo yanamove au ni camera ndio inamove? Na kwann?👇👇 hateeb10 pia ajibu hapa.
Vizuri,... kwahiyo unamaanisha kwenye Ile video camera ni Dunia au Jua?Umesema camera ndio inamove,
Basi huo ndio mfano wa Dunia yetu kurotate, Sunset ni mfano wa hapo uliposema majengo yanapotea kwenye hiyo clip
Una swali ?
Asanteee! Camera ndio inamove lkn majengo yanapotea na yanaoneka kama yanamoveUmesema camera ndio inamove,
Basi huo ndio mfano wa Dunia yetu kurotate, Sunset ni mfano wa hapo uliposema majengo yanapotea kwenye hiyo clip
Una swali ?
No,....niliamini ungeweza kuelewa vizuri iwapo nitatumia logic na mfano uliokuja nao Kwa bahati mbaya haijawa nilivyotajia.Kwahy naww ukajibu kitu ambacho hujakiona? Kwahy nikibadirisha swali nikasema nn linamove kati ya majengo au tofali, utajibu vipi?
Camera umeiona wapi hapo?Asanteee! Camera ndio inamove lkn majengo yanapotea na yanaoneka kama yanamove
Hivi mnatumia akili kweli?Asanteee! Camera ndio inamove lkn majengo yanapotea na yanaoneka kama yanamove
YesVizuri,... kwahiyo unamaanisha kwenye Ile video camera ni Dunia au Jua?
Maana camera ndiyo ina move kama ulivyokubali hapo juu.
Kwa makusudi huu mfano atajifanya kutokuelewa.Asanteee! Camera ndio inamove lkn majengo yanapotea na yanaoneka kama yanamove
Nimekosea ku quote ila ulishasema hakuna gravity hapo nyuma, sio case enhee sawa gravity sio force, na Einstein alisema nn kuhusu vitu kufall?Contradiction IPO wapi hapo?
Nionyeshe ikiwa ipo.....tuliza akili usome between the line Mtaalamu.
Ila hukuiona si ndio? Sasa umejuaje camera ndio inamove na wakat hujaiona?No,.nimejibu kama swali lako ulivyouliza au hujui kama kwenye swali lako umetaja kabisa camera?
Au ulitaka nikueditie swali lako ndiyo nijibu?
Hii sio sawa.
Hiyo clip imetumika kama mfano ili kichwa chako kipate urahisi wa kuelewa,Hivi mnatumia akili kweli?
Camera na majengo
Dunia na Jua.
Je,.. kwenye hiyo animation,...
1. Camera ni nini? Dunia/ Jua
2. Majengo ni nini? Dunia/ Jua
We tulia tu, ni kazi sana kutetea kitu ambacho sio kweli.Kwa makusudi huu mfano atajifanya kutokuelewa.
Msisahau kujibu hapa anthony_art & Chosen RichHivi mnatumia akili kweli?
Camera na majengo
Dunia na Jua.
Je,.. kwenye hiyo animation,...
1. Camera ni nini? Dunia/ Jua
2. Majengo ni nini? Dunia/ Jua
Camera ni mfano Dunia ndio maana unatumia camera kama jicho, means wewe ulipo duniani (camera) huwezi kusema camera ni Jua kwahy sisi tupo kwenye jua? Sisi tupo duniani (Camera) tunaona majengo(Jua) yanatoka katika position yaliyokuwapo mpka yanapotea wakat kiuhalisia Dunia (camera) ndio inamove.Hivi mnatumia akili kweli?
Camera na majengo
Dunia na Jua.
Je,.. kwenye hiyo animation,...
1. Camera ni nini? Dunia/ Jua
2. Majengo ni nini? Dunia/ Jua
Akisema camera ni Jua basi atuambie tunaishi kwenye Jua, maana observer yupo karibu na camera.Hiyo clip imetumika kama mfano ili kichwa chako kipate urahisi wa kuelewa,
Ila bado unataka kukaza !???
1. Publication za Einstein zipo nyingi kasome kuhusu maoni yake.Nimekosea ku quote ila ulishasema hakuna gravity hapo nyuma, sio case enhee sawa gravity sio force, na Einstein alisema nn kuhusu vitu kufall?
Ila hukuiona si ndio? Sasa umejuaje camera ndio inamove na wakat hujaiona?