Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Ndiyo ulipoishia kufikiria hapo?
Kumbe unafahamu kama kuna kufikiria vizuri hahaha

Namna ulivyonihisi nmeelewa basi ndio ambavyo huwa tunapata tabu pindi tunapokuelekeza mambo mbali mbali wakati wa kujadili
 
Hahh ninaewapa tabu sio Mimi,....Bali mnapata tabu Kwa kuwa nadharia mnazoamini kwenye uhalisia hazifanyi kazi.
 
Chosen Rich anthony_art ....Muda huu 01:08 usiku Kwa saa za Afrika Mashariki......Kwa mujibu wa nadharia za Dunia Tufe NI kwamba Jua lipo upande wa pili wa Tufe (yaani hapa tunapokanyaga miguu yetu uelekeo huo ndiyo Jua lilipo mida hii)

Nakuacha na hiyo usiku huu,...utafakari kama inaingia akilini,.

Ahsante.
 
Unatupa tabu wakati wa kukuelewesha, Hata mifano tu unaelewa kwa namna unayoijua wewe

Mtu anakueleza jambo akidhani utamuelewa exactly anachomaanisha, Wewe unaelewa kwa namna unayoijua wewe,

Tabuuu tupuuu
 
hateeb10 nkumbison

Wakati upo hapa unakazana kubishana Dunia ni flat, Kuna mainjinia huko wanadesign barabara water supply, etc. wanatumia latitude na longitude kwenye design. Sasa kwenye Dunia flat hakuna latitude Wala longitude.

Na maswali yangu hayajawahi kujibiwa na mengine yalijibiwa kihuni huni tu. Mfano haya maswali👇👇,

1. Different Night skies:
Constellations zinazokuwa observed at northern pole during Night ni tofauti na zinazokuwa observed at northern pole. Kama Dunia ingekuwa flat basi wote tungekuwa tunaobserve same night sky.

2. Lunar eclipse:
Hii nimeshauliza sana humu majibu yenu ni hekaya tu,

3. Flight paths:
Kama Dunia ingekuwa flat ndege zisingehitaji ku-adjust altitude as they're moving, hii inathibitisha curvature ya dunia.
Hapa najua hateeb10 hatoelewa maana haujui maana ya altitude yeye anajua altitude ni level😀.

4. Curiolis effect:
Hii hutokea pale vitu vinavyomove angani vina experience deflection due to Earth's rotation, Sasa naomba mnambie nyie kama Dunia hairorate ni nn kinasababisha.

5. Day and night length variations:
Length ya day and night inachange throughout the year.

6. Seasons of the year,

Na lastly nyie mnaoamini Dunia ni flat mnatofautiana sana hoja zenu, mfano tu mwingne ananambia Jua linazunguka kama coil nkumbison ,😀

Hamna hoja zenu zinazojitegemea

4. Force of gravity ndiyo inasababisha mkengeuko kwenye hivyo vitu vinavyo move angani.

5. Kasi ya jua tu kuzunguka dunia ndiyo inasababisha urefu wa usiku na mchana kubadilika badilika.

6. Orbit ya Jua kuwa Elliptical (Duara dufu) na sio (Duara la kawaida lenye kipenyo kisichobadilika) ndiyo kunasababisha majira ya mwaka.
 
Chosen Rich ....Muda huu 01:08 usiku Kwa saa za Afrika Mashariki......Kwa mujibu wa nadharia za Dunia Tufe NI kwamba Jua lipo upande wa pili wa Tufe (yaani hapa tunapokanyaga miguu yetu uelekeo huo ndiyo Jua lilipo mida hii)

Nakuacha na hiyo usiku utafakari kama inaingia akilini,.

Ahsante.
Yes, Na usiseme Jua lilipo mida hii, Sema uso wa Dunia.
 
Unatupa tabu wakati wa kukuelewesha, Hata mifano tu unaelewa kwa namna unayoijua wewe

Mtu anakueleza jambo akidhani utamuelewa exactly anachomaanisha, Wewe unaelewa kwa namna unayoijua wewe,

Tabuuu tupuuu
Jitahidini kutoa mifano yenye uhalisia,.. huwezi ukajitungia mfano usioendana na uhalisia ili ussuport nadharia zako.

Kama umeona nimejaribu kuiweka sawa mifano kadhaa humu ili kila mtu apate kuelewa.
 
Sio hivyo tu, Mambo mengi ambayo tunakuelekeza huwa unaelewa kinyume nyume,

Mfano halisi ni kama ambavyo nmetoka ku act kwenye hiyo statement yako ya "ship visibility" basi hivyo ndivyo ulivyo.

Tabu sana.
 
Hapana Mimi nimeshangaa wewe kupinga video aliyoweka mdau hapa kuhusu flat earth,....wewe ukapinga kwamba huo si uthibitisho..

Wakati huo wewe uthibitisho wako ni Ship visibility,...huoni kama haupo sawa?
 
Si ndiyo ninachomaanisha kwamba Juu lipo chini ya miguu yetu muda huu.

Inaingia akilini,..si ndiyo?
Usiseme chini,
Chini na juu ni vitu vilivyoundwa kwenye akili yako kuelezea tu pale unapokua kwenye uso au anga la Dunia

Tukizungumzia gimba zima, Hakuna juu wala chini
 
Chosen Rich anthony_art ....Muda huu 01:08 usiku Kwa saa za Afrika Mashariki......Kwa mujibu wa nadharia za Dunia Tufe NI kwamba Jua lipo upande wa pili wa Tufe (yaani hapa tunapokanyaga miguu yetu uelekeo huo ndiyo Jua lilipo mida hii)

Nakuacha na hiyo usiku huu,...utafakari kama inaingia akilini,.

Ahsante.
Jua lipo pale pale ila face ya Dunia ndio inazunguka kwahy Kwa Sasa opposite ya face ya Dunia Kwa upande wetu imegeukia jua
 
Hapana Mimi nimeshangaa wewe kupinga video aliyoweka mdau hapa kuhusu flat earth,....wewe ukapinga kwamba huo si uthibitisho..

Wakati huo wewe uthibitisho wako ni Ship visibility,...huoni kama haupo sawa?
Hahaha ndio maana nasema wewe ni mtu unayeelewa kinyuma nyume

Kuna sehemu nlipinga ? jibu ni NO but nliuliza swali
 
Usiseme chini,
Chini na juu ni vitu vilivyoundwa kwenye akili yako kuelezea tu pale unapokua kwenye uso au anga la Dunia

Tukizungumzia gimba zima, Hakuna juu wala chini
Sio Kwa akili yangu bali ndiyo nadharia ya Dunia Tufe inavyosema....yani kwamba Jua kuna time linakua chini ya miguu yetu na muda mwingine linakua juu ya vichwa vyetu....

Usipindishe hoja husika tuiweke kama ilivyo... akilini mwako inaingia?
 
Hapana Mimi nimeshangaa wewe kupinga video aliyoweka mdau hapa kuhusu flat earth,....wewe ukapinga kwamba huo si uthibitisho..

Wakati huo wewe uthibitisho wako ni Ship visibility,...huoni kama haupo sawa?
Maswali kujibu mpk saiv umeshindwa
 
Back
Top Bottom