hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Hapana,..uthibitisho ni Ship visibility.Huu ndio uthibitisho ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,..uthibitisho ni Ship visibility.Huu ndio uthibitisho ?
Safi, Umeanza kuelewa.Hapana,..uthibitisho ni Ship visibility.
Ndiyo ulipoishia kufikiria hapo?Safi, Umeanza kuelewa.
😅
Kumbe unafahamu kama kuna kufikiria vizuri hahahaNdiyo ulipoishia kufikiria hapo?
Hahh ninaewapa tabu sio Mimi,....Bali mnapata tabu Kwa kuwa nadharia mnazoamini kwenye uhalisia hazifanyi kazi.Kumbe unafahamu kama kuna kufikiria vizuri hahaha
Namna ulivyonihisi nmeelewa basi ndio ambavyo huwa tunapata tabu pindi tunapokuelekeza mambo mbali mbali wakati wa kujadili
Unatupa tabu wakati wa kukuelewesha, Hata mifano tu unaelewa kwa namna unayoijua weweHahh ninaewapa tabu sio Mimi,....Bali mnapata tabu Kwa kuwa nadharia mnazoamini kwenye uhalisia hazifanyi kazi.
hateeb10 nkumbison
Wakati upo hapa unakazana kubishana Dunia ni flat, Kuna mainjinia huko wanadesign barabara water supply, etc. wanatumia latitude na longitude kwenye design. Sasa kwenye Dunia flat hakuna latitude Wala longitude.
Na maswali yangu hayajawahi kujibiwa na mengine yalijibiwa kihuni huni tu. Mfano haya maswali👇👇,
1. Different Night skies:
Constellations zinazokuwa observed at northern pole during Night ni tofauti na zinazokuwa observed at northern pole. Kama Dunia ingekuwa flat basi wote tungekuwa tunaobserve same night sky.
2. Lunar eclipse:
Hii nimeshauliza sana humu majibu yenu ni hekaya tu,
3. Flight paths:
Kama Dunia ingekuwa flat ndege zisingehitaji ku-adjust altitude as they're moving, hii inathibitisha curvature ya dunia.
Hapa najua hateeb10 hatoelewa maana haujui maana ya altitude yeye anajua altitude ni level😀.
4. Curiolis effect:
Hii hutokea pale vitu vinavyomove angani vina experience deflection due to Earth's rotation, Sasa naomba mnambie nyie kama Dunia hairorate ni nn kinasababisha.
5. Day and night length variations:
Length ya day and night inachange throughout the year.
6. Seasons of the year,
Na lastly nyie mnaoamini Dunia ni flat mnatofautiana sana hoja zenu, mfano tu mwingne ananambia Jua linazunguka kama coil nkumbison ,😀
Hamna hoja zenu zinazojitegemea
4. Force of gravity ndiyo inasababisha mkengeuko kwenye hivyo vitu vinavyo move angani.hateeb10 nkumbison

Yes, Na usiseme Jua lilipo mida hii, Sema uso wa Dunia.Chosen Rich ....Muda huu 01:08 usiku Kwa saa za Afrika Mashariki......Kwa mujibu wa nadharia za Dunia Tufe NI kwamba Jua lipo upande wa pili wa Tufe (yaani hapa tunapokanyaga miguu yetu uelekeo huo ndiyo Jua lilipo mida hii)
Nakuacha na hiyo usiku utafakari kama inaingia akilini,.
Ahsante.
Jitahidini kutoa mifano yenye uhalisia,.. huwezi ukajitungia mfano usioendana na uhalisia ili ussuport nadharia zako.Unatupa tabu wakati wa kukuelewesha, Hata mifano tu unaelewa kwa namna unayoijua wewe
Mtu anakueleza jambo akidhani utamuelewa exactly anachomaanisha, Wewe unaelewa kwa namna unayoijua wewe,
Tabuuu tupuuu
Sio hivyo tu, Mambo mengi ambayo tunakuelekeza huwa unaelewa kinyume nyume,Jitahidini kutoa mifano yenye uhalisia,.. huwezi ukajitungia mfano usioendana na uhalisia ili ussuport nadharia zako.
Kama umeona nimejaribu kuiweka sawa mifano kadhaa humu ili kila mtu apate kuelewa.
Si ndiyo ninachomaanisha kwamba Juu lipo chini ya miguu yetu muda huu.Yes, Na usiseme Jua lilipo mida hii, Sema uso wa Dunia.
Hapana Mimi nimeshangaa wewe kupinga video aliyoweka mdau hapa kuhusu flat earth,....wewe ukapinga kwamba huo si uthibitisho..Sio hivyo tu, Mambo mengi ambayo tunakuelekeza huwa unaelewa kinyume nyume,
Mfano halisi ni kama ambavyo nmetoka ku act kwenye hiyo statement yako ya "ship visibility" basi hivyo ndivyo ulivyo.
Tabu sana.
Usiseme chini,Si ndiyo ninachomaanisha kwamba Juu lipo chini ya miguu yetu muda huu.
Inaingia akilini,..si ndiyo?
Jua lipo pale pale ila face ya Dunia ndio inazunguka kwahy Kwa Sasa opposite ya face ya Dunia Kwa upande wetu imegeukia juaChosen Rich anthony_art ....Muda huu 01:08 usiku Kwa saa za Afrika Mashariki......Kwa mujibu wa nadharia za Dunia Tufe NI kwamba Jua lipo upande wa pili wa Tufe (yaani hapa tunapokanyaga miguu yetu uelekeo huo ndiyo Jua lilipo mida hii)
Nakuacha na hiyo usiku huu,...utafakari kama inaingia akilini,.
Ahsante.
Hahaha ndio maana nasema wewe ni mtu unayeelewa kinyuma nyumeHapana Mimi nimeshangaa wewe kupinga video aliyoweka mdau hapa kuhusu flat earth,....wewe ukapinga kwamba huo si uthibitisho..
Wakati huo wewe uthibitisho wako ni Ship visibility,...huoni kama haupo sawa?
Chini ya miguu yako??? Jua lipo km 93m hukoSi ndiyo ninachomaanisha kwamba Juu lipo chini ya miguu yetu muda huu.
Inaingia akilini,..si ndiyo?
Sio Kwa akili yangu bali ndiyo nadharia ya Dunia Tufe inavyosema....yani kwamba Jua kuna time linakua chini ya miguu yetu na muda mwingine linakua juu ya vichwa vyetu....Usiseme chini,
Chini na juu ni vitu vilivyoundwa kwenye akili yako kuelezea tu pale unapokua kwenye uso au anga la Dunia
Tukizungumzia gimba zima, Hakuna juu wala chini
HahahaChini ya miguu yako??? Jua lipo km 93m huko
Maswali kujibu mpk saiv umeshindwaHapana Mimi nimeshangaa wewe kupinga video aliyoweka mdau hapa kuhusu flat earth,....wewe ukapinga kwamba huo si uthibitisho..
Wakati huo wewe uthibitisho wako ni Ship visibility,...huoni kama haupo sawa?