Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Pengine mimi sifahamu, Emu nijibu wewe
Unaona unavyokwama sasa? acha uoga umesema Dunia haina "edge" that means unajua maana ya "edge"

sasa tuambie ulimaanisha nini uliposema Dunia haina "Edge"

"What is an Edge "

Incase ukikosea nitakuelewesha...usiogope kabisa tupo hapa kujifunza.
 
Hahaha huwa unafurahisha sana we jamaa, Lengo lako ilikua nini haswa maana sijakuelewa mpaka muda huu

Yani kwanini uniulize maana ya jambo ambalo liko wazi
 
Unaona unavyokwama sasa? acha uoga umesema Dunia haina "edge" that means unajua maana ya "edge"

sasa tuambie ulimaanisha nini uliposema Dunia haina "Edge"

"What is an Edge "

Incase ukikosea nitakuelewesha...usiogope kabisa tupo hapa kujifunza.
Alafu nadhani wewe ndiye muoga 🤔, Jikite kwenye mada

Hujanionyesha kingo za Dunia hadi muda huu
 
Unajua ni utoto kuelezea jambo ambalo linafahamika wazi kabisa, Ati nini maana ya Edge...Wtf
Uliposema Dunia haina edge ulimaanisha nini?

Unajua maana ya edge?

NB:- Wewe ndiyo unaonyesha utoto kwa kuongea vitu usivyoelewa.... inaonekana umekariri tu.
 
Hujui maana ya edge,...then unataka nikuonyeshe edge of the earth?

Haiingii akilini.
Kwa kukusaidia, Maana inaonyesha haukua unajua ila ulitaka nikujibu ili ujue

Ukomo, Mpaka, Kingo ( Edge )

Tumeelewana ?
 
Hivyo ndiyo nilikua nataka sasa ili hata nikikubana kwa maswali fikirishi usiseme nimekusingizia....

Tuje kwenye point sasa,...kama umekiri neno "edge" linamaanisha "ukomo" wa kitu....JE, MWANZO ULIVYOSEMA DUNIA HAINA EDGE ULITUDANGANYA?
 
Sijakudanganya, Dunia haina ukomo
Kwakua ni Tufe
 
Ninaposema kwamba kwenye baadhi ya nadharia,..watu wanakua brainwashed & indoctrinated ni kama hivi yani,.....Mtu unaweza kufikia hatua ya kuamini kwamba Mpira kama huu 👉🏼⚽ Hauna ukomo, yaani unaamini kabisa kwamba huwezi kujua ukomo wa mpira.....

Sasa cha kufanya think on your own,...kisha jiulize je mpira una ukomo au hauna... Hapo utapata majibu sahihi..
 
Back
Top Bottom