The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Jibu swali nani kasema linatumbukia😄😄??Kwahiyo wewe unaona Jua linaibuka chini hapo....Hhahh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali nani kasema linatumbukia😄😄??Kwahiyo wewe unaona Jua linaibuka chini hapo....Hhahh
Sasa nani aliyekuambia ukomo wa kitu unaangaliwa kwa ndani,..?We unaona umeeleweka hapo?? Sasa ukomo wake ni wapi hapo? Maana Kuna mishale minne na mwingne anaweza kuongeza atakavyo kama ulivyofanya wewe.
Na hapo umeonesha Kwa nje nje Kwa ndani?😄
Wewe si umeangalia thickness ya line Kwa kuchangua point Moja moja na kusema hapo ndio ukomo, kama unakataa basi nambie mwanzo ni wapi kama hapo ulipoonesha ni ukomo. Usiforce, ulikosea kubali tu Mpira Hauna edge na hautawah kuwa na edgeSasa nani aliyekuambia ukomo wa kitu unaangalia ndani,..?
Kitu kikishakua na maximum size maana yake kina ukomo,... Haijalishi hicho kitu kina umbo gani,.. unaelewa?
Mpira una maximum size/not??Wewe si umeangalia thickness ya line Kwa kuchangua point Moja moja na kusema hapo ndio ukomo, kama unakataa basi nambie mwanzo ni wapi kama hapo ulipoonesha ni ukomo. Usiforce, ulikosea kubali tu Mpira Hauna edge na hautawah kuwa na edge
Maximum size in terms of what? Volume, length, surface area, occupied space??Mpira una maximum size/not??
Maximum size in terms of anything...Maximum size in terms of what? Volume, length, surface area, occupied space??
Ndio ntashindwa hiyo ringi ya blue ni continuos hapo sioni mwanzo wake Wala mwisho wake.View attachment 3176738
Kwenye picha hapo juu ukiambiwa u highlight ukomo wa blue ring utashindwa? The celebrity
In terms of volume Mpira una maximum volume size, in terms of diameter pia, au mzingo wake. Wewe point yako Iko wapi?Maximum size in terms of anything...
Kumbuka ukomo unaoongelea hapa ni edge, usije kubadiri ukaanza kuchanganya na capacity ya kitu.Kitu kikishakua na maximum size maana yake kina ukomo,... Haijalishi hicho kitu kina umbo gani,.. unaelewa?
hateeb10 kwahy hili swali limekushinda???Explain this, how is it possible kwenye Dunia tambarare?
View attachment 3174372
Hili nalo naona limekuwa gumu sana kwako? hateeb10kama unakataa basi nambie mwanzo ni wapi kama hapo ulipoonesha ni ukomo. Usiforce, ulikosea kubali tu Mpira Hauna edge na hautawah kuwa na edge
Kwani ni nini maana ya ukomo (edge), mpaka inashindwa kuelewa?.... kuweka mambo clear zaidi ni kwamba ninaposema ukomo/edge namaanisha ile point ambayo kama ukinyanyua mguu wako step moja tu hautokua kwenye hiyo round object tena,...Kumbuka ukomo unaoongelea hapa ni edge, usije kubadiri ukaanza kuchanganya na capacity ya kitu.
Kwamba hapo ukiambiwa utaje point ambapo tunaanza kukutana na Blue ring utashindwa?Ndio ntashindwa hiyo ringi ya blue ni continuos hapo sioni mwanzo wake Wala mwisho wake.
Kwahiyo wewe unavyojua watu wa jamii zingine hawakua na ramani za Dunia na hawakujua kama kuna mabara mengine yenye mali?wazungu walichunguza na wakagundua kuna mabara yana mali nyingi na waliweza kuvuka maji ya kutisha na kuyafikia mabara hayo na kuyatawala na kufanikiwa kuhamisha mali za huko hadi kwao.
ukiangalia hata ramani zote za barabara zinazotumika kwenye bara la africa bado wanatumia ramani zilezile za wazungu wakoloni.watu weusi tumeshindwa hata kubuni njia zetu za kututoa sehem moja hadi nyingine iwe nchi kavu,bahari hata anga.
wazungu haohoa leo wamefikia kufika mwezini na kutuletea picha za dunia yako kama ilivyo. na sasa wanachanja mbuga miaka sio mingi wanaingia sayari ya mars.
kwamafanikio haya wenzetu wazungu sio wa kubezwa hatakidogo.kama una cha kuwapinga zaidi toa ushahidi wako ambao haugusi kabisa ushahidi wa wazungu katika utafiti wao.
KITU PEKEE AMBACHO MIMI NAWEZA KUWAPINGA WAZUNGU NI KUTULETEA DINI ZAO TU. pamoja vitabu vya dini ndio vitabu walivyoweka kumbukumbu zao na kuendeleza utafiti wao wa kidunia na maisha ya wanadamu,wakati sisi tunaendelea kuwa wajinga wa kuto kugundua mtego huu.
kwahiyo uliambiwa wazungu ote wanafanya kazi ya kutafiti dunia tu ilivyo.?Kwahiyo wewe unavyojua watu wa jamii zingine hawakua na ramani za Dunia na hawakujua kama kuna mabara mengine yenye mali?
Ukisoma Historia utaona muingiliano wa jamii kwa jamii, mabara kwa mabara kwenye masuala mbalimbali ya kibiashara na kiutawala yalikuepo kitu ambacho kinakuonyesha wazi kwamba ramani na routes mbalimbali zilikuepo kwenye Jamii zote na sio Wazungu peke yao,... Kwa mfano kwenye biashara ushawahi kusikia kuhusu Trans-saharan Trade.? hapo kulikua na Trade routes zilizounganisha Southern Africa - North Africa - Europe - Middle East..............
Watu walifanya biashara wakavuka mabara kwa mabara kwa kutumia ramani na routes zao,.... ukiwa mvivu wa kufikiri ndiyo utasema kulikua hakuna elites na watu wenye ujuzi toka Africa,.. Nadhani tatizo kubwa huenda Afrika wajinga ni wengi kuliko waerevu kitu kinachofanya juhudi za wachache waerevu zishindwe kuonyesha matokeo.........
NB: Kumbuka,..ndani ya hao wazungu unaowaona ni waerevu ndani yake kuna wajinga wengi tu ambao hata wewe ni genius kwao.