Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
The first man to ascend to the stratosphere, Swiss scientist Auguste Piccard, shared insights that contributed to the understanding of Earth's shape during his groundbreaking balloon flight in 1931. In this mission, Piccard reached an altitude of about 15.8 kilometers (52,498 feet), observing the Earth from a perspective few had experienced at the time.

Piccard is often cited for describing Earth as looking like "a flat disk with upturned edges" from his vantage point.

The celebrity Poor Brain
Kuna picha kama ushahidi uweke hapa
 
Well, if you know that water cannot stick to a ball, why do you believe it can stick to a spinning, ball-shaped Earth like this 👉 🌎?
Sijui umesoma maelezo yangu yote au la? GRAVITY. GRAVITY. Ndio inayopull hayo maji kwenye Dunia.
 
Leo nataka nikukande hateeb10 yaani miaka miwili nimekomaa na chand, universal phy na nelkon..
Leo nakupa na full equation ujue kwanini T³ = t²
Ukienda deep utahangaika Bure tu, hawezi kujibu maswali ya kawaida tu niliyouliza hapo juu kama Jua kuzama na kuonekana half, na la density. Kama anaweza ajibu niamini kama kweli anajua anachokitetea hapa. Kama kweli Dunia ni tambarare kwann ashindwe kutoa hiyo elimu hapa?
 
Kuna vtu by common sense tuu anaona mwenyewe ila kujibu ndo hvo anazingua...

Huyu anataka tumpige
 
Huyu naona kabisa anapoteza flow 😀😀🙌🙌
Nimemfafanulia hoja Yao kuhusu vitu kufall wao wanasema ni density ndo sababu, sawa je kwann iwe chini tu? Sio juu au pembeni ukizingatia pande zote hizo yaan juu na pembeni nako pia Kuna air ambayo ni less dense kuliko hiyo object naona anaruka swali.
Sometimes tupo hapa Ili tupate mawazo mapya sasa kama ndo hivi mtu anakimbia maswali hamna kitu hapa.
 
Kuna vtu by common sense tuu anaona mwenyewe ila kujibu ndo hvo anazingua...

Huyu anataka tumpige
Nilikuambia huyu mweupe ila anaangalia penye pengo ndo anachomokea, akiona sehem panambana anaruka 😀. Me nakuachia ww saivi ntakuwa naangalia ila mbane sehemu mbili tu; Gravity na sunset na sunrise uone.
 
Nimemfafanulia hoja Yao kuhusu vitu kufall wao wanasema ni density ndo sababu, sawa je kwann iwe chini tu? Sio juu au pembeni ukizingatia pande zote hizo yaan juu na pembeni nako pia Kuna air ambayo ni less dense kuliko hiyo object naona anaruka swali.
Sometimes tupo hapa Ili tupate mawazo mapya sasa kama ndo hivi mtu anakimbia maswali hamna kitu hapa.
😀😀 Hvi kuna jamaa mwingine alisema hakuna gravitational force ni Albert au nani yule
 
Nilikuambia huyu mweupe ila anaangalia penye pengo ndo anachomokea, akiona sehem panambana anaruka 😀. Me nakuachia ww saivi ntakuwa naangalia ila mbane sehemu mbili tu; Gravity na sunset na sunrise uone.
Happ hapo nataka atupe concept ya sun set na rise ipo vipi kama dunia ni flat...

Atuambie yeye ni geocentrism
Au ni Heliocentrism
 
Kipimo tunachotumia ni kuangalia kuzama na kuchomoza kwa jua....
Pia naomba nijue kuwa wewe upo wapi kati ya concept ya jua kuzunguka dunia au dunia kuzunguka jua ???
Hicho sio kipimo sahihi,.. Nakupa kazi rahisi tafuta usiku ambao anga lipo clear..then chukua kiti kaa utazame mwezi (Ikiwa full moon itakua vizuri zaidi ili uone kwa usahihi)........ concetrate kuuangalia mwezi ukiweza hata dakika 15 au 30........Utagundua mwezi kuna muda unakua umesimama at the exact point kwa dakika zote hizo., sasa jiulize swali kama kweli Dunia ina move kwanini umetumia dakika zote hizo kuutazama mwezi as your reference object (point) lakini hujaona wewe uki move away toka location ambayo Mwezi upo ?

Au utasema Dunia ina move together with Moon? Hahh ukisema hivyo ndiyo utajiweka kwenye mtego mgumu zaidi.
 
Kuna picha kama ushahidi uweke hapa
Picha inayoonyesha nini?

Kama huniamini mimi niliyekuwekea hapa nenda kasome kwenye sources nyingine,..nenda search alichosema mtu wa kwanza kupaa mpaka kwenye level ya Stratosphere kuhusu umbo la Dunia,..ukipata majibu usisite kuyaleta hapa.
 
Mbona hutoi maelezo, instead unauliza maswali??😀😀 Mimi nipo hapa kijifunza kwenu Poor Brain huyu mtu vipi?
Kwanini nitoe maelezo marefu kwa kitu ambacho naweza kuelewesha in easiest way possible.......

Ikiwa unajua kwamba Jua actually halizami,..unatakiwa uelewe kwamba hata kuliona half ni illusion tu inayosababishwa na refractionary effect sasa kasome kuhusu refraction.
 
Sijui umesoma maelezo yangu yote au la? GRAVITY. GRAVITY. Ndio inayopull hayo maji kwenye Dunia.
Kwahiyo Gravity ndiyo inafanya Maji yastick kwenye spinning ball-shaped earth?.........Unaweza kuthibitisha?

au ni nadharia tu?
 
Back
Top Bottom