Mimi pia ushahidi wa video sina,..ila atleast ninachoamini kinaweza kuwa supported na observation:-
Ila ya nini tena? Jibu ni Moja tu huna ushahidi na huo ushahidi wa namna hiyo haiwezekani.
- Through observation,.. huoni wala kuhisi Dunia iki move.
- Through observation,..unaona flatness ya Dunia all over.
1. Kutoona Wala kuhisi Dunia ikimove wakati umeshindwa kunipa video nzima inayoonesha Dunia nzima ikiwa haimove sio uthibitisho.
2. Flatness huwez kuipima Kwa kuangalia sehem ndogo sana ya Dunia less than 1% ya Dunia nzima. Hapo utakuwa unajidanganya mwenyewe
Lastly, theoretically umeshindwa kuthibitisha umbo ya Dunia flat hata video pia umeshindwa then unasema Dunia ni flat, unaona upo sawa kweli?
Wewe sio wa kwanza na Wala hutakuwa wa mwisho kuja na madai haya lakini siku zote ukweli utasimama. Most of Flat Earthers mnatofautiana mawazo yenu Kwa sababu mnachokisema Hamna ushahidinacho zaidi ya maelezo ambayo kimsingi hayana connection nzuri na uhalisia wa mambo.
Mfano mdogo tu kuonesha hoja zenu ni dhaifu hata theoretically:
1. Mkiulizwa muelezee solar na lunar eclipse na lunar phases huwa mnaleta story za kisadikika. Mfano wewe mwenyewe uliwahi kuleta majibu ya kisadikika ambayo hata ww hujui umeyatoa wapi.
2. a) Mnadai pembezoni mwa Dunia Kuna ice walls ambazo ndio zinazuia maji yasimwagike. Sasa swali la kujiuliza tu hata kama huna elimu kwanza kwann maji yamwagike?
b) Achana na Hilo mkaenda mbali zaidi mnadai hakuna mtu anaruhusiwa kwenda huko Kwasabab ni more secured place. Sasa kama ni hivyo wao walijuaje? Na mpka Kuna ramani zenu je nan alietengeneza hizo raman kama hakuna aliewah kufika huko?
3. Sunset na sunrise, hapa mnadai kuwa ni PERSPECTIVE, yaani kwamba Jua linaenda mbali zaidi na UPEO wa macho yetu kiasi kwamba linapungua size mpk linapotea. Swali dogo tu kwann katika uhalisia Jua halipungui size kama mnavyodai? Bali tunaona ni kama linazama(linaenda below our horizon) likiwa Kubwa vile vile? Hili swali hata wewe ulishindwa kujibu badala yake ukanipa majibu yaliyokosa maelezo kama REFRACTION na ILLUSION.
Ni kweli REFRACTION inaelezewa vzr kabisa kwenye Dunia duara kwamba wakat Jua linazama(sunset) huwa Kuna saa Moja ambalo kiuhalisia Jua linakuwa limeshazama(linakuwa below our horizon) lakini Bado tunakuwa tunaliona. Hii inatokana na refraction.