Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Jibu lako la kwanza nitakuuliza swali lingine baadae ( nahifadhi )

2: Umetoa mfano wa ndege kusafiri horizontally, Nielezee How ? Maana mimi ni mtumiaji mzuri wa huo usafiri masafa marefu na mafupi

Sijawahi kushuhudia ndege ikienda horizontally straight hadi tunafika destination husika

Na kwa kumalizia, Una utaalamu wa maswala yanayohusu usafiri wa anga ?
Kwanza unakubali kwamba Ndege ina safiri horizontally over the earth's surface?,.......... ni either ukubali au ukatae hoja yangu ili tuone umesimamia upande gani.,
 
Hivi unaposoma huwa unaelewaa???👇👇
Wewe ndiyo huelewi unachokiandika,..ukishasema "Dunia ni kama closed system"....kimsingi hiyo "kama" uliyoweka inaonyesha Kwamba Dunia sio closed system ila unafananisha tu na closed system.
 
Parallel line: two or more lines that are always the same distance apart and never intersect, even if they are extended infinitely in both directions.
View attachment 3191505

Converge: (of lines) tend to meet at a point.

Kwahy hii inamaana kwamba mistari iliyosambamba hukutana at some distance.

View attachment 3191508

Nadhani nimejibu part A.

Tukija kwenye Jua, nadhani soma nilichoandika vzr utanielewa, hiyo ni rule Moja je umesoma na nyingine? Je zina apply kwenye Jua kuzama???
Hapa umekimbiaaaa🤣🤣, nikitulia nakuja kumaliza ujinga wa Dunia flat na model zao😃😃.
hateeb10
 
Aina Gani ya force inayotengenezwa ndani ya matter? Na inatengenezwa vipi?
Internal force,. Inatengenezwa kutokana na muunganiko wa chembechembe ndogo ndogo kwenye object, husika kadri chembechembe zinavyoongezeka na Internal force ya object husika inakua kubwa.
Uongo, nishawahi kukupa mfano fulani ntaurudia tena!!

Chukua maji litre 20, ambayo ni sawa 20kg, yaweke kwenye beseni, the. Chukua shilling 200 ya Tanzania (80g) iweke kwenye hayo maji. Kumbuka hapo maji yana uzito mkubwa(20kg) kuliko shilling(80g) lakini shilling itazama.

Kwahy maelezo yako hapo juu ni uongo....

Unasema uongo,.. kwani hujui kama hapo ishu ya Density inahusika? Object ipi ni more/ less dense than other.....This scenario explains the concept of density. While the weight of the water (20 kg) is much greater than the weight of the coin (80 g), the coin sinks because it is denser than the water. Density is measured as mass per unit volume (density = mass/volume). Water has a density of approximately 1 g/cm³, while the density of metal (such as that in a Tanzanian shilling) is around 7.85 g/cm³. Therefore, the coin has a greater weight for its volume compared to water, which is why it sinks. It's similar to the difference between trying to put a piece of metal and a piece of wood in water; the wood might float because it has a lower density compared to water, whereas the metal will sink due to its higher density.
 
Internal force,. Inatengenezwa kutokana na muunganiko wa chembechembe ndogo ndogo kwenye object, husika kadri chembechembe zinavyoongezeka na Internal force ya object husika inakua kubwa
Aina Gani ya force hiyo kaka
 
Still una lack of knowledge Kubwa sana, lakini naamini kupitia huu mjadala unaelimika sana, na nipo hapa kukupa elimu.

1. Kwanza Gravity inavuta vitu vyote kuelekea kwenye center of the earth sio ardhini kama unavyodai.

2. Ardhi ni physical obstacle ukichimba shimbo object itaendelea kufall kupita hiyo outer surface ya earth.

3. Hapo kwenye uzito mkubwa Bado pia unadhihirisha unaufinyu wa kufikiri kama nilivyotoa mfano wa maji na shilling hapo juu
1. Gravity haivuti kitu chochote,....na uthibitisho ni kwamba tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity.

2. Center of the earth ni wapi? Unaweza kutoa mfano wa kitu kilichovutwa na gravity mpaka kikafika hiyo center of the earth? Kwahiyo ardhi ni physical obstacle ndiyo maana inazuia vitu visianguke moja kwa moja mpaka kwenye center of the earth as intended by the gravity?

3. Hapa unachekesha,..role ya uzito ina play part mpaka kwenye mfano wako wa maji na shilingi... au unafikiri gravity inahusika hapo?
 
Unasema uongo,..
Ndio uongo!!
kwani hujui kama hapo ishu ya Density inahusika?
Hujahusisha density kwenye maelezo yako!!
Object ipi ni more/ less dense than other.....
Hukuhisisha density awali, ulihisisha uzito
This scenario explains the concept of density. While the weight of the water (20 kg) is much greater than the weight of the coin (80 g),
Sasa Kwa maelezo yako ya awali maana yake chenye uzito mkubwa kitashuka chini na chenye uzito mdogo kitakaa juu😃😃 huoni unajipinga??
the coin sinks because it is denser than the water. Density is measured as mass per unit volume (density = mass/volume). Water has a density of approximately 1 g/cm³, while the density of metal (such as that in a Tanzanian shilling) is around 7.85 g/cm³. Therefore, the coin has a greater weight for its volume compared to water, which is why it sinks. It's similar to the difference between trying to put a piece of metal and a piece of wood in water; the wood might float because it has a lower density compared to water, whereas the metal will sink due to its higher density.
 
1. Gravity haivuti kitu chochote,....na uthibitisho ni kwamba tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity.
Siasa!!😃😃
2. Center of the earth ni wapi?
Katikati kwenye kiini Cha Dunia, kama kiini Cha yai lilivyo.
Unaweza kutoa mfano wa kitu kilichovutwa na gravity mpaka kikafika hiyo center of the earth?
Kama unaweza kuchimba mpaka kwenye center chimba ntakuja kukuonesha mwenyewe.
Kwahiyo ardhi ni physical obstacle
Ndio!!
ndiyo maana inazuia vitu visianguke moja kwa moja mpaka kwenye center of the earth as intended by the gravity?
Ndioo
3. Hapa unachekesha,..role ya uzito ina play part mpaka kwenye mfano wako wa maji na shilingi... au unafikiri gravity inahusika hapo?
Soma maelezo yako vizuri!!! Umesema chenye uzito mkubwa kitashuka chini na chenye uzito mdogo huoanda juu. Je shillingi umekaa juu ya majii?? Au umesahau maelezo yako??
 
Aina Gani ya force hiyo kaka
unapouliza aina gani ya force unataka jibu la aina gani,.kwamba nitaje jina la hiyo force? kwani wewe ukipuliza moto uwake kuna force unaitumia hiyo force inaitwaje? FORCE YA KUPULIZA?🤣

Acha kukariri,.
 
unapouliza aina gani ya force unataka jibu la aina gani,.kwamba nitaje jina la hiyo force? kwani wewe ukipuliza moto uwake kuna force unaitumia hiyo force inaitwaje? FORCE YA KUPULIZA?🤣

Acha kukariri,.
Acha ujinga wako!! Ukipuliza moto hiyo inaitwa nguvu ya msukuma(thrust force)
 
unapouliza aina gani ya force unataka jibu la aina gani,.kwamba nitaje jina la hiyo force? kwani wewe ukipuliza moto uwake kuna force unaitumia hiyo force inaitwaje? FORCE YA KUPULIZA?🤣

Acha kukariri,.
Kwahy ww unataka kusema chembechembe zinatabia ya kutengeneza force??? From ni where?,🤣🤣
 
unapouliza aina gani ya force unataka jibu la aina gani,.kwamba nitaje jina la hiyo force? kwani wewe ukipuliza moto uwake kuna force unaitumia hiyo force inaitwaje? FORCE YA KUPULIZA?🤣

Acha kukariri,.
Na ndio maana tangu mwanzo nasema ww unashida kwenye FORCE
 
FORCE
What is Force?

In physics, a force is any interaction that, when unopposed, will change the motion of an object. A force can cause an object with mass to change its velocity (which includes to begin moving from a state of rest), i.e., to accelerate.

Force can also be described intuitively as a push or a pull. A force has both magnitude and direction, making it a vector quantity. It is measured in Newtons (N) in the International System of Units (SI).

Key Concepts Related to Force:

Newton's Laws of Motion: These three laws form the foundation of classical mechanics and describe the relationship between a body and the forces acting upon it, and its motion in response to those forces.

A) 1st Law (Inertia): An object at rest stays at rest and an object in motion stays in motion with the same speed and in the same direction unless acted upon by an unbalanced force.

B) 2nd Law (F=ma): The acceleration of an object is directly proportional to the net force acting on the object, is in the same direction as the net force, and is inversely proportional to the mass of the object. (Force = mass × acceleratio
n)

C) 3rd Law (Action-Reaction): For every action, there is an equal and opposite reaction.
Net Force: The net force is the vector sum of all the forces acting on an object. It is the net force that determines the object's acceleration.

Types of Forces:
Forces can be broadly classified into two categories:

1. Contact Forces: These forces result from direct physical contact between objects. Examples include:

a) Applied Force: A force applied to an object by a person or another object. (e.g., pushing a box)

b) Frictional Force: A force that opposes motion when two surfaces slide against each other.

b1) Static Friction: The force that prevents an object from starting to move

b2) Kinetic Friction: The force that opposes the motion of a moving object.

c) Tension Force: The force transmitted through a string, rope, cable, or wire when it is pulled tight by forces acting from opposite ends.

d) Normal Force: The support force exerted upon an object that is in contact with a stable object. It is perpendicular to the contact surface.

e) Air Resistance Force: A type of frictional force that acts upon objects as they travel through the air.

e) Spring Force: The force exerted by a compressed or stretched spring upon any object that is attached to it.

2. Non-Contact Forces (Field Forces): These forces act through a distance without physical contact. Examples include:

a) Gravitational Force: The force of attraction between any two objects with mass. It is responsible for the weight of objects and the orbits of planets.

b) Electromagnetic Force: The force between electrically charged objects. It encompasses both electric and magnetic forces and is responsible for many everyday phenomena like light, radio waves, and chemical bonding.

c) Electric Force: The force between charged particles.

d) Strong Nuclear Force: The force that holds the nucleus of an atom together. It is the strongest of the four fundamental forces but acts over very short distances.

e) Weak Nuclear Force: The force responsible for radioactive decay. It is weaker than the strong nuclear force but stronger than gravity.

hateeb10
 
MZUNGUKO WA JUA(ACCORDING TO FLAT EARTH): DEBUNK.....

images (2).jpeg


Tazama picha hapo juu👆👆, ukiangalia point iliyopo north pole(katikati kabisa) na ukiangalia orbit ya Jua (ambayo ni circular) utagundua umbali kutoka kwenye hiyo point(north pole) mpk kwenye point yoyote kwenye hiyo orbit ya Jua ni the same (RADIUS).

Sasa hoja yangu ni kwamba;

1. Kama Jua linafika kwenye hiyo point inamaanisha hakuna muda itafika kutakuwa Giza Kwa sababu Jua popote litakapokuwa kwenye orbit yake Bado umbali(RADIUS) itabaki kuwa Ile ile na angle of strike itakuwa Ile ile. So siku zote kutakuwa mchana kwenye point/eneo Hilo kitu ambacho katika uhalisia hakipo hivyo.

2. Kama Jua halifiki kwenye hiyo point inamaanisha hakuna muda kutakuwa na mwanga kwenye hiyo point, yaani siku zote kutakuwa na Giza tu, kitu ambacho katika uhalisia hakipo hivyo.

LAKINI PIA TAZAMA VIDEO HII👇👇



Ukiangalia model juu hapo, utaona Jua na mwezi vinamove in opposite side muda wote yaan jus likiwa upande huu basi Mwezi utakuwa exactly the opposite side.

Kwa maana hiyo there is no possibility Jua na mwezi kuwa observable at the same time.

Sasa ndugu zangu, naamini wote tunakubaliana hili haliendani na uhalisia, bonafsi nimeshuhudia mara kadhaa Jua na mwezi Kwa pamoja wakati wa mchana.

images (3).jpeg


download (3).jpeg


hateeb10
 
Kwanza unakubali kwamba Ndege ina safiri horizontally over the earth's surface?,.......... ni either ukubali au ukatae hoja yangu ili tuone umesimamia upande gani.,
Simamia misingi, Huu sio mjadala

Mimi nataka kujifunza kwako kwa kuuliza maswali na unijibu kwa ufasaha ili nikuelewe vizuri,

Anyways, ulikua unamaanisha ndege kusafiri horizontally kwenye Earth surface na sio KATIKA anga ?

Lakini pia haujajibu swali langu hili na unijibu, Je una utaalamu wa maswala yanaohusu usafiri anga ?
 
Back
Top Bottom