Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Sio hivyo!! Hata mawingu yanamove along na Dunia Japokuwa yanamovement yake yenyewe.

Mfano: imagine upo kwenye basi linalomove umekaa kwenye seat, maana yake hapo unamove pamoja na gari, lakin unaweza kutembea kuelekea utakako ukiwa kwenye gari.

Na sababu ya mawingu, ndege na vitu vingine kumove pamoja na Dunia ni gravity imevi-hold.
Hilo Gari lipo closed juu au lipo wazi tu?....let's say Kwenye hilo Gari kuna Ndege wanaoweza kupaa, huoni kwamba kati ya vitu hivi vitatokea 1. Ndege wakiruka na Kuganda juu wataachwa na Gari, 2. Ndege wakiruka na kupaa kwenda uelekeo wowote ni either wataliacha/kuachwa na Gari.

NB: Assume hilo Gari ndiyo Dunia.......
 
😃😃, kwahy neno uvuto linakukera sanaa?? Haya uwingi wa kitu(mass) unasababishaje msukumo?? Na kumbuka Mass ni scalar quantity

Unarudi kule kule tena😃, Debate ni "vitu kuanguka je Kuna force inavyosababisha au lah!!?" Wewe tena unatolea mfano huo huo!! Daaah😃😃

Mass ni scalar quantity, haisukumi kitu chochote in any direction.
Kinachosababisha msukumo ni internal force ya object husika,..labda kama unataka tulazimishe kuweka force ambazo hazipo.

Narudia ni Natural law kwa vitu vyenye uzito kuanguka chini,.. sasa ukitaka ulazimishe nadharia hiyo itakua juu yako.
 
The celebrity Hivi wewe ukiwa umesimama kisha ukaegemea object ambayo umeizidi uzito nini kitatokea?

Je, kitakachotokea kipo influenced na gravity au uzito wako?
 
Hilo Gari lipo closed juu au lipo wazi tu?..
Closed.
..let's say Kwenye hilo Gari kuna Ndege wanaoweza kupaa, huoni kwamba kati ya vitu hivi vitatokea 1. Ndege wakiruka na Kuganda juu wataachwa na Gari, 2. Ndege wakiruka na kupaa kwenda uelekeo wowote ni either wataliacha/kuachwa na Gari.
Vizuri sana, at least umeanza kutumia akili kuuliza maswali ya akili.

Kwenye mfano wangu nilikuwa nataka kukupa picha jinsi unavyoweza kumove na Dunia hapo hapo ukafanya movement zako.

Wewe umekuja na point nzuri ila ulipaswa uelewe maana ya mfano wangu. Vizuri.

Sasa mfano wa gari, ndege wakiruka kama ulivyosema na majibu ulivyosema vyote upo sahihi kabisa!!

Lakini unatakiwa ujue Dunia ni kama closed system, gravity imeshikilia vitu vyote vilivyo ardhini mpaka kwenye atmosphere yake.

Kwahy mtu alieangani ameganda hewani anamove sawa sawa na mtu aliye ardhini (wote Kwa pamoja wanamove along with the earth).

Kwahy ukitumia mfano wako wa ndege kwenye gari kuruka juu ni sawa na mtu utoke njee ya Earth's atmosphere ambapo gravity Ina ACT.
 
Kinachosababisha msukumo ni internal force ya object husika,..labda kama unataka tulazimishe kuweka force ambazo hazipo.
Sio kukulazimisha lakini jibu maswali husika👇👇
Haya uwingi wa kitu(mass) unasababishaje msukumo?? Na kumbuka Mass ni scalar quantity

Narudia ni Natural law kwa vitu vyenye uzito kuanguka chini,.. sasa ukitaka ulazimishe nadharia hiyo itakua juu yako.
Sasa wewe uelewa wako umeishia kwenye natural law, nikikuuliza how hizo natural zina apply utakuwa na majibu? Na pia gravity ni maelezo ya kuelezea jinsi hiyo 'natural law' inatokea.
 
Tatizo huna msimamo mwanzo ulisema Dunia haipo closed,..sasa hivi umeamua ubadilishe..ushahidi wa uliposema Dunia haipo closed huu hapa chini⤵️

1735826462048.png
 
That is not true!! Always a plane ascends and descends to maintain altitude
Wewe ndiyo huelewi,.. unaposikia maintaining altitude maana yake kuna height let's say 40,000ft above Sea level Ndege ikifika ina maintain height hiyo huku iki move horizontally.......na sio kwamba at the same time ina ascend na ku descend kama unavyosema.
 
The celebrity Hivi wewe ukiwa umesimama kisha ukaegemea object ambayo umeizidi uzito nini kitatokea?

Unapomwegemea kitu ambacho umeizidi uzito, kitu hicho kitasogea au kitavunjika (kama hakina uimara wa kutosha). Hii ni kwa sababu unatumia nguvu juu yake. Nguvu hiyo inatokana na uzito wako, ambao, kama tulivyojadili hapo awali, ni nguvu inayotokana na uvutano unaotenda kazi kwenye wingi wako.

Je, kitakachotokea kipo influenced na gravity au uzito wako?
Ni influence ya gravity kwenye uwingi wako(Mass).
 
Wewe ndiyo huelewi,.. unaposikia maintaining altitude maana yake kuna height let's say 40,000ft above Sea level Ndege ikifika ina maintain height hiyo huku iki move horizontally.......na sio kwamba at the same time ina ascend na ku descend kama unavyosema.
Angalia vitu unavyoandika visibadirishe maana. Wapi nimesema at the same time?
 
Maelezo yako ya mwanzo yapi? Nimeuliza wapi nimeandika at the same time? Hujajibu
I mean kitu gani kilifanya upinge maelezo yangu ya awali ..? ⤵️

.............Maintaining altitude" means that an aircraft is flying at a consistent height above the ground or sea level. Essentially, the pilot is ensuring that the plane neither ascends nor descends, but stays at a constant altitude.
 
Sioni mfano wa kawaida ambao naweza kutoa
hateeb10
Au nikupe mfano lakin haupo direct sana, chukulia maji kwenye beseni, kitu chochote kilicho kwenye hayo maji(ndani) maana yake kipo kwenye closed system ya hayo maji, kikitoka nje ya hayo maji maana yake kimetoka nje ya system hiyo na kita experience halibya tofaut
 
I mean kitu gani kilifanya upinge maelezo yangu ya awali ..? ⤵️

.............Maintaining altitude" means that an aircraft is flying at a consistent height above the ground or sea level. Essentially, the pilot is ensuring that the plane neither ascends nor descends, but stays at a constant altitude.
👆👆 Au Mimi ndo sijaelewa?? Wewe umesema "neither" ascends nor descends
 
Back
Top Bottom