Bila shaka,,
1. Wakati gari unakata Kona kwenye curved road huwa Kuna centripetal force ina ACT ambayo huvuta gari kuelekea kwenye centre, lakin huwez kuhisi.
View attachment 3190655
2. Kitu kilichofungwa kwenye kamba na kuzungushwa. Jiwe linavutwa kuelekea katikati.
3. Ukiwa kwenye gari inayomove at constant speed, kimsingi unavutwa/unasukumwa lkn hauhisi hiyo nguvu na unaweza kufanya activities zako kama kawaida bila bughuza, untill the car changes its motion or stops ndo utahisi nguvu ya mvuto au msukumo.