Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Umeamua kuruka,..hujajibu swali.........nimeuliza "Unajua theory of gravity imekua proposed for the first time karne ya ngapi?
Kwasababu hujajibu swali langu
Je, kabla ya hiyo theory kuwa proposed,... watu hawakujua maana ya uzito?....."
Kwanza swali lako ni la kijinga,, ni sawa useme kuwa kabla neno 'Density' halikaanza kutumika basi vitu vilikuwa havielei😀😀.

Watu walihisi uzito, lakini kujua kwann wanahisi uzito hawakuwa na uelewa huo
Kwanini unaogopa kujibu?
Kati ya mm naww nani hamjibu mwenzake??
 
Ndiyo umeshindwa kuleta nilichotaka,..mimi nilitaka ulete uthibitisho kwa bahati mbaya umeleta katuni.
Umeniomba picha za Dunia duara nimekupa, umeomba Dunia ikiwa unazunguka nimekupa, zichambue uoneshe ni kivipi hizo video ni katuni huku ukiweka na mfano wa katuni ya Dunia yako Ili tuone unachosema ni kweli.
Unataka uthibitisho kwamba Dunia ni flat na Stationary,.tumia akili na macho yako unachokiona ndiyo uthibitisho wenyewe,.
Leta uthibitisho, Kwan mm nikikwambia Dunia ni duara tumia akili yako hapo nakuwa nimethibitisha??
.sioni haja ya mimi kukuletea katuni maana itakua hakuna tofauti kati yangu na wewe.
Hujanielewa!! Leta katuni Ili tukuamini kuwa kumbe 'hii ni katuni' Kwa sababu Kuna katuni za namna hii pia za Dunia flat, hapo utakuwa umeweka mambo sawa. Simple tu.
Narudia hii sio uthibitisho ni katuni... 👉🌎
Hahahaa kwahy mm nimetuma hii👉🌎 au hii👇😀😀
1968_Earthrise_297755main_GPN-2001-000009_full.jpg
 
Tulia upate Shule:-
1. Weight ninayoongelea mimi ni ile weight before nadharia ya gravity,
Ni ipi hiyo mbona hauielezei?? Lete maana ya weight before Nadharia ya gravity, au Kuna maneno huwa hayana maana?
...kwa maana kwamba kadri kitu kinavyoongezeka (Mass) na uzito (Weight) wake unaongezeka,...hakuna force yoyote ya kubuni inayo determine uzito wa kitu apart from particles za object husika.
Sasa hapa unajichanganya, hujajibu tofaut ya Mass na Weight😀😀
2. Uthibitisho kwamba Dunia ipo flattened na stationary hauhitaji katuni ni vitu ambavyo hata wewe una observe kila siku,...
Huu sio uthibitisho, hata mm naweza kukwambia tumia akili yako, lakin akili yako haiwezi kuona umbo la dunia (as a whole) unahitaji picha iliyopigwa umbali mrefu kutoka Duniani kama ambayo nimekupa.
anaetakiwa ku prove otherwise ni yule anaesema Dunia ipo tofauti na vile tunavyoiona na kuihisi.
Kama umeshaiona Dunia(as a whole) ni tambarare basi tupia ka picha hapa tuone na sie.
3. Unarudia swali lako,...nimeshasema as a natural law object yenye uzito zaidi itaenda chini mpaka pale ambapo itakutana na object nyingine yenye uzito sawa au zaidi.,
Kwahy ww uelewa wako umeishia hapo kuwa "object yenye uzito zaidi itaenda chini mpaka pale ambapo itakutana na object nyingine yenye uzito sawa au zaidi" kitu ambacho upo sawa lakin jibu la kwann vinaenda chini huna si ndio??

so movement ya kitu sio lazima iwe kuna external force
Mfano???
.......kwa mfano ukiwa umekaa kwenye kiti then ghafla usingizi ukujie,.. kitakachotokea utashindwa ku control kichwa chako kiasi ambacho utaona kichwa kinataka kuanguka,.
Kwahy kutaka kuanguka ndio kumove kutoka point Moja to nyingine? Hii bangi ya 2025 Kali sana😀😀.
Poor Brain Heri ya mwaka mpya😀😀😀
..Sasa jiulize kwenye scenario kama hiyo kuna external force yoyote hapo iliyo influence movement ya kichwa,
Unaakili kisoda😀😀, ndo maana Kuna mahali nilikuwekea Notation: "Locomotion na movement" ulielewa hapa sidhani kama kichwa yako itakuwa ngumu tena.

Mfano wako Hauna tofaut na kuchezesha mkono hiyo ni movement ya mkono lakini sio movement ya mwili wako mzima(Locomotion)
.. au ni misuli tu ime relax ukiwa usingizini kiasi cha kushindwa kuhimili uzito wa kichwa?
Nadhani hapo juu ukisoma utanielewa
Fikiria vizuri zaidi,..
👆👆👆
4. Object zina weight,..na kila kitu chenye weight kina internal force ndani yake na hiyo internal force ndiyo ina determine magnitude of effect ya hiyo object ikianguka au kupiga sehemu,..
Soma maelezo hapo juu bwa mdogo!!

Heri ya mwaka mpya 2025 hateeb10, Chosen Rich, Dunia hatimae imekamilishazunguko wake kwenye Jua tangu mwaka Jana dec, 😀😀😀😀
 
AAAAH HEBU NYIE FLAT EARTH BELIEVERS
Tumieni akili
Hivi mnajua marekani na russia ni karibu sanaa?
Ingekuwa dunia ni flat bas wangetumia mda mrefu sana kwenda urusi au marekani

Theory ya flat earth haina uthibitisho wa kisayansi
 
Mfano???

Kwahy kutaka kuanguka ndio kumove kutoka point Moja to nyingine? Hii bangi ya 2025 Kali sana😀😀.
Poor Brain Heri ya mwaka mpya😀😀😀

Unaakili kisoda😀😀, ndo maana Kuna mahali nilikuwekea Notation: "Locomotion na movement" ulielewa hapa sidhani kama kichwa yako itakuwa ngumu tena.
Unapata ugumu kuelewa,... kwahiyo mtu au kitu kikianguka maana yake hakija move from one point to another?

Jitahidi kufikiria kabla ya kuandika kitu,..
 
Huna akili ww👇👇
👇
Duh,. nimekuuliza swali kitu kikianguka hakijafanya movement toka sehemu moja kwenda nyingine?..........ungekua na akili timamu ungeweza kuelewa kwamba mfano niliokupa ulilenga kukuonyesha kwamba uzito ndiyo unapelekea vitu kuanguka chini and that's why kwenye hiyo scenario ya usingizi misuli inashindwa ku control kichwa kusimama upright,.

Unashindwa kuelewa mfano huo kwasababu una akili nyingi sana,.
 
Hahahaa, ila sabab za kuita katuni huna😀😃, so funny
Uzuri ni kwamba hata wewe unajua kwamba ulizoleta ni katuni sina haja ya kukupa sababu,.....kama unaamini hizo picha na videos ni real na ndiyo uthibitisho kwamba Dunia ni tufe na inazunguka basi endelea kuamini.
 
Vipi ndugu, Bado haujajiandaa kujibu maswali ntakayokuwa nkikuuliza ?
 
Sawa vizuri,..kwa kuwa uthibitisho huna atleast baki 50/50 kuliko kupambana kuonyesha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka 100% wakati ushahidi huna.

Karib uulize maswali.
Kumbe ulishanijibu

Okay kwa kuanza na swali la kwanza

Kwa imani au nadharia yako kuhusu umbo zima la Dunia jinsi ilivyo, Ni flat ikiwa mviringo kama sahani au ni flat ikiwa na umbo la pembe nne ?
 
Kumbe ulishanijibu

Okay kwa kuanza na swali la kwanza

Kwa imani au nadharia yako kuhusu umbo zima la Dunia jinsi ilivyo, Ni flat ikiwa mviringo kama sahani au ni flat ikiwa na umbo la pembe nne ?
Siwezi kukujibu exactly kwamba Dunia ni flat ya aina gani,....
 
Duh,. nimekuuliza swali kitu kikianguka hakijafanya movement toka sehemu moja kwenda nyingine?..........ungekua na akili timamu ungeweza kuelewa kwamba mfano niliokupa ulilenga kukuonyesha kwamba uzito ndiyo unapelekea vitu kuanguka chini and that's why kwenye hiyo scenario ya usingizi misuli inashindwa ku control kichwa kusimama upright,.
Kwahy kichwa kinaanguka??
 
Uzuri ni kwamba hata wewe unajua kwamba ulizoleta ni katuni sina haja ya kukupa sababu,.....kama unaamini hizo picha na videos ni real na ndiyo uthibitisho kwamba Dunia ni tufe na inazunguka basi endelea kuamini.
Hahahaaa Umeishiwa hoja😃😃, hapa tunajibizana Kwa hoja, ukikosa hoja kubali tu bwa mdogo Kwan shingapi??

Kuna maswali hapo juu umeshindwa kujibu unabwabwaja tuu😃😃😃
 
Kwahy kichwa kinaanguka??
Kichwa hakianguki,..bali ukiwa usingizini na umekaa/Umesimama utashindwa ku control uzito wa kichwa chako na kufanya kichwa kushindwa kuwa upright,....najua unaelewa nini namaanisha ila umeamua kujitoa akili,. hoja ya msingi hapo ni jinsi uzito wa object(kichwa) ukiwa upo macho misuli yako inaweza ku control uzito wa kichwa chako lakini ukiwa usingizini misuli yako itashindwa ku control kichwa chako na kufanya kieleemee chini (downward) kwenye so hapo kinachotokea sio kwamba kuna force inavuta kichwa chini,..bali ni uzito wake tu,.

Wasiwasi wangu ni kwamba utaelewa?
 
Hahahaaa Umeishiwa hoja😃😃, hapa tunajibizana Kwa hoja, ukikosa hoja kubali tu bwa mdogo Kwan shingapi??

Kuna maswali hapo juu umeshindwa kujibu unabwabwaja tuu😃😃😃
Nikikosa hoja ya nini? kwamba na mimi nikileta uthibitisho wa katuni ndiyo nitakua na hoja?

Ni bora Mtu useme sina uthibitisho kuliko kuleta vitu ambavyo havi make sense,. picha na video ulizoleta ni Memes na sio uthibitisho.
 
Kichwa hakianguki,..bali ukiwa usingizini na umekaa/Umesimama utashindwa ku control uzito wa kichwa chako na kufanya kichwa kushindwa kuwa upright,....
Sasa huko ndio kumove as a whole? Mbona hata wewe mwenyewe huelew unaandika nn,

hoja ya msingi hapo ni jinsi uzito wa object(kichwa) ukiwa upo macho misuli yako inaweza ku control uzito wa kichwa chako lakini ukiwa usingizini misuli yako itashindwa ku control kichwa chako na kufanya kieleemee chini (downward) kwenye so hapo kinachotokea sio kwamba kuna force inavuta kichwa chini,..bali ni uzito wake tu,.
Unarudi kulekule tu, ndo maana nikakwambia nipe mfano(mwingine) wa kitu kinachoweza kumove(as a whole) bila external force lakin umeshindwa.
 
Back
Top Bottom