hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Hilo Gari lipo closed juu au lipo wazi tu?....let's say Kwenye hilo Gari kuna Ndege wanaoweza kupaa, huoni kwamba kati ya vitu hivi vitatokea 1. Ndege wakiruka na Kuganda juu wataachwa na Gari, 2. Ndege wakiruka na kupaa kwenda uelekeo wowote ni either wataliacha/kuachwa na Gari.Sio hivyo!! Hata mawingu yanamove along na Dunia Japokuwa yanamovement yake yenyewe.
Mfano: imagine upo kwenye basi linalomove umekaa kwenye seat, maana yake hapo unamove pamoja na gari, lakin unaweza kutembea kuelekea utakako ukiwa kwenye gari.
Na sababu ya mawingu, ndege na vitu vingine kumove pamoja na Dunia ni gravity imevi-hold.
NB: Assume hilo Gari ndiyo Dunia.......