Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Acha kutuona vilaza kama ulivyo kilaza wewe,Siku hizi kuna teknolojia ya drones,.. kwanini isichukuliwe drone moja izunguke tufe zima tumalize utata?.........au kwa ukubwa wa Dunia hakuna Drone itakayoweza kufanya hivyo?
Mimi naona kwa makusudi umeamua uwe mpumbavu
Unauliza swala la drones wakati tumekutumia video kibao hata za Starship ya bwana Elon musk ambayo ilionyesha clear umbo la Dunia na ulikataa,
Nmewahi kukutumia video za rocket ya China ambayo ilichukua picha clear kabisa ya Dunia yetu bado ukaleta ujinga wako hapa, Sasa hizo Drone unazosema wewe kwanini usitumie wewe unasubiri watu unaowapinga ndio wakuonyeshe