Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Wewe kushindwa kujua kuhusu kitu ndiyo ujinga,
..ila kujiuliza swali kuhusu kitu husika haiwezi kuwa ujinga.
Ila utakuwa umeuliza swali la kijinga, utaona jinsi Gani ni ujinga endelea kujibu hayo maswali😎
Pia wewe kushindwa kujua muafaka wa kitu/jambo fulani haimaanishi kwamba muafaka wa hicho kitu haupo,..bali ni kwamba wewe hujui tu kuhusu muafaka wa kitu/jambo husika...
Ni ujinga kuuliza swali lisilo na mantiki, Wala muafaka. The questions goes to infinity, so itatatua nini?? Swali lisipikuwa na hatima maana yake hata majibu yote uliyojibu awali yatakuwa hayana maana yoyote!!
 
Ila utakuwa umeuliza swali la kijinga, utaona jinsi Gani ni ujinga endelea kujibu hayo maswali😎

Ni ujinga kuuliza swali lisilo na mantiki, Wala muafaka. The questions goes to infinity, so itatatua nini?? Swali lisipikuwa na hatima maana yake hata majibu yote uliyojibu awali yatakuwa hayana maana yoyote!!
sio kwamba swali halina hatima bali hujui hatma yake,... usiseme swali halina hatima,.

au sema sijui jibu sahihi la swali husika..sio kusema tu infinity? hakuna infinity it's just Hujui,. Basi!
 
Sasa ulichokijibu unaona kinaingia akilini?
Subiri kwanza😃😃😃, ulisema sijakujibu na wakat nilikujibu na ukaona kabisa majibu😃😃. Nadhani umegundua ww ni mtu wa namna Gani mpk Sasa!!!
Kwa mfano hii statement yako "Kitu kilichofungwa kwenye kamba na kuzungushwa. Jiwe linavutwa kuelekea katikati.........."
😎
Hoja husika ni kwamba ukivutwa lazima utahisi kuvutwa,...sasa ili statement yako iwe valid Hiyo sehemu ya "JIWE" assume ndiyo upo wewe je hautohisi kama unavutwa kuelekea katikati???????????
Kwani mfano wangu hujaelewa nn??
Nimekupa mifano mitano naomba uichambue yote, kutafta mfano mmoja na kuukosoa unamaanisha mifano mingine ipo Right, si ndio? Kama ndivyo, basi hakuna haja ya kuendelea Kwa maana ntakuwa nimekupa jibu ulilotaka
Unapenda kweli kujiingiza kwenye mitego migumu.
Siwez kujiingiza kwenye mitego, nipo hatua mbili mbele yako
 
sio kwamba swali halina hatima bali hujui hatma yake,... usiseme swali halina hatima,.

au sema sijui jibu sahihi la swali husika..sio kusema tu infinity? hakuna infinity it's just Hujui,. Basi!
Sasa kama hakuna infinity, endelea kujibu Hilo swali la baba ako na mbegu 😃😃😃
 
Hoja husika ni kwamba ukivutwa lazima utahisi kuvutwa,...sasa ili statement yako iwe valid Hiyo sehemu ya "JIWE" assume ndiyo upo wewe je hautohisi kama unavutwa kuelekea katikati???????????
Lkn ntakujibu!! Hautohisi ukivutwa!!!
 
Subiri kwanza😃😃😃, ulisema sijakujibu na wakat nilikujibu na ukaona kabisa majibu😃😃. Nadhani umegundua ww ni mtu wa namna Gani mpk Sasa!!!
Yes nilisema hujajibu nilichokuuliza,...

Kwani mfano wangu hujaelewa nn??
Nimekupa mifano mitano naomba uichambue yote, kutafta mfano mmoja na kuukosoa unamaanisha mifano mingine ipo Right, si ndio? Kama ndivyo, basi hakuna haja ya kuendelea Kwa maana ntakuwa nimekupa jibu ulilotaka

Siwez kujiingiza kwenye mitego, nipo hatua mbili mbele yako
Kuliko kuchambua mifano yote si bora nichukue sample kwenye mifano yako nionyeshe jinsi ulivyoenda wrong turn,...? hata hiyo mifano mingine sio valid nimeamua tu kufanya mambo yasiwe mengi.
 
Yes nilisema hujajibu nilichokuuliza,...
Kwahy umeona jinsi akili yako ilivyo??
Kuliko kuchambua mifano yote si bora nichukue sample kwenye mifano yako nionyeshe jinsi ulivyoenda wrong turn,...? hata hiyo mifano mingine sio valid nimeamua tu kufanya mambo yasiwe mengi.
Mambo yasiwe mengi?? Kwenye hoja ya msingi??? Kitendo Cha kuchambua hoja Moja, inamaana hoja nyingne zina maana chanya, kwahy hakuna haja tena.
 
Ukiulizwa kuhusu A,.ukijibu B

Utasema umejibu ulichoulizwa?
Sijui unaongelea nn?? Wewe umesema hujajibiwa!! Tena ukaniita MUONGO😃😃, kwahy mfano uliuliza A ukajibiwa(kama ulivyosema) utakuwa hujajibiwa?? Na utasema huyo mtu ni muongo??
 
Sample???? Yaani mifano zaidi ya miwili tofauti, unasema sample?? Unajua sample ww?
Kwahiyo nikichambua na hiyo mifano mingine utakubali kwamba ulichojibu na ulichoulizwa ni vitu viwili tofauti?

Kabla sijaanza kuchambua yote,..
 
Hapana!! Sitakubali Wala kukataa Moja Kwa moja. Bali Nitajibu!! Kama nilivyojibu kwenye huo mfano mmoja uliochambua
 
Unarudi kule kule kwenye maswali ya kijinga😃😃, Kwa sababu hakuna hisia hizo
Hahh sio swali la kijinga,..umeona umejiweka kwenye mtego umeamua ujitoe na akili kabisa.

In short ni kwamba,..kama your senses haziwezi kukuambia kwamba hapa unavutwa ama la,..basi una shida kubwa sana!
 
Nimekuuliza swali, kwann baba mwingine sio baba ako?? Naona hujajibu Kwa sabab ni maswali ya kijinga
 
Back
Top Bottom