The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Kwann haufahamuSifahamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann haufahamuSifahamu.
Sijakupangia ila wewe umebadirisha swali na kudanganya kuwa ni swali la density🤣🤣, wapi mm nimesema density??? Jibu swali ujuavyo mwenyewe ila usiseme kwenye swali langu nimemention kitu DENSITYKwahiyo unanipangia jinsi ya kujibu swali,..unataka nijibu unavyotaka wewe?
Mimi sikariri definition za Google,...Sasa great circle kwenye flat inatafta nini???😃😃.
Ngoja nikuelimishe!! Unapotaja Kila muda kuwa "mbona imetumika flat map" inamaana Kuna globe map?? Mara ya ngapi sasa nakwambia??
Map ni projection ya globe, na ndio maana Kuna aina mbali mbali za map(za mabara) ni projection tu😎, ni sawa na kusema unaikunjua Dunia duara ionekane in 2D huku ikionesha mabara yote.
Ntakupa mfano, imagine nyumba unayoishi au yoyote tu, nikitaka kuichora naweza kuichora Kwa namna mbali mbali, naweza kutumia 'front view', 'side view', au 'top view' lakini pia naweza kuiproject nikachora nyumba ikaonesha sehemu zote kuzunguka, kwenye mchoro mmoja(,projection).
Dunia naweza nikachora ramani yake Kwa namna nayotaka Mimi kulingana na nilivyoamua kuiproject, mfano naweza kuchora ramani ikaonesha bara la Africa liko mbali sana na bara la America (yaani bara la Africa liwe kulia mwishoni kabisa mwa ramani na Amerika liwe kushoto mwishoni kabisa mwa ramani).
Sasa ndio maana nakushangaa unaposema great circle kwenye flat😁😁
Kwamba sawa hujui lkn hata kugoogle umeshindwaa😁😁
View attachment 3198503
Sasa nambie ww hiyo great circle yako kwenye flat tu bila sphere umeitoa wapi??
Hata sielewi swali lako tuliza kichwa
sifahamu.Kwann haufahamu
Kwa sabab umekopi na huelewi ulichokopi, halafu huwa unasema eti mm natumia akili yangu na milango yangu ya fahamu 🤣🤣🤣kwanini,..
Unachekesha,... nilikuambia wazi kwamba uzito na density ya kitu ndiyo vina determine whether kitu kidondoke chini ama la,....Sijakupangia ila wewe umebadirisha swali na kudanganya kuwa ni swali la density🤣🤣, wapi mm nimesema density??? Jibu swali ujuavyo mwenyewe ila usiseme kwenye swali langu nimemention kitu DENSITY
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇Mimi sikariri definition za Google,...
Kwahy ww definition umetoa wapi kwenye ulimwengu huu wa teknolojia🤣🤣🤣Unaposema sijui Great circle route wala geometry unakua unachekesha,..kwenye Dunia hii ya Sayansi na teknolojia ukitaka kujua kuhusu kitu chochote ni sekunde tu labda iwe ni elimu ya siri haipo published.,..
Ulisema kuwa chenye uzito mkubwa ndio kitashuka chini na mdogo juu, au nimekosea hukusema hivyo??Unachekesha,... nilikuambia wazi kwamba uzito na density ya kitu ndiyo vina determine whether kitu kidondoke chini ama la,....
au ulitaka niseme gravity ndiyo inahusika,..ndiyo utafurahi?
Ningekua sielewi nisingekuwekea hapa,...ukiona nimekuwekea kitu that means kinaenda in alignment with what I believe is true,..kama hutaki hiyo ni shida yako.Kwa sabab umekopi na huelewi ulichokopi, halafu huwa unasema eti mm natumia akili yangu na milango yangu ya fahamu 🤣🤣🤣
Definition unaweza kuitoa popote pale,..lakini pia una uwezo wa kuichambua unavyotaka wewe unless uwe na wasiwasi na akili yako.🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇
Kwahy ww definition umetoa wapi kwenye ulimwengu huu wa teknolojia🤣🤣🤣
Yap nilisema hivyo cause at the moment tulikua tunajadili kuhusu uzito,..ulipoleta scenario inayohusu density nikakuelewesha,..ila cha ajabu hutaki density ihusishwe.Ulisema kuwa chenye uzito mkubwa ndio kitashuka chini na mdogo juu, au nimekosea hukusema hivyo??
Wewe umeitoa wapi?? Maana mwanzo umesema mambo ya teknolojia badae ukasema hutumii dfn za google 🤣🤣🤣Definition unaweza kuitoa popote pale,..lakini pia una uwezo wa kuichambua unavyotaka wewe unless uwe na wasiwasi na akili yako.
Sijasema situmii,..nimesema sikariri.Wewe umeitoa wapi?? Maana mwanzo umesema mambo ya teknolojia badae ukasema hutumii dfn za google 🤣🤣🤣
Vzr, Sasa according to hayo maelezo yako na umeyakubali, ilitakiwa shilling ielee si ndio??? Na kama ni ndio basi kiri kuwa hiyo statement haipo sawa. Kiungwana tu🤣Yap nilisema hivyo cause at the moment tulikua tunajadili kuhusu uzito,..
Wapi nimetaka density isihusishwe?? Mimi nachopinga ni hiyo kauli yako👆👆ulipoleta scenario inayohusu density nikakuelewesha,..ila cha ajabu hutaki density ihusishwe
😁😁 Hiyo banghii sasabasi tutoe density tuweke gravity,.nadhani ndiyo utakubali sasa.
Sawa, basi nipe dfn ya great circle na ulipoitoa halafu uichambue Sasa kuonesha kwamba ww haukariri bila kubadirisha maana ya dfn🤣🤣🤣Sijasema situmii,..nimesema sikariri.
Au hujui kusoma kaka?
hateeb10 🤣🤣🤣 Fanya hivyoo basiBasi nioneshe ulipojibu kwenye hayo maelezo yako Hilo swali, nioneshe tu usirudie kujibu 🤣🤣
Hahh sasa unapinga vipi kauli yangu wakati ipo sahihi? kama ulitaka majibu ya tofauti ungesema mapema tuhusishe na density.....mimi nilijibu kutokana na tulichokua tunajadili wakati husika.Vzr, Sasa according to hayo maelezo yako na umeyakubali, ilitakiwa shilling ielee si ndio??? Na kama ni ndio basi kiri kuwa hiyo statement haipo sawa. Kiungwana tu🤣
Wapi nimetaka density isihusishwe?? Mimi nachopinga ni hiyo kauli yako👆👆
😁😁 Hiyo banghii sasa
Sasa mbn umeshindwa kuonesha wapi ulipojibu swali langu, au wapi Kwenye maelezo yako mengi umetoa jibu la swali langu??Ningekua sielewi nisingekuwekea hapa,...ukiona nimekuwekea kitu that means kinaenda in alignment with what I believe is true,..kama hutaki hiyo ni shida yako.