Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kwahiyo unanipangia jinsi ya kujibu swali,..unataka nijibu unavyotaka wewe?
Sijakupangia ila wewe umebadirisha swali na kudanganya kuwa ni swali la density🤣🤣, wapi mm nimesema density??? Jibu swali ujuavyo mwenyewe ila usiseme kwenye swali langu nimemention kitu DENSITY
 
Sasa great circle kwenye flat inatafta nini???😃😃.

Ngoja nikuelimishe!! Unapotaja Kila muda kuwa "mbona imetumika flat map" inamaana Kuna globe map?? Mara ya ngapi sasa nakwambia??

Map ni projection ya globe, na ndio maana Kuna aina mbali mbali za map(za mabara) ni projection tu😎, ni sawa na kusema unaikunjua Dunia duara ionekane in 2D huku ikionesha mabara yote.

Ntakupa mfano, imagine nyumba unayoishi au yoyote tu, nikitaka kuichora naweza kuichora Kwa namna mbali mbali, naweza kutumia 'front view', 'side view', au 'top view' lakini pia naweza kuiproject nikachora nyumba ikaonesha sehemu zote kuzunguka, kwenye mchoro mmoja(,projection).

Dunia naweza nikachora ramani yake Kwa namna nayotaka Mimi kulingana na nilivyoamua kuiproject, mfano naweza kuchora ramani ikaonesha bara la Africa liko mbali sana na bara la America (yaani bara la Africa liwe kulia mwishoni kabisa mwa ramani na Amerika liwe kushoto mwishoni kabisa mwa ramani).

Sasa ndio maana nakushangaa unaposema great circle kwenye flat😁😁
Kwamba sawa hujui lkn hata kugoogle umeshindwaa😁😁
View attachment 3198503
Sasa nambie ww hiyo great circle yako kwenye flat tu bila sphere umeitoa wapi??

Hata sielewi swali lako tuliza kichwa
Mimi sikariri definition za Google,...
 
Sijakupangia ila wewe umebadirisha swali na kudanganya kuwa ni swali la density🤣🤣, wapi mm nimesema density??? Jibu swali ujuavyo mwenyewe ila usiseme kwenye swali langu nimemention kitu DENSITY
Unachekesha,... nilikuambia wazi kwamba uzito na density ya kitu ndiyo vina determine whether kitu kidondoke chini ama la,....

au ulitaka niseme gravity ndiyo inahusika,..ndiyo utafurahi?
 
Mimi sikariri definition za Google,...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇
Unaposema sijui Great circle route wala geometry unakua unachekesha,..kwenye Dunia hii ya Sayansi na teknolojia ukitaka kujua kuhusu kitu chochote ni sekunde tu labda iwe ni elimu ya siri haipo published.,..
Kwahy ww definition umetoa wapi kwenye ulimwengu huu wa teknolojia🤣🤣🤣
 
Kwa sabab umekopi na huelewi ulichokopi, halafu huwa unasema eti mm natumia akili yangu na milango yangu ya fahamu 🤣🤣🤣
Ningekua sielewi nisingekuwekea hapa,...ukiona nimekuwekea kitu that means kinaenda in alignment with what I believe is true,..kama hutaki hiyo ni shida yako.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇

Kwahy ww definition umetoa wapi kwenye ulimwengu huu wa teknolojia🤣🤣🤣
Definition unaweza kuitoa popote pale,..lakini pia una uwezo wa kuichambua unavyotaka wewe unless uwe na wasiwasi na akili yako.
 
Ulisema kuwa chenye uzito mkubwa ndio kitashuka chini na mdogo juu, au nimekosea hukusema hivyo??
Yap nilisema hivyo cause at the moment tulikua tunajadili kuhusu uzito,..ulipoleta scenario inayohusu density nikakuelewesha,..ila cha ajabu hutaki density ihusishwe.

basi tutoe density tuweke gravity,.nadhani ndiyo utakubali sasa.
 
Definition unaweza kuitoa popote pale,..lakini pia una uwezo wa kuichambua unavyotaka wewe unless uwe na wasiwasi na akili yako.
Wewe umeitoa wapi?? Maana mwanzo umesema mambo ya teknolojia badae ukasema hutumii dfn za google 🤣🤣🤣
 
Yap nilisema hivyo cause at the moment tulikua tunajadili kuhusu uzito,..
Vzr, Sasa according to hayo maelezo yako na umeyakubali, ilitakiwa shilling ielee si ndio??? Na kama ni ndio basi kiri kuwa hiyo statement haipo sawa. Kiungwana tu🤣
ulipoleta scenario inayohusu density nikakuelewesha,..ila cha ajabu hutaki density ihusishwe
Wapi nimetaka density isihusishwe?? Mimi nachopinga ni hiyo kauli yako👆👆
basi tutoe density tuweke gravity,.nadhani ndiyo utakubali sasa.
😁😁 Hiyo banghii sasa
 
hateeb10
Mbn hujibu swali langu, mara ya nne sasa hii nauliza🤣

Nambie jua linamove vipi katika Dunia yako flat🤣🤣. Maana umewakataa wenzako wa flat earth.
 
Vzr, Sasa according to hayo maelezo yako na umeyakubali, ilitakiwa shilling ielee si ndio??? Na kama ni ndio basi kiri kuwa hiyo statement haipo sawa. Kiungwana tu🤣

Wapi nimetaka density isihusishwe?? Mimi nachopinga ni hiyo kauli yako👆👆

😁😁 Hiyo banghii sasa
Hahh sasa unapinga vipi kauli yangu wakati ipo sahihi? kama ulitaka majibu ya tofauti ungesema mapema tuhusishe na density.....mimi nilijibu kutokana na tulichokua tunajadili wakati husika.

Na wewe unakumbuka kwamba hoja tuliyokua tunajadili ili base kwa kiasi kikubwa kwenye uzito,..then baadae ndiyo ukaleta scenario inayohusisha density,...

Labda niseme nimekosea kwa kukufurahisha tu,..ila kiuhalisia majibu yote yaliendana na mada husika.
 
Ningekua sielewi nisingekuwekea hapa,...ukiona nimekuwekea kitu that means kinaenda in alignment with what I believe is true,..kama hutaki hiyo ni shida yako.
Sasa mbn umeshindwa kuonesha wapi ulipojibu swali langu, au wapi Kwenye maelezo yako mengi umetoa jibu la swali langu??

Swali langu,: kwann meli huonekana top tu na sio yote
 
Back
Top Bottom