The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Sasa inatofaut Gani na Ile ya awali??Hiyo ni curved line..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa inatofaut Gani na Ile ya awali??Hiyo ni curved line..
Tuachane na Dunia, si ndo umesema hivyo? Au unataka nirudishe mfano wangu kwenye Dunia?Kwahiyo flat surface haitakiwi kuwa na mwinuko/mlima?............kwamba ukisikia watu wanasema Dunia ni flat maana yake hakuna mwinuko wowote kwenye Dunia?
So even if that path bend or curve, it will still be straight??Hapana hiyo sio universal meaning,...
"straight" can indeed be used as a reference to indicate direction or the relationship between a person's current location and their destination. In this context:
So can a curved line be straight line?Straight as a Directional Reference:
- It implies moving directly toward a destination without deviation, detour, or turning.
Inaweza pia kumaanisha uende bila kupita sehem nyingne ambayo haijakusudiwa ila Moja Kwa Moja mpk alipokwambia na haimaanishi uende umenyooka🤣🤣, hapo ni katika matumizi ya mtaani tu na FIGURATIVE LANGUAGE
- For example, if someone says, "Go straight to the park," it means to follow a direct path without turning left or right.
Uninterrupted line, so kupamda mlima sio interrupted line?Reference Between Two Points:
- The term "straight" assumes the most direct and uninterrupted line or path connecting the starting point (where the person stands) and the endpoint (destination).
- This use often includes visualizing or conceptualizing a straight line between the two locations, even if actual travel might require navigating around obstacles.
Without deviation!! Good,🤣🤣It implies moving directly toward a destination without deviation, detour, or turning.
Uninterrupted!! Good boy!! Mountain interrupts the line,The term "straight" assumes the most direct and uninterrupted line or path connecting the starting point (where the person stands) and the endpoint (destination).
hateeb10 eeeh???Weka alama hata Kwa highlighter Ili tuone🤣
Unaona sasa unakujaaaa!!!!! Kwann utumie reference????
Outward kuelekea upande upi? Kulia na kushoto? Au juu na chini? Au diagonally???
Siongelei ndani ya sphere hapa!!!
Ndio flat maana yake hakuna mwinuko, ndo maana ya flatKwahiyo flat surface haitakiwi kuwa na mwinuko/mlima?............kwamba ukisikia watu wanasema Dunia ni flat maana yake hakuna mwinuko wowote kwenye Dunia?
🤣🤣🤣🤣NB: Planes move horizontally over the flat-plane, and they were called AEROPLANE FOR A REASON!
Kwani wewe kinachofanya uone great circle route haiwezekani kwenye flat earth ni nini?Tuachane na Dunia, si ndo umesema hivyo? Au unataka nirudishe mfano wangu kwenye Dunia?
Aya, nielezee Sasa great circle route(njia fupi ya ndege) kwenye flat earth inavyowezekana?? Au unataka kunambia ndege inakwepa milima?🤣🤣🤣
Nishakuambia kwamba straight path ipo determined na Location + destination unayotaka kwenda,... ikiwa utaamua kufika destination husika kwa kutumia njia iliyoonyoka (straight) hata kama mbele utakutana na mwinuko au bonde still tutasema umepita "STRAIGHT PATH"So even if that path bend or curve, it will still be straight??
So can a curved line be straight line?
Dunia tunasema ni flat kwasababu largest part of it ipo hivyo,..milima, miinuko na mabonde ipo kwa sehemu chache.
Umeamua kudanganya sasa?,.... Neno "Plane" halitokani na Kigiriki bali asili yake ni Lugha ya Kilatini,...🤣🤣🤣🤣
The word "aeroplane" is primarily used in British English.
* Origin: It comes from the French word "aéroplane," which itself is derived from the Greek words "aer" (air) and "planos" (wandering).
Kama maelezo umeshindwa kuelewa, hata nikikuwekea alama haitokusaidia,...utaendelea kubisha tu,......nishakuambia kwamba from the reference point of view mkunjo utauona pande mbili ambazo utazijua kwa kuangalia jinsi zilivyo bend outward kwenye tufe.Weka alama hata Kwa highlighter Ili tuone🤣
Unaona sasa unakujaaaa!!!!! Kwann utumie reference????
Outward kuelekea upande upi? Kulia na kushoto? Au juu na chini? Au diagonally???
Siongelei ndani ya sphere hapa!!!
Basi nambie inawezekana vipi?🤣🤣 Na unajua maana ya great circle?? Yaani duara kuu.Kwani wewe kinachofanya uone great circle route haiwezekani kwenye flat earth ni nini?
🤣🤣🤣🤣🤣Kama umeshindwa kuweka uthibitisho wa picha na video inayothibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka.,.. ndiyo unategemea hiyo route itatosha kuwa uthibitisho?
Hiyo path itakuwa haijanyooka sasa, itakuwa imebend Kwa juu, ni nini huelewi??Nishakuambia kwamba straight path ipo determined na Location + destination unayotaka kwenda,... ikiwa utaamua kufika destination husika kwa kutumia njia iliyoonyoka (straight) hata kama mbele utakutana na mwinuko au bonde still tutasema umepita "STRAIGHT PATH"
Sio uwepo wa obstacle Bali ni hiyo path kupinda ndio maana nasema haitakuwa straight tena. Au wewe unakata line hiyo haipindi??Wewe kinachokuchanganya ni uwepo wa obstacle kwenye hiyo straight path,... lakini ili uelewe kwa urahisi assume the same path yenye obstacle upite kwa kutumia Ndege instead of land transport, Je still utasema sio straight path???
Enhee ukitumia ndege maana yake hiyo path itakuwa imenyooka, bila kupinda either kushoto/kulia au juu/chini.lakini ili uelewe kwa urahisi assume the same path yenye obstacle upite kwa kutumia Ndege instead of land transport, Je still utasema sio straight path???
Ni makosa lakini!! Sio issue pia nachotaka sasa unambie great circle route kwenye ndege maana ndege sio kwamba huwa zinakwepa milima angani,Dunia tunasema ni flat kwasababu largest part of it ipo hivyo,..milima, miinuko na mabonde ipo kwa sehemu chache.
Duuh!! Neno " plane" yes!! Lakin neno aeroplane linatokana na kigiriki yaani aer maana yake air na planos maana yake wandering, ambapo kiujumla inamaanisha wandering in air.Umeamua kudanganya sasa?,.... Neno "Plane" halitokani na Kigiriki bali asili yake ni Lugha ya Kilatini,...
The word "plane" is indeed derived from the Latin word "planus," which means flat or level. This origin is reflected in the various meanings of "plane," particularly those related to flat surfaces or levels.
Hapo unadadavua neno planus, na sio origin ya neno aeroplane!!!Etymology Breakdown:
- Latin "Planus":
- Meaning: Flat, level, even.
- It is the root for several English words, such as:
- Plane (flat surface or level).
- Plain (flat land or clear/simple)
Still unafanya the same!!2. Mathematics and Geometry:
A plane is a flat, two-dimensional surface that extends infinitely in all directions. It has no thickness and is defined by three non-collinear points or a line and a point not on the line.
NB: Elewa sana hapo "extends infinitely in all directions..."
Sio kubisha, Sasa ww ntakuelewaje Kwa kusema tu hivi na hiviKama maelezo umeshindwa kuelewa, hata nikikuwekea alama haitokusaidia,...utaendelea kubisha tu,...
Kwann utumie reference point of view?? Maana yake hapo Kuna reference point of view zaidi ya Moja, na ndio maana nakwambia Mpira au sphere Haina mikunjo miwili,...nishakuambia kwamba from the reference point of view mkunjo utauona pande mbili ambazo utazijua kwa kuangalia jinsi zilivyo bend outward kwenye tufe.
Wewe akili yako ndogo sana!! Na ndio maana nimekuomba utumie highlighter na ipo kwenye simu yako umeogopa,NB: Sasa kama hujui jinsi mkunjo unavyokua kwenye tufe,..the audacity to discuss about it unaitolea wapi?