Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Bado Serikali ya Mama IPO, hiyo ndiyo ingeweza kunisababisha na mimi nikaufyata. MTU wa aina hii anatakiwa atoe tu ruhusa kuwa , HELA HII HAPA HALAFU ATAKAYEICHUKUA ATAONA. HELA hiyo naiichukua halafu pamoja na kumpa KOFI LA NYONGEZA Ili kumhamasisha asije akaenda akasahau kufanya kazi yake. WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA!Mwee mwee acha mambo yako kwahiyo usingeogopa maana watu waliufyata nakubaki kucheka tena around milion au inakaribia anarudi kula bata.