Siri na fumbo la kifo (Dini & Sayansi) tukishakufa tunakwenda wapi?

Waislam someni huu uzi kimbelembele chenu cha kuzika mapema mnazika watu walio hai wengi sana. Na sio ajabu wanafufuka tena wakiwa kaburini halafu hufa kwa hofu na kukosa oxjeni siajabu hupiga kelele sana mpaka wanakata roho.
hapana aisee ule mshikemshike anaopitia maiti ya kiislam kabla ya kuzikwa ,kama angekua hajafa angeamka tu
 
umepata wapi hizi taarifa mkuu
 
[emoji108]
 
Maswali kama haya ndio hudhihirisha Imani za watu, wa subhanallah watu wanaimani za ajabu!!

Alhamdulillah Imani yangu ni thabiti katika haya mambo, wala hakuna mashaka ndani yake.

Ni kama kufuata njia iliyonyooka.

"Je! Anaye kwenda akisinukia juu ya uso wake ni mwongofu zaidi, au yule anaye kwenda sawasawa katika Njia Iliyo Nyooka?"( Al-mulk:22)Quran.
 
Waislam someni huu uzi kimbelembele chenu cha kuzika mapema mnazika watu walio hai wengi sana. Na sio ajabu wanafufuka tena wakiwa kaburini halafu hufa kwa hofu na kukosa oxjeni siajabu hupiga kelele sana mpaka wanakata roho.
Mkuu binadamu akishafikia kweny stage ya kufa hakuna njia nyingne yakumrudisha Dunia labda mtoe baadhi ya organ kweny mwili wake Kwa ajili ya matumizi Kwa wengine mfano figo, wew unazan kwanin wazungu wanakuja na project ya kuaamisha intelligence na sio kufufua watu
 
Sasa hyo sayansi inayogunduliwa inatoka wapi Kama sio kwa Mungu?
Mungu ni mwanasayansi ndio.
Maana sayansi yote yeye ndo chanzo haujui?
ume

andika utopolo wapi mungu kasema yeye ni mwana sayansi huoni kama umeshusha hadhi
 
Sasa hyo sayansi inayogunduliwa inatoka wapi Kama sio kwa Mungu?
Mungu ni mwanasayansi ndio.
Maana sayansi yote yeye ndo chanzo haujui?
mungu ni zaidi ya mwana sayansi ,so usimshushe hadhi kumuita mwana sayansi ,hapo ni sawa kusema mungu ni dereva kisa madereva wanamuomba mungu.halafu ni mwanasayansi gani kasema katoa sayansi yake kwa mungu?
 
Kama yeye ndo chanzo Cha sayansi kwanini tusimuite ni mwanasayansi?
mungu ni zaidi ya mwana sayansi ,so usimshushe hadhi kumuita mwana sayansi ,hapo ni sawa kusema mungu ni dereva kisa madereva wanamuomba mungu.halafu ni mwanasayansi gani kasema katoa sayansi yake kwa mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…