Idadi ya roho haiongezeki wala kupungua.
Ila idadi ya watu ikipungua huku, inaongezeka kule.
Roho za watu waliokufa huwa zina hama na kwenda mbali kutafuta mwili mwingine.
Ila baadhi huwa zinabaki sehemu moja na kutafuta mwili mwingine hapao hapo.
Mda huu kuna roho za watu waliofia TZ zipo njiani kuelekea USA, UK CHINA, FRANCE, at the same time kuna roho za watu waliofia UK, USA, CANADA, zipo njiani kuelekea DRC, SUDAN, HAITI, MALAWI.
Idadi ya watu itapungua huku na kuongezeka kule.
Ila kuna roho huwa zina baki kizimu, hazina mpango wa kurudi kuwa binadamu kwa muda huo.
Hiyo itapelekea kuongezeka na kupungua kwa idadi ya watu duniani.
Idadi ya watu duniani itapaa kwa kasi endapo roho zitaamua kurudi dunia kwa kasi.
Mimi nikifa, nitaenda kizaliwa RUSSIA.