Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,236
- 10,774
Vita vya paka mweusi na jogoo mweusi vinapata watazamaji chini ya milioni moja, pambano la paka mweusi na jogoo mweupe hupaa hadi watazamaji milioni tano. Hata hivyo, pambano la paka mweupe na jogoo mweupe hufikia watazamaji milioni 20, lakini ajabu kuu ni vita kati ya paka mweupe na jogoo mweusi – vinavyoangaliwa zaidi ya mara milioni 100!
Je, siri iko wapi? Hapa ndipo kanuni ya ajabu ya “rangi na maana” inapojitokeza. Watazamaji wengi hawatambui, lakini akili ya binadamu huvutiwa zaidi na mgongano wa tofauti – kisaikolojia tunapenda “tofauti zinazoonekana.” Rangi nyeusi humaanisha nguvu, hofu na usiri, ilhali nyeupe huwakilisha usafi, matumaini na ushindi. Hivyo, vita kati ya paka mweupe (usafi) na jogoo mweusi (nguvu).
Wale wanaoelewa CODE hii ya “rangi na utata wa akili” wanajua kuwa picha hii siyo tu picha — ni code kwa waliosoma CUBA wameshaelewa.