Siri Nyumba ya Diamond South Africa

Wewe bana si kila mtu humu mtoto kama wewe, Ni channel gani leo imemzungumzia Zari as yeye ndiye main character??

Tv zote za kibongo hakuna hata moja iliyomzungumzia zari zaidi ya Wasafi tv tena kwenye refresh, Tv nyingina Radio kibao hazizungumzi habari za mondi kwa misingi ya kibiashara.

Hizi hapa station zilizozungumzia hiyo issue TBC FM, KISS FM, UHURU FM, KINGS FM, TIMES FM, CAPITAL RADIO, RADIO FREE, U FM, WASAFI FM, na RADIO ONE.

Kwenye Tv hakuna sasa sema ni Tv gani iliyokuwa ikimzumgumzia Zari.

Ngoja nikupe za kenya zilizomzungumzia mondi na ngoma yake upasuke K24, KTN, CITIZEN TV na mzazi willy, NTV hawa ni wauwaji wa kenyan music bila kusahau KTN BURUDANI,

UG SASA cheee ni shida Urban tv na NBS wamesema sana
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bado siamini kama kuna watu walikua wananunua zile chupi za vitenge

Vile sijui vilinunuliwa na nan[emoji23] nakumbuka aliuza sana nguo kipindi kile pale karibu na chuo cha ifm akaenda kumalizia Arusha.
 

Hana pa kukaa kabla ya pale alikua anakaa kwenu?
 
Zari hajanunuliwa nyumba.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]waso na pa kukaa wote wanakaa kwetu?

Muulize King ndo anajua!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!
Hana pa kukaa kabla ya pale alikua anakaa kwenu?
 
kikubwa tulichokijua leo ni kuwa Zari ni mdangaji na sio boss ledi kama tulivyoaminishwa!yani anagawa kama pipi adi kwa trainer 😀!mambo ya nyumba watajuana wenyewe
Akigawa si yake? Nani hagawi tena kwa wanuka mikojo? Jamaa kaumia baada ya ile love message to KingBae.Mnaachana 3years ago. Leo waja mchafulia mwenzio Social Media. Tanasha rich, 24yrs hamfikishi?Mtandale wa kwa Tumbo Village boy. Ndio kisa aliitwa Pizza.
 
Alafu we warumi inaelekea huna bwana wewe ni Tom boy au una sura mbovu sana.

Kuna nyuzi unajifanya mwanaume huku mdada tukueleweje au mwenzetu mdebwedo wa kufyolea tu unakuja?
 
Village boy kampa jumba la mamilioni ya fedha aishi hivi zile pesa tu za kununua ule mjengo toka uzaliwe kwa matumizi ya kila siku umezifikisha tuwe serious kidogo?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]waso na pa kukaa wote wanakaa kwetu?

Muulize King ndo anajua!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!

[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Ila hii vita naona kama Chibu ataishinda kwa muda mfupi kinachofuata huko mbeleni ni kipigo tu... Zari sio Hamisa
Lile ni jini sio mtu, we mwanamke ana miaka 53 ila anaonekana kama binti wa miaka 20, Diamond atajuta!
 
Mi kama mwanaume sijali cha nyumba wala nini

Ili mradi kaninyonyeshea Watoto wangu huku ni ki mgonga kwa zote
Changanya mguu ule powaa tuu

Maana si kirahisi Ku m https://jamii.app/JFUserGuide dem kama zari afu akakutolea makinda wawili

Big up Domo wakomeshe tuu hata dem mwenye mdomo na hii post akikaa vibaya we mtungueee

Sisi Kazi yetu ni kuhesabu.Na tia mimba azae.
 
Pale wanawake wazima wanaposhabikia mama kama Zari eti ana kijana mzuri kushinda Dai!!!!!! Hivi mnapa bichwa kuendelea kuhangaika ktk umri huooo badala hata atulie atunze heshima yake ilobaki ndogo kama kizibo cha soda. Eti king bae hahaaaaaa hakupaswa kubishana na mondi au kutupia kila kitu jamani. Kwa hilo nawashangaa sana nyie wanawake wa Zarina Zarina
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji11][emoji11]umeona eehh!yaani wao sidhani kama wanafanya huu ujinga wa boss wao!!

Maana ni ujinga kwangu Mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…