Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,609
Wewe bana si kila mtu humu mtoto kama wewe, Ni channel gani leo imemzungumzia Zari as yeye ndiye main character??Ungejua channels kubwa zinampa kiki Zari leona hata hawaongelei nyimbo yake.. kachemka.. mshauriapate washauri wazuri.. wenye akili wamemuona ni muongo.. wamemuongelea Kingbae 😀. Amuache tu Zari akae mbali aache kuonyesha bado anampenda.
SA harusi yaja... wote mnaisubiria kwa hamu.. fans wa Zari in denial.. mnajua nguvu yake ya kuongelewa kiki kaipata Zari.. angemtumia tu Tanasha wake kwa kumuongelea jana.
Tv zote za kibongo hakuna hata moja iliyomzungumzia zari zaidi ya Wasafi tv tena kwenye refresh, Tv nyingina Radio kibao hazizungumzi habari za mondi kwa misingi ya kibiashara.
Hizi hapa station zilizozungumzia hiyo issue TBC FM, KISS FM, UHURU FM, KINGS FM, TIMES FM, CAPITAL RADIO, RADIO FREE, U FM, WASAFI FM, na RADIO ONE.
Kwenye Tv hakuna sasa sema ni Tv gani iliyokuwa ikimzumgumzia Zari.
Ngoja nikupe za kenya zilizomzungumzia mondi na ngoma yake upasuke K24, KTN, CITIZEN TV na mzazi willy, NTV hawa ni wauwaji wa kenyan music bila kusahau KTN BURUDANI,
UG SASA cheee ni shida Urban tv na NBS wamesema sana