Siri Nyumba ya Diamond South Africa

Siri Nyumba ya Diamond South Africa

Uzuri zari hua anaweka matukio yake wazi. Hiyo miaka yupo na Ivan na wana mtoto mmoja, Ivan alikua kapauka zari anawaka.
Enzi hizo wote wamechalala. Kama uCEO wa hizo college alikua nao tangu marehemu Ivan yupo hai. Maisha yake ndivyo yako hivyo siku zote. Hata asisingiziwe urithi

Ebu waambie walioanza kumjua zari juzi ***** , wenyewe wanakumbilia kuzaa bila kutumia akili wanaambulia rented house and old Toyota , zari is a mafia , she doesn't go leba for nothing
 
Mtandale hapa asilalame maana kapigwa hela ya chips mayai tu sema endelevu. Eti nimegoma sipeleki hela ya matumizi,asubiri sammans tu na kulipa kwa mkupuo. Mpk wale watoto wako 18 sijui atakua anaimba nini na kisheria Zari anachukua chake kila mwezi,nafwa mama nangai.
Eti mwanasheria wangu,hao malowyar wasomi wa kubip watashindana na ma lawyer wa South,kwanza lugha tu itabidi lifunguliwe darasa pale.
we tulia dogo hapo umeingia choo cha kiume na kike sikilizia sindano tu.

Ma lawyer wa Tz Vs Ma lawyer wa SA , ngachoka mie mbavu zangu , Tena asithubutu, maana ataambulia kijiko tu na Jina lake , pale kaingia choo cha kike, ye alijua zari anazaa tu kijinga jinga🤣,?Domo ataisoma namba mwaka huu
 
Ebu waambie walioanza kumjua zari juzi ***** , wenyewe wanakumbilia kuzaa bila kutumia akili wanaambulia rented house and old Toyota , zari is a mafia , she doesn't go leba for nothing
Zari anakwambia "Success isn't Sexually Transmitted". Mtu hafanyi kaz anabaki akisema zari anadanga kimataifa. Danga na wewe kama rahis anza kitaifa halafu uende kimataifa[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mwanaume aliyekamilika hawezi mkomoa mwanamke aliyemzalia WATOTO hata kama huyo mwanamke atamtukana matusi ya kupenya mpaka kwenye DAMU..1st born katoka kwa zari 2nd born Zari ..Daimond akimpokonya ile nyumba atakua DHAIFU kuliko lile neno la ASSAD alilolimaanisha kwa bunge.
 
Niliwai kuongea hili zamani km huyu dogo atapigwa pesa ndefu tu na kubwagwa.
That bitch,toka alipochomoka kipindi Ivan yuko hoi kaenda benet i jino kwa jino akacheza makaratee akalamba urithi wote.
Nikaona mtandale hapa akae sawa.

Kamzalia watoto kwanini asinunuliwe nyumba? Au Ulitaka watoto wa Dee warithi tu mali alizochuma na marehemu!! Yaani angekuwa anafikia kwenye nyumba za Zari na Ivan!! Pia aendelee nae huku analala na wanawake wengine.. hujui kuna magonjwa na mikosi maishani!! Acha wivu.. harusi yake wiki hii.
 
Tatizo kile kiingereza anachoongea Zari kinawachanganya wabongo
Yaani watanzania ndo tulivyo,mbongo hata akiwa sehemu akutane tu na Mmalawi utasikia,hey,siyo mbongo ni Mmalawi,basi ndo atampandisha utadhani bongo hakuna watu
 
Asante kwa uchambuzi,ilaKingereza chako ni kibovu,unatumia noun na pronoun pamoja..duu,mfano :Zari she...what is that?
 
Hapa naona mashabiki kindaki ndaki wanachuana[emoji23]
 
Hakuna kitu sikipendi kama mtu anandika anachanganya kingereza na kiswahili
Kama umeamua kiswahili kiswahili kingereza kingereza..
mi huwa inanikera zaidi pale unapokuta lugha zote anazotumia zinampiga ugoko
 
kikubwa tulichokijua leo ni kuwa Zari ni mdangaji na sio boss ledi kama tulivyoaminishwa!yani anagawa kama pipi adi kwa trainer [emoji3]!mambo ya nyumba watajuana wenyewe
unaweza kuta alimgaia hadi KIFESI bwahahahah
 
Kamzalia watoto kwanini asinunuliwe nyumba? Au Ulitaka watoto wa Dee warithi tu mali alizochuma na marehemu!! Yaani angekuwa anafikia kwenye nyumba za Zari na Ivan!! Pia aendelee nae huku analala na wanawake wengine.. hujui kuna magonjwa na mikosi maishani!! Acha wivu.. harusi yake wiki hii.
No hujanielewa,Ni sawa kabisa Zari kuchukua chake mapema.
Kwa majigambo yale ya mtandale hakujua km hii nyumba haitamuhusu kabisaa huko mbeleni.
 
Kwa jinsi Zari tunavyomjua kwa kauli hiyo ya dai lazima angejibu with evidence,so km hajajibu mpk sasa daimond ndie mshindi ,docs zipo kwa bi Sandra,Tandale hatoki boy remember[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
angekuwa na documents vile anapenda kujionyesha aisee tungekuwa wote tushasambaziwa kopi ila hana 'POP' inafanya kazi
 
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]leo mmeumbuliwa minions....mbona kulala na trainer!!!

Hamisa kaingiaje sasaa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unaumwa na Hamisa kuliko maisha yako binamu!!!!muache Hamisa watu bwana hana time na mtu

Zari ana hela,tajiri Sijui nini....aonyeshe nyumba yake sasa....!!!tuone

Pyeerreeeee....minions poleni

kumbe wewe ni demu??
 
Ile nyumba ya Diamond . Zali angepata wapi hela ya kununulia nyumba. Nyumba ni ya diamond Ila kwasababu wanaishi watoto wake atafanya nini . Hana la kufanya .

unafungua lini shule? darasa la saba mjiandae na mitihani sasa khaaa!
 
Zari bosslday? Hebu nitajieni biashara 3 za Zari mnazozijua?

Yule ni mdangaji tu. Ila ni international level. Super classic malaya.

Ilikuwaje diamond akaoa malaya na kuzaa naye watoto wawili?
 
Back
Top Bottom