Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

Mkuu usipoteze ATP zako kwa hao mapopoma
 
Nilishangaa sana CAG alivyoenda Marekani na kuanza kuzungumzia home affairs. Lengo lake haswa lilikuwa nini? Kwa nini hakuyasema hayo akiwa ndani?

Huko ni kuwa mbumbumbu katika kichwa chako; kwani kuna tofauti gani akisemea ndani ya nchi na nje ya nchi? Akisemea ndani ya nchi taarifa haziwafikii walio nje ya nchi? Hayo mnayosema alikashifu nchi akiwa UNO ni mambo ya msingi ambayo Jiwe angezingatia yangemsaidia kujenga nchi yenye kuwa na maendeleo ya muda mrefu!!!

Huwezi kuleta sustainable development kama huna taasisi zenye nguvu na imara. JIWE ajue kuwa bila kuwa na taasisi imara hiyo miradi yake mikubwa itatekelezeka iwapo tu yeye atakuwepo otherwise bila uwepo wake na kutokuwa na strong institutions hii miradi itawekwa kando kama yeye alivyoiweka kando miradi ya mtangulizi wake [ Bagamoyo Port]!!! To leave a legacy you have to build strong INSTITUTIONS!!!!!
 
Masikini..🥺🥺🥺
 
Zwazwa hovyo
 
Hizo porojo tu
 
Mkuu, chema chajiuza na kibaya hujitembeza. Prof. Assad amehudumu ktk nafasi pasipokuwa na chembe ya mashaka juu ya uadilifu na weledi wake. Natambua chuki yote dhidi yake ni pale alipokataa kuuficha udhaifu na ubadhirifu uliokuwepo ktk hesabu za serikali.

Ni kwa mara ya kwanza ktk historia ya uongozi wa nchi yetu, tumeshuhudia vitu kwa makusudi kabisa vikihamishiwa ktk "Vote 20" ktk kutafuta kuuficha uchi wa kuku uliokuwa unakabiliwa na hofu ya kuanikwa hadharani na upepo mkali.

Tuache kujificha ktk sababu zenye kubabaisha, chuki dhidi yake ilikuwa ni kwa sababu ya ucha Mungu wake, imani ya dini yake ya Kislamu, umahiri wake, ukweli wake na kujitenga na makundi yenye kufanya hila na ubadhirifu wa rasilimali za taifa.
 
Naona tayari yuko Kenya na mzee mwenzake wa Woolworth, huyu mzee bana, si atulie tu aendelee na shughuli zake.
 
Wehu au?? Hebu tutokee hapa!!
 
Unatumika kama mpira,subiri wamalizie kazi kama watakujua tena!
 
Akili za kushikiwa hizi,hapo babake aliuza ng'ombe ili apeleke ng'ombe mwingine shuleni
 
Tiririka mkuu
 
mimi sikusoma ujinga wako kama uko karibu niambie umeandika nini?
 
makuu.....CAG ndo kaweka wazii kuhusu 1.5tr
 
Mtoa mada, sio lazima kila mtu ajue wewe ni mpumbavu kiasi gani.
 
yaani prof. akagezee hoja huu ni upumbavu ambao kila mtu anakushangaa au ni kujimwambafai
 
Shida kubwa waliyonayo ccm ni kwamba hawapendi kuambiwa ukweli kuwa wao ni wezi wakubwa waliolifitini taifa hili kwa mihongo kadhaa
To be honest,Kuna wakati nikiwaza tulivyojazwa upepo kuhusu gesi nabaki na aahhhaaa,ukoo wa majizi kamwe haufutiki
 
Unaonekana kama ulilazimishwa kuandika ama uliandika kwasababu utalipwa baada ya kuweka hili bandiko. Kiufupi umeweka kitu famba mnooo
 
Uko sahihi 100%, huyu CAG alikuwa anajimwambafai sana. Alikuwa anaona km yeye ni msomi kuliko watanzania wote, mwadilifu kuliko watanzania wote!!

Amejitakia mwenyewe kutumbuliwa, nini kilimfanya ahoji lisiti ya manunuzi ya ndege na lisiti za 2.5 T.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…