Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Chakaza,
Inatia sana huruma kumuona mtu anakuja na shutuma dhidi ya kiongozi aliyepita ambae alikuwa akifanya kazi kubwa ya kutazama serikali...yaani ni bora CAG akute ufisadi halmashauri ila kama kuna makosa serikali kuu basi atulie...muda mwingine unashindwa kuelewa huyu anaandika ni mtanzania kweli ,kama n mtanzania anaishi wapi ?
Mtu anajikunja kuandika vitu vya hovyo kisa tu anatetea maslahi ya Rais...madudu CAG aliyoyaibua yalifanya baadhi ya WAKURUGENZ wa Halmashauri kuondolewa na mtu huyo huyo ambae n mkali kwa watumishi wafujaji fedha Ila akiguswa yeye anajiona Mungu mtu kwamba hajawai kukosea.....Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu..