Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

Muache atumike nadhani yeye atakuwa siyo msemaji Tena lakini zama zake zimeisha leo
Hata zama za Naibu Rais Daud Bashite na mtukufu ipo siku zitafika ingawa juzi Moshi wa Ruangwa uliwapa fundisho mpaka kuita madaktari toka North korea kuja kumpima afya yake
 
Izo 1.5 T zimebaki propaganda mitandaoni lakini pale Bungeni walishindwa kuthibitisha, Zitto alitaka kujaribu kutumia ripoti ya CAG kumchafua JPM lakini alishindwa vibaya pale Bungeni. JPM yuko vizuri na mzarendo Halisi kutokea katika familia za kawaida kabisa.

Ni hivi, hizo 1.5t sio jambo la kubahatisha bali habari ndio hiyo. Nani angethubutu kudhibitisha apigwe risasi kama Lissu?
 
Nilishangaa sana CAG alivyoenda Marekani na kuanza kuzungumzia home affairs. Lengo lake haswa lilikuwa nini? Kwa nini hakuyasema hayo akiwa ndani?

Ameshayasema sana hapa ndani, ni hatua gani zimechukuliwa? Jiwe na genge lake ni wapiganaji hivyo hawawezi kushirikiana na mtu muadilifu.
 
Ameshayasema sana hapa ndani, ni hatua gani zimechukuliwa? Jiwe na genge lake ni wapiganaji hivyo hawawezi kushirikiana na mtu muadilifu.
Naunga mkono hoja yako kwa 100% CCM ni le ile ukoo wa panya
 
Izo 1.5 T zimebaki propaganda mitandaoni lakini pale Bungeni walishindwa kuthibitisha, Zitto alitaka kujaribu kutumia ripoti ya CAG kumchafua JPM lakini alishindwa vibaya pale Bungeni. JPM yuko vizuri na mzarendo Halisi kutokea katika familia za kawaida kabisa.
Kama ni MZARENDO, basi sawa.
 
Chakaza

Muda mwingine Broo...inatia huruma sasa ,mtu jana alikuwa ofisini akifanya kazi kwa weledi Leo ametoka anaanza kushambululiwa,bila kujua nafasi ya huyo mtu alivyofanya kazi kwa uaminifu na kazi yenyewe ilivyo ngumu na sensitive kwa Taifa ,bila shaka kashfa alizoibua CAG ingekuwa nchi nyingine kama Africa kusini Rais leo asingekuwa MADARAKANI...Tungeacha vyama vyetu pembeni awamu hii ya tano ndio ilikuwa mhimu sana kuunganisha watanzania pamoja...
 
Mkuu weee tuambie tu iko wapi T2.4? naona unataka kusema kitu hapa ila unamunga munga maneno.
 
Wezi nyie,mumekula 2.4T,hata mukimfukuza tumeshajua tumepigwa,uzalendo wenu ni wa kuwapumbaz wenyenchi WANANCHI.
 
Kwanini usijiulize kwanini watu wengi wanampongeza Pro. Assad au kwanini watu wengi waamini yasemwayo na Zitto Kabwe zaidi ya Magufuli? Kwanini usijiulize eeh? Zitto hana serikali na hawezi kuwateua kwenye nyadhifa zozote lakini wanamkubali; WHY? Can't you ask yourself man?
 
Back
Top Bottom