minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Agenda ya ufisadi Tz haipo tena? Huyu ex sieji kafichua mambo mengi tu,aaah hii Tz ni ileile tu ila kila awamu inawanufaika wake
kazi ya upinzani ni nini? Tambua kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kuanzia vitu vidogo kiki matukio makubwa madogo, mapungufu yote hawatakiwi kuacha kitu, usiwapangie cha kukosoa ajenda za ufisadi zipo ndiyo maana wanahoji ununuzi wa Ndege kwa cash kifisadi, Tilion 1.5, ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, 10% kwenye madini na miradi yote mikubwa.