Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

Assad alikuwa mhuni Tu, Hana lolote, alikuwa msaada mkubwa Kwa wahuni wa mjini, ndo mana wanamtetea Sana.... Hata wanaomtetea humu wengi akli zao zina funza kichwan, ningemshangaa Sana Jiwe kama angempa kandarasi nyingine
Elimu Elimu Elimu
 
Assad alikuwa mhuni Tu, Hana lolote, alikuwa msaada mkubwa Kwa wahuni wa mjini, ndo mana wanamtetea Sana.... Hata wanaomtetea humu wengi akli zao zina funza kichwan, ningemshangaa Sana Jiwe kama angempa kandarasi nyingine

Jamani nawasihi tuwe tunaweka akiba ya maneno!

Tumuogope Sana Mwenyezi Mungu mwenye kutuumba na kushikilia hatima zetu wanadamu!

Msitake kumjeruhi nafsi yake Professor!

Yatosha yaliyotokea!

Nawasihi tumuogope sana Mungu!

Mungu ndiye Mwamuzi (Allah Wakil)!
 
Yaani kuna watu hovyo sana..ukisema jambo la kweli unaonekana mpinzani....
Ukikosoa unaonekana mpinzani...
Sio kila anaekosoa ni mpinzani.
Kuna watu wanamuogopa Mungu kweli.,hawahitaji sifa za kibinadamu...

Pia kwa kuwa Mungu hasemi hadharani tuendelee................................
 
Papaa Muu

Nani asiyefahamu hayo yako yote unayafahamu wewe mwenyewe na waliokutuma acha kuleta porojo za Kijinga jinga hapa Tambua kuwa watanzania wanajua ukweli wote hizo propaganda zako baki nazo huko huko na waliokutuma, kumbuka magufuli mwenyewe alisema watanzania siyo wajinga anajua watanzania wanajua sinema zote za CCM ingawa wameamua kuvumilia tu.
 
Kwa hiyo u
Izo 1.5 T zimebaki propaganda mitandaoni lakini pale Bungeni walishindwa kuthibitisha, Zitto alitaka kujaribu kutumia ripoti ya CAG kumchafua JPM lakini alishindwa vibaya pale Bungeni. JPM yuko vizuri na mzarendo Halisi kutokea katika familia za kawaida kabisa.
Kwa hiyo unamaanish zimepgwa kwel na mpk bunge likazima ili asitokee wa kuziibua alafu unamalizia kwa kusema maguful n mzalendo wa kwel,kama aliweza wazma mdomo ili msijadili hizo hela huo uzalendo unatoka wap?au cku iz neno uzalendo lina maana tofaut na tunavyolijua.....kwl vjana wa ccm akili zenu za kushikizwa hamuweza hata kujiongeza
 
yaani kuhoji ziliko 1.5 T basi ndiyo unakosa uzalendo?
 
Mkuu leo ni 05/11/2019, karne ya 21, mwaka wa Kizungu.

1945 - 1985, huko tumeshatoka mkuu angalia vizuri Kalenda yako.
 
yaani kuhoji ziliko 1.5 T basi ndiyo unakosa uzalendo?

Utawala huu wa awamu ya tano neno uzalendo wanalitumia vibaya uzalendo kwa sasa ni kuiba pesa za umma ukihojiwa unamkomoa anayehoji
 
Agenda ya ufisadi Tz haipo tena? Huyu ex sieji kafichua mambo mengi tu,aaah hii Tz ni ileile tu ila kila awamu inawanufaika wake
 
Kwamba CAG akakagua mahesabu lakini hakugundua upotevu wa 1.5T TZS mpaka Zitto alipompelekea!!! Huu ujinga wenu muongee na wale mnaofananao mavazi na akili
 
Utawala huu wa awamu ya tano neno uzalendo wanalitumia vibaya uzalendo kwa sasa ni kuiba pesa za umma ukihojiwa unamkomoa anayehoji
Hata wewe umekosea kuelezea uzalendo wa awamu hii! Uzalendo wa awamu hii ni kuwa upande mmoja, akijamba mkubwa hakuna cha kusema amejamba baba au mimi(kama wazee walivyotuaminisha) ni kukaa kimya au hasa hasa useme tu mzee tarumbeta yako ina sauti nzuri sana
 
Papaa Muu,

Yaani nimejuta kusoma hii, katika madai yako uliyoyainisha hakuna hata moja la kuthibitisha kwa angalau ushahidi, unaishia kusema tu Nani asieamini blah blah blah"

Kichere si yupo, tusubiri taarifa nzuri za faida za ndege, ili mwakani tusimame majukwaani kifua mbele tuseme ndege zimeleta faida na uthibitisho ni CAG Kichere's report.

Then watununulie khanga na ma-tishirt ili [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom