ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
mbona hutapiki sasa??Hizi siasa za Tanzania ya leo zinatia kichefuchefu. Mtu unajigamba kufanya maendeleo lukuki , lakini bado unahangaika kuchafua watu na kuwatisha......!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hutapiki sasa??Hizi siasa za Tanzania ya leo zinatia kichefuchefu. Mtu unajigamba kufanya maendeleo lukuki , lakini bado unahangaika kuchafua watu na kuwatisha......!
sure atapotezwa kisaniiiHuyohuyo Prof. Assad alikanusha wizi wa 1.5T wewe umepata wapi hiyo figure kama siyo Zitto aliisema kwa waandishi wa habari? Huyo Prof. Assad wakati wake umeshapita na akileta ujinga wa kisiasa atajuta!
prof. Assad na Zitto wote lao ni moja na Prof. atumuika na Zitto Kabwe kutokana na ududgu alokuwa nao Prof. Assad na Maalim Seif hivyo kama hujui keep it kama hujui ndio hivyo. kwahio acha kupovuka mi nakuambia vitu vya kuaminikaUmeandika upuuzi,CAG ndiye aliyeonesha kuwa 1.5 T zilitumika kinyume na bajeti iliyopangwa na bunge!Ikumbukwe CAG hukagua matumizi ya fedha yaliyoidhinishwa na bunge!
Sasa unaposema Zitto ndiye aliyemwambia CAG juu ya 1.5T,unakuwa na maana gani kama sio uzuzu?Kwani Mkaguzi ni Zitto au CAG!
kabisa kaka na ndio maana wamekasirika na mapovu yanawatokaTaratibu kigogo 2014 (zitto na genge lake) wanazidi kupoteza vyanzo vyao vya umbea; T
Kigogo 2014 (zitto na genge lake) wanapoteza vyanzo vya umbea, TISS, Ramadhan Dau, Assad, n.k
Mkuu wangu,ASSAD AMEMALIZA MUDA WAKE, LAITI HAYO ULIOSEMA YANGEKUWEPO YULE BOSS wetu angeyasema jana wakati wa kuapisha...KUWENI WASTAARABU MSIKURUPUKE WAKATI WA KUONGEA