Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Siku hizi mtu akisimama kwenye njia sahihi anaitwa mchochezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mzalendo, umesikika.JPM yuko vizuri na mzarendo Halisi
Ukweli lazima usemweee wewe kama hutaki basiUmeandika iliiii watu wacomment nawe ujisifie kua bandiko lako lilipata comment nyingi, umeandika kua ndo fikra zako, umeandika kua ndo ualisia uliopo au umeandika kwa miemko ulion nayo????????ebu fikiria tena afu uandike upya
hivi umesoma kipengele cha sheria kinachoelezea kipenge cha uhalali wa CAG au mnafuata mkumbo tu?Hebu pitia comment kwenye mitandao ya kijamii habari inayomuhusu CAG asilimia zaidi ya 80 watu hawajapendezwa na hichi alichofanya magufuri hadi wajinga wameamka kwasasa rais haaminiki
View attachment 1254412
Prof Assad alitumika kimkakati kuidhoofisha serikali ya Rais Magufuli hakuwa mzalendo kama ambavyo wengi waliaminishwa. Juma Assad (Personal) aliamua kukitumia kitu chake cha kuwa CAG Katika kutekeleza mipango mikakati ya wanasiasa na ndiye mtu pekee aliyebakia kama target muhimu ya kuibua mijadala iliyobeba chini, unafiki na uzandiki dhidi ya Rais Magufuli, nyuma yake watendaji wote waliokuwa Katika Ofisi ya CAG hawamuungi mkono na 90% ya wafanyakazi Katika Ofisi ya CAG walisusia pia kumpa ushirikiano wa kiutendaji kwa sababu alikuwa habebi maazimio ya Ofisi ya CAG bali alikuwa anabena maazimio ya Prof Juma Assad na genge la boss wake aliyemteua.
Nani asiyefaham kuwa Zitto Kabwe ndie aliyempelekea ile hoja (ya kipumbavu) juu ya 1.5T? Nani asiye fahamu kuwa wakati Bunge wameingia kwenye mgogoro na Prof Assad yeye pia alikuwa na genge lake likiingozwa na Maalim Seif, Zitto Kabwe, Jusa wakitaka kuwaaminisha watanzania kuwa kuna pesa zimeibiwa? Nani asiyefahamu kuwa wakati wa mgogoro ule ambao spika Ndugai alisema wazi hatoshirikiana na Prof Assad ila atashirikiana na Ofisi ya CAG, Ofisi ya CAG nilitoa ushirikiano 100% kwa bunge hadi kupelekea Prof Assad kuitisha kikao cha siri akoshusha shutuma dhidi ya watendaji walioko chini yake Katika Ofisi ya CAG??
Anasema yupo nje kikazi? Hayupo nje kikazi baada ya hii taarifa ya Leo ambayo #Kigogo hakuipata imepelekea kutoka tension na wapo Katika kikao Kizito hapa hapa Dar es salaam Kabla ya kuelekea Pemba/Mombasa ambapo huko Zitto Kabwe, Fatuma Karume, Jusa na magenge yao wanamuandalia hoja za kisiasa kuja kijitetea Katika hili tunamngoja aje hamtoamini atailaani siku aliyozaliwa na mwanamke its matter of time!