Siri nzito sakata la Okrah na Dejan ndani ya Simba

Na inawezekana Kuna baadhi ya wachezaji wameweka mpango mkakati wa kutompa pasi dejan.. Dejan ananyota kali sana maana kila akicheza stori ni yeye sasa wanaona akifunga atawafunika mazima... Hawampi pasi huyu jamaa... Huu ni ubaguzi.
Haswa chama Ni ngum Sana kumpa mzungu pass na akimpa pas anampa passngumu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
time time πŸ˜€ Time will tell πŸ˜€, tuendelee kula mtori, nyama tutazikuta chini πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ila mashabiki wa makolo ni wabishi kama nini! wanawashambulia mno watu wanaochambua hii ishu, hawataki kukubali matatizo yao na kuyasolve, wanajificha kwenye "hio ni hali ya kawaida kimchezo",

Just imagining tumejionea hayo (infront of the camera), vipi kuhusu yanayoendelea dressing rooms or mazoezini, so makolo msitetee tu bila kuangalia au kuchunguza extent ya tatizo, team means team work, cooperation, love and harmony
 
Yule Muha Matola ni kirusi ndani ya hyo Club. Matola amekuwa akiwagawa sanΓ  Wachezaji
.
Kuna wakati Kagere na clip ilivuja akilalamika kwamba Boko na Matola wamekuwa wakiwashawishi Miquison na Chama wasimpe pasi Kagere.
 
Mkuu popote ulipo agiza K Vant kubwa na kitimoto nitalipa umeongea point sana tofauti na wengine wanaotaka kukuza mambo
 
Dejan hawezi kuishi tena hapo msimbazi
 
Naona taarifa zinazunguka kua,Dejan anaondoka Msimbazi
 

Hatutaki nyota Kali tunataka magoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…