Siri nzito sakata la Okrah na Dejan ndani ya Simba

Siri nzito sakata la Okrah na Dejan ndani ya Simba

Na inawezekana Kuna baadhi ya wachezaji wameweka mpango mkakati wa kutompa pasi dejan.. Dejan ananyota kali sana maana kila akicheza stori ni yeye sasa wanaona akifunga atawafunika mazima... Hawampi pasi huyu jamaa... Huu ni ubaguzi.
Haswa chama Ni ngum Sana kumpa mzungu pass na akimpa pas anampa passngumu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ila mashabiki wa makolo ni wabishi kama nini! wanawashambulia mno watu wanaochambua hii ishu, hawataki kukubali matatizo yao na kuyasolve, wanajificha kwenye "hio ni hali ya kawaida kimchezo",

Just imagining tumejionea hayo (infront of the camera), vipi kuhusu yanayoendelea dressing rooms or mazoezini, so makolo msitetee tu bila kuangalia au kuchunguza extent ya tatizo, team means team work, cooperation, love and harmony
 
Yes inawezekana ikawa hivyo, lakini pia uenda kuna matabaka ndan ya timu unajua mzungu kulalamika sio mara moja kuna mechi moja hiv yeye na peter banda ten mzungu alilalamika na hapo kisa ni pasi akupewa inawezekana kuna ka hali cha kumtenga mzungu hapo [emoji2299]
Yule Muha Matola ni kirusi ndani ya hyo Club. Matola amekuwa akiwagawa sanà Wachezaji
.
Kuna wakati Kagere na clip ilivuja akilalamika kwamba Boko na Matola wamekuwa wakiwashawishi Miquison na Chama wasimpe pasi Kagere.
 
Lakini unaweza ukawa ni ugomvi wa uwanjani tu na umehusisha wachezaji wawili tu sio timu nzima! Na usikute mmoja badala ya kumpa pasi mwenzie yeye akajua nikipiga muwa hapa hii ni kamba akakosa so ni kawaida sana!!! Hapa najaribu kuwatetea Makolo maana mpira una mambo mengi tu!!!😀😀😀[emoji2211]
Mkuu popote ulipo agiza K Vant kubwa na kitimoto nitalipa umeongea point sana tofauti na wengine wanaotaka kukuza mambo
 
Yes inawezekana ikawa hivyo, lakini pia uenda kuna matabaka ndan ya timu unajua mzungu kulalamika sio mara moja kuna mechi moja hiv yeye na peter banda ten mzungu alilalamika na hapo kisa ni pasi akupewa inawezekana kuna ka hali cha kumtenga mzungu hapo 🙆🏻‍♂️
Dejan hawezi kuishi tena hapo msimbazi
 
Naona taarifa zinazunguka kua,Dejan anaondoka Msimbazi
 
Mimi nililiona hili jambo mwanzo kabisa toka mzungu anaingia mechi ya kwanza.Kuna watu wametengeneza tabaka ndani ya timu kuhakikisha huyu mzungu hawiki ndani ya simba.Kuna wachezaji wanataka watajwe wao tu kila siku ila wasichojua kuwa mzungu ana nyota kali inayong'aa sana, hawawezi kuifunika na ngoja aje kocha anaejielewa uone kama mzungu atakaa benchi.

Kila kocha mwenye kujielewa lazima atataka awe na striker mrefu,mwenye nguvu, skills na shooting accuracy kubwa. Dejan ni complete package .

Simba ifanye mchakato ilete kocha mzungu.

Hatutaki nyota Kali tunataka magoli
 
Back
Top Bottom