Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna darasa unapitishwa katika maisha yako. Chunguza hali ya maisha yako kwa sasa mkuu.Mimi nasumbuliwa na ndoto za shule hasa primary na ni zaidi ya miaka 10 toka nmemaliza shule ya msingi, mara nyingi naota room niliosoma darasa la tatu, tano na sita pamoja na maeneo ya chooni na jalalani. Yaani haipiti siku 2 sijaota.
Pole sana, hizi ni ndoto nlikua nazo sana kuna mtu akanisaidia, hio kuota upo msingi nikua kuna watu walikushika (wekea vikwazo /vifungo)ukiwa Madarasa hayo (wawezakua wanafunzi wenzio au walimu. Kua jalalani ni mikosi/nuksi ,kuchafuka/shushwa nyota.Mimi nasumbuliwa na ndoto za shule hasa primary na ni zaidi ya miaka 10 toka nmemaliza shule ya msingi, mara nyingi naota room niliosoma darasa la tatu, tano na sita pamoja na maeneo ya chooni na jalalani. Yaani haipiti siku 2 sijaota.
Kwema mkuu, kwa uzoefu nlionao hio inaashiria kushushwa nyota, jinsi unavofata kina ndivyo unavozidi kudidimia kimaishaNimekuwa nikiota maranying naogelea kwenye bwawa la maji na katika kuogelea napendelea kwenye kina kirefu ,naomba unitafsirie hii ndoto
Ulijinasuaje?Pole sana, hizi ni ndoto nlikua nazo sana kuna mtu akanisaidia, hio kuota upo msingi nikua kuna watu walikushika (wekea vikwazo /vifungo)ukiwa Madarasa hayo (wawezakua wanafunzi wenzio au walimu. Kua jalalani ni mikosi/nuksi ,kuchafuka/shushwa nyota.