Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Daah hawa Dada wa kazi hawa sio wagumba kabisa
😂😂😂😂 hii comment imenifanya nicheke kinyama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah hawa Dada wa kazi hawa sio wagumba kabisa
Mpaka sasa Jeff hajamuoa dada wa kazi
Ukigusa tu imo!!!Daah hawa Dada wa kazi hawa sio wagumba kabisa
Ohoooo!!!Ni pale alipojalibu kupost yaliyomkuta akashindwa kuuvaa uhusika kubaki imekuwa stori isiyo eleweka
Dada alishachukua kiinua mgongo kutoka kwa Fanta na waliagana kwa amani. Fanta alisikitika dada kubeba mimba wakati alishapanga kumuendeleza watoto wakiwa chuo kikuu.Imekuwa siri ya dada na Jeff aisee ni hatari, napiga picha siku Fanta akiijua hiyo siri atawafanya nn hao wawili najiuliza tu.
Huyu dada natamani kumsaidia maana Jeff kamwandalia bomu siku likilipuka mweeeeh itakuwa balaa.Dada alishachukua kiinua mgongo kutoka kwa Fanta na waliagana kwa amani. Fanta alisikitoka dada kubeba mimba wakati alishapanga kumuendeleza watoto wakiwa chuo kikuu.
Nitampataje jamani namtaka serious kabisaNi single mother.
Ndio mkome kuwa bize kazini na kutuacha home na mabinti wabichiiii wa kazi 😎Ina mafunzo mengi;
1. Wanaume wengi wakikosa mtoto wa kiume kwenye ndoa watamtafuta nje ya ndoa.
2.Wanaume ni wachawi, binti aliyekuja kwako akiwa 15 unaweza kulala nae akiwa mkubwa?
3. Jalala la tajiri si sawa na la maskini. Mume wa Jeff aliwatoa wazazi wa dada kwenye umasikini ingawa uhusiano wao ulikuwa si halali.
Daah we acha tu hadi kwenye novel na michezo ya TV ya kuigiza hawa Dada zetu wamebarikiwa uzazi wa karibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii comment imenifanya nicheke kinyama!
Na bado mzee mwenye nyumba huogopi daahUkigusa tu imo!!!
Hii mbona ipo sanaBado sijaelewa