Siri ya dada wa kazi na mume wa boss wake ni nzito

Ina mafunzo mengi;
1. Wanaume wengi wakikosa mtoto wa kiume kwenye ndoa watamtafuta nje ya ndoa.

2.Wanaume ni wachawi, binti aliyekuja kwako akiwa 15 unaweza kulala nae akiwa mkubwa?

3. Jalala la tajiri si sawa na la maskini. Mume wa Fanta aliwatoa wazazi wa dada kwenye umasikini ingawa uhusiano wao ulikuwa si halali.

Kama itaendelea please kindly tag me!
 
Naombeni nielishwe, i thought determining factor ya mtoto kua wa kike au wakiume ni mbegu za baba, how comes wanawake tunalaumiwa sana na kuachika kwasababu ya hili swala and yet hatunaga upper hand on it? Au yai nalo lachagua mbegu?
 
Hujawai kufika mwisho,hivi hata kileleni uwa unafika kweli?
 
Ina mafunzo mengi;
1. Wanaume wengi wakikosa mtoto wa kiume kwenye ndoa watamtafuta nje ya ndoa.

2.Wanaume ni wachawi, binti aliyekuja kwako akiwa 15 unaweza kulala nae akiwa mkubwa?

3. Jalala la tajiri si sawa na la maskini. Mume wa Fanta aliwatoa wazazi wa dada kwenye umasikini ingawa uhusiano wao ulikuwa si halali.
Na ndio uhalisia ulioko hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom