Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Pesa sio kila kitu kwenye mahusiano. Kimsingi wanawake wengi hatuhitaji pesa ila tunahitaji kuwa maintained tuendelee kung'aa kama mlivyotukuta hata na zaidi.
Maana wanaume mnatupendaga mkitukuta makwetu tunang'ara mnapambana hadi mnatuoa huku mnajua kabisa tunahudumiwa, halafu miezi6 mnatuchakaza tunachakaa vibayaaa. Mtuhudumie tusianze kukumbuka makwetu na kurudi kuomba matumizi kwa wazazi
PESA
PESA ndio kila kitu
NADHANI MMEMWELEWA MTAALAM HAPO JUU. Kila mtu ale kadiri ya urefu wa kamba yake; otherwise, soon before 2025, nchi inaweza kupigwa mnada.