Unataka nitoe definition ya love?
NDIO kwa sababu ndio italeta hitimisho na kipimo sahihi cha kujua nani haihitaji hiyo love,so kuleta definition kutaonesha namna gani hata wewe umeelewa concept ya masculinity.
Nilijaribu kukuonyesha nmna gani love na respect vinafanya kazi kwenye mahusiano ya mwanamke na mwanaume.
Unaonesha kitu ambacho sijakihitaji,unaonesha kitu ambacho sio mjengo wa hoja yangu,unajibu suala ambalo sijaliuliza,
una maelezo mazuri mkuu Lakini shida ni kwamba unatoa maelezo ambavyo hayajibu maswali yangu.
Kama unataka kuanzisha mahusiano na mwanamke na kigezo unachokiangalia au unachokitafuta ni love , bro nivema ukajitazama.
Bado hujatoa maana ya love ama vipimo vya kuijua kwamba hii ni love,na hapo ndipo ulipo msingi wa swali langu ulipo.
Kama unataka kuanzisha mahusiano na mwanamke na kigezo unachokiangalia au unachokitafuta ni love , bro nivema ukajitazama.
Lakini pia mbona hii hoja ndio unaileta wewe mkuu,mbona mimi nimegusia sana suala la urafiki na wewe ukaja na suala la LOVE ?
ULipokuja na suala la love lazima uje kufafanua love ni nini badala yake umeleta hoja ya LOVE kwemyewe lakini tafsiri tu ya what is llove hutoi why mkuu ?
Love love
Love is not real
Love is God
God is imaginery
Hapa bado hujatoa tafsiri ya love,na huo ndio mzizi wa swali langu Mkuu.
Hoja ya love umeileta mwenyewe so unao wajibu wa kuelezea umma ni kitu gani hicho ?
Utaeleweka vipi wakati maswali ya msingi unasema hauwezi kuyajibu mkuu wangu ?
Yale ambayo Umeyaleta kuyaelezea yakaeleweka bado hujayaelezea,lakini unaelezea vitu simple ambavyo haviendaji na yale ambayo nimetaka uyafafanue.
Hivyo ili ueleweke lazima ujikite kwenye maswala ya msingi niliyokuuliza kwani ndo ufahamu utaanzia hapo.
What do you say about men who are seeking attention and validation from other men.
Na wewe unasemaje kuhusu definition of love and respect ?
Kumbuka hujajibu maswali ambayo mimi ndio wa mwanzo kuuliza,vipi unapata haki ya wewe kuniuliza mimi wakati una deni langu mkuu ?
What do you say about men who are seeking attention and validation from other men.
unaposema attention lazima uifafanue .
Unaposema validation lazima uifafanue.
UKishafafanua hayo maneo ndio unaweza kuwa na haki ya kuniuliza nasemaje kuhusu huyo men.
Kama hujafafanua maana ya hayo maneno mimi najuaje kwamba uliposema attention umekusudia kitu fulani ?
Mara ya mwisho lini ume show love kwa baba yako?
Fafanua kwanza LOVE ni nini na inapimikaje ?
Kumbuka wewe ndio umeleta hoja ya love,hivyo hautakiwi kukwepa kuelezea what is love ?
Love is for women bro
Come on bro.
SWali la msingi ni what is love ?
Love is for women bro
Come on bro.
Huko juu ulisema hivi nanukuu
"
Love,hope, fear na mengine mengii
Ni miongoni mwa vitu FAKE..." mwisho wa kunukuu.
kwa mujibu wa maneno yako hapo juu maana yake love ni kitu fake sio kitu real,alafu hapa unasema LOVE IS FOR WOMEN kwa maana hiko kitu fake (love)is for womem.
Masculine men hawezi kuhamaisha kitu fake.
Masculine men hawezi kutoa kitu fake kwa mwanamke ambacho ni love maana ulisema mume ndio anatakiwa atoe love kwa mke,so utaona namna gani UNAHAMASISHA WANAUME tutoe kitu fake(love) kwa wake zetu.
hivyo point zako zenyewe zinajigonga,masculine men hawezi kutoa kitu ambacho sio real.
Vinginevyo toa maana ya LOVE NI NINI KUEPUSHA MGONGANO HUU UNAOTOKEA KWENYE HOJA ZAKO MWEMYEWE.
Mimi sitakupa definition ya love.
KAma hautoi definition basi tuufunge mjadala mkuu maana mzizi wa maswali yangu yapo hapo,na wewe hutaki kujibu maswali yangu lakini wewe unataka uulize na ujibiwe,so why tuendelee na mjadala ambao mhusika mmoja anachagua tu kwa makusudi KUTOKUJIBU mambo aliyoulizwa na mwenziwe ?
Hivi unajua respect inavyopatikana?
Respect ni nini kabla ya kujua inavopatikana mkuu ?
Unajua nin kitatokea kama mwanamke atataka apewe respect na mwanaume wake?
Swala la msingi ni kwamba Respect ni nini ?
Mkuu naona umekuwa emotional kuona kama nawa under estimate women.
Hapana mkuu bado nipo na kuhoji juu ya hoja ulizotoa mwenyewe hapa vinginevyo uniambie kwamba kuhoji maneno ya mtu mwenyewe ni kuwa emotional,yes.
Kusema hawa desrve respect unaona kama siwapi haki yao
Unakuja alafu unakataa,unakujq alafu unakataa,unakuja alafu unakataa.
(Unakuja kwa maana unakubali mwanamke ana deserve respect,lakini ukiendelea unakataa kwamba respect is not for them,😄😄)
Okay swali langu la msingi respect ni nini na mtu afanye vipi ili aonekane ametoa respect kwa mtu fulani ?
Bro nani anaenufaika kati ya anae gain love na respect?
Nipe maana ya respect ni nini ?
Mbona maswali yangu haujibu alafu wewe pia unataka kujibiwa wakati una viporo vya maswali yangu mkuu ?
Respect inatafutwa inapiganiwa.
But do women fight for love?
Love ni nini ?
Respect ni nini ?
Respect mwanaume anaipata kupitia mambo haya?
Purpose in life, kama ni famly guy una gain respect after takin care of your family.
Masculine man core is respect not love.
Mkuuhata mwanamke atakiwakuwa kuwa na purpose in life.
Ata mwanamke hutakiwa kutake care ya familia yake
Unafahamu vizuri namna dhana ya masculinity inavyomtaka mwanamke awe ni muwajibikaji katika nyumba yake kulea watoto na kufanya kazi za ndani na kumhudumia mumewe NA HUU NDIO ULIKUWA MWENDO WA WAZAZI MABABU NA MABIBI na huku nako ni kutake care of the family.
So unaona namna ambavyo vitu unavyovitaja hata mwanamke yuko navyo na anavifanya ?
Unajua kina nani wana fight for women right?
Feminist
They are lookin for equality.
SIjawazungumzia popote movement za feminist bali hiyo hoja unaileta wewe mkuu wangu.
So mwanaume love unaenda kuifanyia nin?
What am going to do with the love.
LOve ni nini mkuuuuuuuuuu ?
Can we do a podcast togther? Tutajadili kuhusu hili
If I invite you would you be ready for that?
Nipo tayari mkuu na tutakuwa pamoja katika kujadili hizi mambo nashukuru sana.