Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

Jasmon Tegga acha kuharibu mahusiano na hiyo 50/50

Halafu siku hizi wanaume wanaipenda kuliko hata wanawake[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamii imezalisha wanaume malofa sana, siku zitakuja ambayo wanawake watatamani uwepo wa wanaume halisi, wenye msimamo, jasiri lakini hawatakuwepo kwakua wamewaharibu wenyewe kwa kuwaambia kwa wao ni sawa na wanawake,.... Na ndo maana vitoto siku hizi havina adabu kwakua baba zao wamefunikwa hawana kauli mbele ya wake zao, kwa kigezo kwamba mama ana pesa na yeye

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
 
Pia jifunzeni kufanya Kazi sasa mtakaa mnatombwa tu Hadi lini

Hata Kazi za Mikono kuuza chapati nk lakini kuishi kwa kutegemea Mwanaume mme wako akutombe ili akupe ugali haifai ndo chanzo wanawake kuonekana inferior

Kuna wengine hawataki wanawake wafanye kazi HAYA LAND
Na wewe Jitahidi upate wa aina yako
 
Hakuna anayedai pesa ila familia inataka kula, kulala, kuvaa.... Majukumu lazima yafanyike kadri ya mahitaji ya kila mwanandoa

Mwanaume ni kichwa na kiongozi wa familia[emoji95]
Mama D, asilimia zaidi ya 95 ya wanaume kwenye ndoa wanaweza kutimiza hayo majukumu...ni too basic, lakini bado ndoa zinavunjika hata kwa wanaotimiza zaidi ya hayo uliyotaja...nadhani Kuna factors nyingine zaidi ya hizo...
 
Ulishawahi kujiuliza kwanini urafiki au marafiki wanadumu sana kuliko wana ndoa.

KWASABABU hakuna cheti cha urafiki.
Urafiki hauna contracts
Urafiki hauombwi

Inachekesha kusema watu wawili waliungana kikatiba na vyeti
Na mashaidi juu waishi kama marafiki washikaji
Dang!
Hakuna kitu kama hicho
Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana?

Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe mbaya kiasi gani hauwezi kuchagua sura yake akiwa mshkaji ndio mshkaji huyo.

Kuna watu wana marafiki ambao hawataki wenza wao wawe kama marafiki zao. Mtu ana rafiki mlemavu lakini hataki mwenza wake awe mlemavu, Mtu ana rafiki kipofu lakini hataki awe na mwenza kipofu, mtu ana rafiki mzee saana lakini hataki mwenza wake awe mzee.

Hii ni kwa sababu urafiki una nguvu ya kuwaunganisha watu kwa muda mrefu kuliko ngono yenyewe. Lakini pia jiulize kwamba mbona suala la urafiki inawezekana kuwa watu wa jinsia moja wakawa marafiki?

Kuonesha namna ambavyo urafiki una nguvu kubwa ya kuwaunganisha watu na kuwafanya waendelee kuwa wamoja. Mwanandoa mwenzio anapokuwa rafiki yako kuna uwezekano mkubwa sana wa nyinyi kuishi kwa muda mrefu katika ndoa yenu kwa sababu ndoa yenu imeunganishwa na jambo la urafiki ndani yake.

Urafiki una nguvu kuliko ngono ndio maana kuna talaka kwa wanandoa na wala hakuna talaka kwa marafiki. Kwa sababu marafiki hawatengani kwa sababu ya ugomvi bali wanatengana kwa sababu ya umbali ndio maana una washkaji zako wa shule hamjawahi kugombana ila kwa sababu ya umbali una washkaji wengine.

Lakini kwenye ndoa watu hawatengani hivi hivi tu lazima wakorofishane wengi wao ndipo waachane. Ngono unaweza kupata kwa siku moja lakini urafiki hauwezi kupata kwa siku moja. Hivyo mwanandoa usijisahau sana ukahisi kwamba ngono ndio ishu kubwa katika ndoa, bali urafiki hasa ndio jambo kubwa.

Wanandoa msiconcetrate kwenye ngono kwa sababu ngono sio ishu tenconcetrate katika mahusiano mazuri ya urafiki na mkeo. Kinachowatenganisha wanandoa ni mahusiano ya kingono na wala sio mahusiano ya kirafiki. Ngono katika ndoa ni dharura endapo utakuwa na hamu ndipo unamaliza haja zako,ila kuna mambo mengi ya kufanya na kujadili na rafiki yako wa ndoa ukiacha ngono.

Mahusiano yanayotegemea ngono hudumu kwa muda mfupi na kuishia kwenye michepuko,mahusiano yanayounganishwa na urafiki hudumu muda mrefu sana.

Mke/mume wako ndiye rafiki yako.
 
Naheshimu maoni yako

Huwenda waliungana ili waishi kama maadui
 
Mkuu
Namim naheshimu maoni yako pia.

Ila ndoa inayodumu ni hii ya king and queen

King anahitaji respect
Queen anahitaji love

King
Leader,teacher,mentor,protector,provider, secure resources na vingine vingi ambavyo a divine masculine man ana do.
Hakuna king muosha vyombo.

QUEEN
Nurturing, catering, ...... ALL feminine things designed for female.

HUWEZI KUISHI NA MKE KAMA RAFIKI OTHERWISE mchange roles

Babu zetu walikuwa wanaishi kishkaji Aight?
Look at animals?
 
Ndoa haipaswi kuwekwa katika mizania ya urafiki tu.

Ndoa yoyote ambayo haijajaribiwa ni tamu sana.

Urafiki unaweza kuvunjika kwa urahisi zaidi kuliko ndoa.

Feelings za wanandoa siyo sawa kabisa na urafiki.
 
Mkuu
Namim naheshimu maoni yako pia.

Ila ndoa inayodumu ni hii ya king and queen

King anahitaji respect
Queen anahitaji love

King
Leader,teacher,mentor,protector,provider, secure resources na vingine vingi ambavyo a divine masculine man ana do.
Hakuna king muosha vyombo.

QUEEN
Nurturing, catering, ...... ALL feminine things designed for female.

HUWEZI KUISHI NA MKE KAMA RAFIKI OTHERWISE mchange roles

Babu zetu walikuwa wanaishi kishkaji Aight?
Look at animals?
Exactly ndoa haipaswi na haitawezekana kuwekwa kwenye mizania ya urafiki tu.
 
Exactly ndoa haipaswi na haitawezekana kuwekwa kwenye mizania ya urafiki tu.
Nanj kasema mizani ya urafiki TU ?

HII NENO TU NIMELISEMA WAPI MKUU ?

ULiniona mjinga sana kutokuweka hilo neno "TU" so ukaamua kunilisha maneno.😄😄.
 
Ndoa haipaswi kuwekwa katika mizania ya urafiki tu
Hilo neno "TU" sijalisema popote mkuu,ni neno kubwa sana ambalo nilijua athari yake ndio maana sikuliweka.

Wanandoa licha ya kuheshimiana wanatakiwa waishi kama marafiki
 
Ila ndoa inayodumu ni hii ya king and queen
Nakubali mkuu
King anahitaji respect
SIo king tu,hata queen anahitaji respect vinginevyo uwe na maana yako ya respect mkuu.

Lakini queen anahitaji respect na king anahitaji respect pia.

Nadhani umeshuhudia namna hata BABU zetu walivyowaheshimu BIBI zetu na BIBI zetu walivyowaheshimu BABU zetu ama sivyo ?

Kama sivyo naomba unipe wewe tafsiri ya respect ni ipi ili tuitie kwenye mizani tuone kama mke haihitaji hiyo respect.
Queen anahitaji love
Hata king anahitaji love vinginevyo uwe una tafsiri yako maalumu ya nini LOVE.

Nadhani wewe ni shahidi namna ambavyo MABIBI ZETU(queens) waliwapenda MABABU ZETU(kings)ama sivyo ?

Kama sivyo lete tafsiri ya love alafu tuone kama kweli Kings hawahitaji.
 
Ndoa ikiunganishwa na ngono kuna vipindi vya mmoja kuugua magonjwa makubwa yanayofanya ngono isifanyike,au ifanyike chini ya kiwango, hapo ndoa inaingia shakani kwa mmoja kuchepuka au kuwa na mahusiano nje.

Ikiunganishwa na fedha kuna kufilisika na kuunguliwa moto biashara kama soko la karume,ndoa inakuwa shakani.

Ila ikiunganishwa na upendo na urafiki inadumu sana kwakuwa mnakuwa huru, urafiki ndoani unapunguza sana chuki na usaliti kwakuwa asilimia kubwa mnakuwa wawazi.

Sio unakuwa na mwenza mkilala kitandani unaogopa hata kujamba.
Kujambaaa, kofiii....paaaaah
 
Back
Top Bottom