Usichukulie foleni kua ni tatizo kwako, fanya ni kitu cha kawaida
poa mkuu umesomeka...ila avatar yako2 ndo huwa inchekesha..Haha,,haswa ubwabwa ukiwa wa nazi na haragwe la nazi,,
Kazi kwelikweli hizi tafiti, tunatakiwa tuangalie miaka ijayo kwa jicho la matumaini sio la hofu za kupitilizaHahhha nimecheka sana leo loh hizi tafiti nyingine bana, Inawezekana hata kufanya utafifiti juu ya umri wa kuishi ikapunguza umri wa kuishi wa anayetafiti (utafiti mwingine tena huo)
Ndio inavyotakiwa kwani hata nadharia za kina Aristotle zilifanyiwa kazi mwisho wa siku vikatoka vitu ambavyo ni comprehensive, ila ukimaliza KUZITAFITI HIZO TAFITI urudi JF ili na mie NIITAFITI TAFITI yako