Siri ya kuishi maisha marefu

Siri ya kuishi maisha marefu

Hahhha nimecheka sana leo loh hizi tafiti nyingine bana, Inawezekana hata kufanya utafifiti juu ya umri wa kuishi ikapunguza umri wa kuishi wa anayetafiti (utafiti mwingine tena huo)
Kazi kwelikweli hizi tafiti, tunatakiwa tuangalie miaka ijayo kwa jicho la matumaini sio la hofu za kupitiliza
 
Kumbuka NYuki, vunjachungu, nk akifanikiwa kufanyana mapenzi huo ndio mwisho WA maisha yake. Kwa binadami mbona tunaneema ya ouchelewa kuresti in peace??? Hebu jaribu Ku duu Mara moja kwa mwezi uone mauhai yatakavyoongezeka
 
Mkuu pumzi yako tu, the more sex the better for all participants. Thanks Mkuu utafiti excellent thread. ��

Good thread... Ila hapo kwenye sex, wangeweka japo four times a week:heh:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom