Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

 
Last edited by a moderator:
Hakunaga Chief/Mtemi maskini kwa mujibu wa maisha ya vijijini, labda uweke kumbukumbu sawa ili upunguze chumvi na uwape watu fact! The late father alikuwa mtoto wakishua tu kama kina Riz, Makamba Jr and etal.
 
Wakuu naona Mohamed Said kagoma kuja km yule mbuzi wa msibani. Na ile formula ya dawa ya kumfanya mbuzi awe ----- hatuna. Dah nomaaaaaaa Sana. Jaribuni kumfuata pale kijiweni kwake lumumba teh teh teh teh. Hv viumbe vya aina ya Yericko vinapatikana wapi??????
 
Oopps sorry wakuu. Correction. Lumumba mgahawa wa Risa sio ile Lumumba ya wateule mafirisadi wa Si si email. Dah Mzee Mohamed unisamehe bure kwa kukusiriba tope
 
Teh teh..... Kachimbe zaidi ndo itakua rahisi kuu twist uongo uwe ukweli....
 

haaa muitie Gwajima

atakua kala mandondonya ufipa
 
Malkia Elizabeth ni Mkatolic?.... Alshabaab Education in Tanzania, hawana la msingi la kudiscuss, ama kweli shetani yupo kazini ni bora ukaabudu majini tu uko.
Yericko Nyerere ni zao la Al Shabaab?

Nahisi umemchanganya labda athibitishe mwenyewe!!
 
Last edited by a moderator:
Haha unamkaribisha huyu mzee, yeye anajua habari za gerezani na viunga vya ghahawa tu

Umeona ee? Yule mzee wa kariakoo akileta historia ya uhuru wa mzizima mnamuunga mkono lakini hii ya tanganyika kwasababu inahusu kanisa mwadai ni uongo.
 
Yericko analazimisha sana taalum hadi ili mambo ya balance anaamua kusema uongo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…